Huwezi mtuma mumeo mbele ya wageni kwasababu moyo wako unajua unachofanya sio sahihi witnessjAtajijua mwenyewe ila nachotaka kusema kazi za ndani kama nafanya kazi ni lazima tusaidiane asee....usitarajie ntafanya mikazi yote daily we umeshikilia remote na simu uko jf[emoji848]
Back to my son...huyo mwanamke asimfanyishe hizo kazi mbele za watu au na mimi nisione maana ntampa vitasa huyo bitch[emoji57][emoji57]
NB
Haya mambo ya kusaidiana na mwanaume kazi ni btn me n my man hakuna kiumbe yeyote nje atashuhudia, wakija wageni of course siwezi mtuma mbele yao huo ni ukosefu wa heshima
Mimi sufulii mtu na mwanaume anayepima upendo Kwa vitu vya kijinga hivo tuachane sio size yangu huyoUpendo ni nini sasa kama nyie tu mnasema mwanaume kama hakusaidii au hakukei (hakupi hela/hahongi) hakupendi[emoji28] wewe kama kunifulia na kunipikia na kunipa tunda hunipi ntajuaje unanipenda?
Wale wageni wakija tena nawatimuaFanya kazi acha kulia lia wewe[emoji28]
Kwanza mtu ukienda kwa watu inatakiwa usiwe msumbufu.Imagine huyu kaenda kwa watu anawapangia Cha kufanya Hadi kutuma tuma watu ka mlemavu
Wanawake watanzania tutafika mbinguni tumechoka sanaWanaume wa kanda ya ziwa wake zao wana kazi haswa,hata mtoto analia hawezi mbembeleza alale au acheze nae ,mke yupo busy mwanaume kakaa miguu juu anasubiria ugali wa muhogo Na samaki ale aondoke aende kwa rafiki zake
Jitahidi ujiunge jogging za masakiMimi sufulii mtu na mwanaume anayepima upendo Kwa vitu vya kijinga hivo tuachane sio size yangu huyo
Mfano kwakoKusaidiana.
Siyo lazima iwe pasu kwa pasu ila angalau kuwe na assist,
Tunachopinga sisi ni watu kujiweka kama walemavu.
Dada if it's right [emoji817] then hakuna haja ya kulificha kuwa lifanyike mkiwa nyie tu na sio mbele ya wageni ndo ubadilikeAtajijua mwenyewe ila nachotaka kusema kazi za ndani kama nafanya kazi ni lazima tusaidiane asee....usitarajie ntafanya mikazi yote daily we umeshikilia remote na simu uko jf[emoji848]
Back to my son...huyo mwanamke asimfanyishe hizo kazi mbele za watu au na mimi nisione maana ntampa vitasa huyo bitch[emoji57][emoji57]
NB
Haya mambo ya kusaidiana na mwanaume kazi ni btn me n my man hakuna kiumbe yeyote nje atashuhudia, wakija wageni of course siwezi mtuma mbele yao huo ni ukosefu wa heshima
Kuwafundisha watoto kazi zote ni Jambo jema sana, hata wa kwangu naamini kila kitu watafanya, lazima wajue kufanya kila kitu coz kesho yao hawajui.Mi babangu alikuwa anatupikia....na watoto wa kiume wote wamefundishwa kazi za nyumbani...na wako proud sasa hivi, mwanamke ukimzingua mmojwapo wa kaka angu ni anakutimua muachie watoto atafanya kazi zote [emoji848]
Umeona faida sasa
Kuna siku baba yangu alikuwa anapika,Alikuwa anapiga deki, anafua, anakanda chapati na kupika mandazi?
Hiki ndicho ninachokisisistiza humu ndani, mwanaume afanye kazi kwa matakwa yake na sio kwasababu katumwa na mkewe.Kupiga deki tena? Ikiwa Kwa hiyari yake ni Sawa, sio Kwa kutumwa😂
Mimi mume wangu huwa ananisaidia mara nyingi Kama hatuna dada wa kazi, au kunionea huruma nikiwa nimechoka...tena Kwa mapenzi yake, simshurutishi.
