Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Sasa wewe wako utawafundishaje kama haufanyi?
Hawakuoni ukifanya!
 
Hao mimi hawachukui round nyumbani kwangu labda kama wife asinifikishie taarifa.Tena kama wageni wa kike wakiwa kwangu except (Mama zangu na mashangazi) watafanya kazi as usual, labda kama wawe wapitaji tu lakini two week na kuendelea wawe kwangu bila kufanya kazi sitaruhusu.

Cha ajabu humu utakuta mwanamke anataka mkwewe akija kukaa kwake eti afanye kazi, how comes jamani? Mama yangu aje kukaa nyumbani kwangu Kisha wewe utake afanye kazi kwakua unataka afanye? atafanya kazi akitaka mwenyewe.

Ninachokikataa ni ile mwanaume kufanya kazi za ndani eti kwakua wife wake kasema, au ile unakuta wamewekeana zamu za kuosha hadi vyombo😄.

Mwanaume afanye kazi za ndani kumsaidia mke wake kwakua kwa kupenda yeye na anafurahia kufanya hivyo, na sio kwa kutumwa tena mbele za wageni.
 
Wanaume wa kanda ya ziwa wake zao wana kazi haswa,hata mtoto analia hawezi mbembeleza alale au acheze nae ,mke yupo busy mwanaume kakaa miguu juu anasubiria ugali wa muhogo Na samaki ale aondoke aende kwa rafiki zake
Wasukuma wana hizi tabia.
Kuna huyo dada yangu mmoja ameolewa na msukuma aisee nadhani siku ya mwisho atatunukiwa taji ya ushindi yule dada.

Hataki mtoto wa kiume aguse jikoni na ana wa kiume tu.
Ndiyo baadaye mitoto itaanza kuishi kama milemavu.
 
Teh akusifie? Watakuambia akusifie nini wakati hilo ni jukumu lako ila wao wanataka tuwe na shukurani hata wakitimiza majukumu yao!
Kupika hujui huna maajabu usifiwe nini sasa?

Toka nimekuoa ni wali marage yasio hata na nazi! Ugali na chuzi la nyama tu yani vyakula vile common daily! No fucking spices at all yani dah unakula basi tu.

Onyesha special skills kuna GF wangu niliwahi kumsema nikaamua siku kuingia jikoni kumuonesha jinsi mambo yanavyopaswa kwenda mbona alijinoma yani!

Kila siku nikiwepo free akawa anakazana kata bas kachumbari yako inakuwa tamu zaidi! 😅...Nilimpeleka kwa sister angu flani akaone namna ambavyo ni mweupe jikoni aibu aliona yeye😅
 
Mama mkwe tumekaa naye yule bibi mwaka mzima,na kazi zote anafanyiwa bila kinyongo maana ni mdhaifu na upendo ulitamalaki.
Uzuri anajua kuappreciate kila anachofanyiwa na ni mcheshi mno anapendeka.
Hadi alipoondoka haachi kuuliza binti yangu hajambo,nimemmiss hivi na hivi.

Watu tu baki,dada wa mbali ndio wana huo ulemavu.



Nina dada yangu aisee ana mama mkwe wake wanapendana hatari.
Yule mama anafanya kazi hadi unamwambia acha.
Ashazoea kwake hakai idle bila kazi..basi popote atakapoenda ni kupiga kazi tu.


Mama yangu mwenyewe mzazi anafanya kazi hata aende wapi.
Tena bila kuambiwa.
Nadhani nahitaji mama mkwe aina hizi.
 


Unaongea na kibaka kutoka Samora Avenue, I've been in prison in 7 different countries. Mimi nikikutataka nakukamata tu. Rottweilers are the good dogs you can put on your yard, lakini wakiniona tu wanajua huyu ndio master
 

Ni kweli unavyosema lakin mfano wewe Upo Na mkeo tu ,kazi nyingi mkeo anafanya peke yake mara afue,apike,asafishe nyumba ndani Na nje huwezi kumsaidia hata viwili hapo Na kumhurumia kuwa atalala hoi
Na usiku napo unataka umkunje kama tairi atakuwa a hamu kweli
 
Nilifanya yote hayo ndani ya miaka 15..........baada ya kuona amefanikiwa akaota mapembe na kuvaa ngozi ya mamba.....kulikuwa hakuna chance ya kujadiliana chochote......alikuwa hana muda huo!!!lazima uelewe kuna mambo yapo nje ya uwezo wa kawaida wa kibinadamu yanaweza kuingilia ndoa
 
Chakula kitamu kweli au anakupiga kunga tu 😅😅😅
 
Itategemea na kaliba yake! Kama mjuaji atapambana na hali yake na usiku tunda kama kawaida😅 lazma liliwe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Fanya hizo mambo tukusifie

Sasa unataka unilishe kuku wa mwenye kinyeo nikusifie au samaki alie na magamba
 
Hahahahah Care ndogo ndogo sio
 
Yani naomba maji badala ya kuhudumiwa na shemeji yangu, eti napewa na mshikaji wangu.

Halafu kuna watu wanakwambia sio vibaya kumsaidia mke wangu.
Shemeji yako kazi yake ni kumubudumia rafiki yako
Mbona unataka umege nafasi ya raha za rafikio[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…