Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Kuna wageni niliwahi wapokea nyumbani aisee waliishi kama walemavu kwa wiki 2.
Kwa wiki mbili mgeni ambaye ataendelea kutuma kila kitu au kujifanya hawezi kushiriki kazi za nyumbani ili kazi zote azifange mke wangu kwaajili yao, sitakubaliana nalo na kama ni low rank kiukoo ntaitisha kikao niwaambie, wasipobadilika watarudi walikotoka.

Na hiyo ni tofauti kabisa na scenario ya mgeni aliyefika kwako day one kisha ukataka ajihudumie mwenyewe kila kitu ili wewe mama wa familia upate nafasi ya kuchati.

Lakini kwa nilivyozisoma akili zenu, utakuta hii comment umeandika kuwalenga wakwe zako(wazazi wa mumeo) waliokuja kukaa kwako kwa muda wa wiki mbili.
 
Mkienda kwa watu punguzeni usumbufu usio wa lazima.
Si wewe hapa umetuambia kikombe kilikuwa karibu!kwanini usinyanyuke ukachukua?


Pia huwezi jua watu wamekubaliana kuishi vipi,,wewe umehudumiwa bado umekereketwa na mleta kikombe kweli mkuu!
Imagine huyu kaenda kwa watu anawapangia Cha kufanya Hadi kutuma tuma watu ka mlemavu
 
Hii ni dream ya kila mwana ila tatizo ni pale mke anapopanda cheo na kuwa meneja😅 analeta ubosi mpaka nyumbani😅
 
Wewe ni mpemba/mzanzibari?

Nikuulize, hivi kijana wako siku akiwa na nyumba yake akawa anafanya kukanda chapati na kupiga deki mbele yako na mkewe yupo utaona kawaida tu?

Be honest!
Kupiga deki tena? Ikiwa Kwa hiyari yake ni Sawa, sio Kwa kutumwa😂
Mimi mume wangu huwa ananisaidia mara nyingi Kama hatuna dada wa kazi, au kunionea huruma nikiwa nimechoka...tena Kwa mapenzi yake, simshurutishi.
 
Pamoja na yote haya, mnasahau kuwa kuna kutengana kati ya mume na mke kikazi. Dar na mwingine yupo Dodoma. Mwanaume usipotengeneza mazingira ya kuishi bila mke utapata shida sana. Housemaids wanasaidia sana ili mradi usihitaji K yake.
Hii biashara ifanyike kwa muda tu! Kwani ndoa inajengwa na wawili kuishi under one roof.

Mkishakuwa mmoja mpwapwa mwengine mtwara huo ni uchumba tu 😅😅😅 ni swala la muda tu kabla ya GYM Trainer hajawapasua vipande vipande we na mkeo😂😂😂
 
Nyie mmejua kunichekesha,[emoji23][emoji23][emoji23]...sasa mmezidi Kaka zangu, Hadi kutumwa ni nongwa?
Mkija kwangu mtazimia, shemeji yenu mtamkuta anakanda ngano na akitoka hapo anaenda sokoni analeta Hadi pilipili...!
Kaka zangu huenda sokoni kununua vitu vya nyumba na siku wakipika msosi watu hujing'ata my daddy self Kuna vitu hufanya ka kununua vitu sokoni tena wamama humpenda balaa mbona hajawa less man?
 
Ahaaahaahaaa....we jamaa unapenda ligi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…