Mumeo atakuwa anapiga deki, kuosha vyombo na kukanda unga wa mandazi na chapati?[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku baba yangu alikuwa anapika,
Tunatoka safari na mama tunakuta mzee ashatengeneza mambo.
Akibaki nyumbani na wengine hampo basi mtakuta kila kitu ashaweka sawa.
Na alikuwa msafi sana mzee wangu akifanya kitu utapenda.
Hakuwa anapiga deki lakini alikuwa akifanya usafi wa nje ya nyumba.
Mama anapika,baba anafanya usafi nje na kukamua maziwa ya chai,mtoto anapiga deki.
Imagine walikuja wageni wanakaa kama walemavu.Kwa wiki mbili mgeni ambaye ataendelea kutuma kila kitu au kujifanya hawezi kushiriki kazi za nyumbani ili kazi zote azifange mke wangu kwaajili yao, sitakubaliana nalo na kama ni low rank kiukoo ntaitisha kikao niwaambie, wasipobadilika watarudi walikotoka.
Na hiyo ni tofauti kabisa na scenario ya mgeni aliyefika kwako day one kisha ukataka ajihudumie mwenyewe kila kitu ili wewe mama wa familia upate nafasi ya kuchati.
Lakini kwa nilivyozisoma akili zenu, utakuta hii comment umeandika kuwalenga wakwe zako(wazazi wa mumeo) waliokuja kukaa kwako kwa muda wa wiki mbili.
Najua kabisa kuwa hii comment hainihusu mimi, ila ngoja nitie neno.Jamaa mmoja alikuwa anajifanya kidume kumpiga dadaangu kama wewe hivyo. Siku hiyo niko na wahuni wangu tumekula pombe mpaka akili zimekatika, nikasema jamani nipelekeni. Saa kumi usiku nilimburuza kwenye matope ya mvua Mungu wake hawezi kusahau. Halafu fala tu Mpemba anapiga mademu nguvu hana, yaani ni sawa na wewe
Kazi nafanyaMumeo atakuwa anapiga deki, kuosha vyombo na kukanda unga wa mandazi na chapati?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana wako atakuwa akifanya hivyo mbele yako na wewe ukasema YES, my son is so good at helping his wife[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hem tuacheni masihara basi, hizi mambo we funga kibwebwe ufanye, ukipata msaada wa Mr shukuru, akishika remote we endelea kufanya kazi zako.
Ndiyo ndiyo. Wanaume wapo kanda ya ziwa. Sehemu zingine ni version mpya ya wanawake.Wanaume wa kanda ya ziwa wake zao wana kazi haswa,hata mtoto analia hawezi mbembeleza alale au acheze nae ,mke yupo busy mwanaume kakaa miguu juu anasubiria ugali wa muhogo Na samaki ale aondoke aende kwa rafiki zake
Sasa kama kupika hujui nikusifie kweli!?Jamani nimeufatilia huu mjadala Kwa karibu sana, wanaume mmefunguka, mmelalamika, Ila Naomba niulize, unalalamika mkeo hakupikii, hapangi nyumba, ni lini ulimsifia mkeo Kwa hizo shughuli? Jamani udhaifu WA mwanamke ni masikio yake, maneno matamu yanaweza kumfanya mke awe mtumwa wako na awakane hata ndugu zake.
Mimi huyu mbaba Kwa kweli nashukuru, anajua kuappreciate....nikimpikia ananisifia, si ofisini kwake, si Kwa ndugu zake wote wanajua mkewe anajua kupika😂...
Pia ananihamasisha, kidogo mara kanisuprise oven, mara mashine ya kusagia Nyama, mara food processor....Kwa nini nisimpikie hata Kama narudi kazini saa Saba ya usiku?
Sasa wewe huna muda WA kununua viamba upishi, unasubiri acheze vikoba anunue kisha unataka upikiwe....😂😂
Wanaume mjiangalie mnajikwaa wapi, wengi mna visirani viso msingi.