Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Kuwafundisha watoto kazi zote ni Jambo jema sana, hata wa kwangu naamini kila kitu watafanya, lazima wajue kufanya kila kitu coz kesho yao hawajui.

Lakini mkuu kijana wako anapiga deki na kukanda mandazi ili mkewe anywe chai kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wewe wako utawafundishaje kama haufanyi?
Hawakuoni ukifanya!
 
Imagine walikuja wageni wanakaa kama walemavu.
Niwahudumie watoto ,nihudumie na watu wazima tena wengine wanawake 2 na mwanaume aiseee!
Tena wanakusumbua kabisa,tuwekee nyimbo fulani..
Napeleka watoto shule,nafanya usafi ,nafua,nawaandalia chai ,muda wa kuchukua watoto unafika wanalalama eti wapikiwe kwanza chakula ndiyo niondoke.
Unarudi unakuta hata vyombo hawajatoa wajinga wale.
Hao mimi hawachukui round nyumbani kwangu labda kama wife asinifikishie taarifa.Tena kama wageni wa kike wakiwa kwangu except (Mama zangu na mashangazi) watafanya kazi as usual, labda kama wawe wapitaji tu lakini two week na kuendelea wawe kwangu bila kufanya kazi sitaruhusu.

Cha ajabu humu utakuta mwanamke anataka mkwewe akija kukaa kwake eti afanye kazi, how comes jamani? Mama yangu aje kukaa nyumbani kwangu Kisha wewe utake afanye kazi kwakua unataka afanye? atafanya kazi akitaka mwenyewe.

Ninachokikataa ni ile mwanaume kufanya kazi za ndani eti kwakua wife wake kasema, au ile unakuta wamewekeana zamu za kuosha hadi vyombo😄.

Mwanaume afanye kazi za ndani kumsaidia mke wake kwakua kwa kupenda yeye na anafurahia kufanya hivyo, na sio kwa kutumwa tena mbele za wageni.
 
Wanaume wa kanda ya ziwa wake zao wana kazi haswa,hata mtoto analia hawezi mbembeleza alale au acheze nae ,mke yupo busy mwanaume kakaa miguu juu anasubiria ugali wa muhogo Na samaki ale aondoke aende kwa rafiki zake
Wasukuma wana hizi tabia.
Kuna huyo dada yangu mmoja ameolewa na msukuma aisee nadhani siku ya mwisho atatunukiwa taji ya ushindi yule dada.

Hataki mtoto wa kiume aguse jikoni na ana wa kiume tu.
Ndiyo baadaye mitoto itaanza kuishi kama milemavu.
 
Teh akusifie? Watakuambia akusifie nini wakati hilo ni jukumu lako ila wao wanataka tuwe na shukurani hata wakitimiza majukumu yao!
Kupika hujui huna maajabu usifiwe nini sasa?

Toka nimekuoa ni wali marage yasio hata na nazi! Ugali na chuzi la nyama tu yani vyakula vile common daily! No fucking spices at all yani dah unakula basi tu.

Onyesha special skills kuna GF wangu niliwahi kumsema nikaamua siku kuingia jikoni kumuonesha jinsi mambo yanavyopaswa kwenda mbona alijinoma yani!

Kila siku nikiwepo free akawa anakazana kata bas kachumbari yako inakuwa tamu zaidi! 😅...Nilimpeleka kwa sister angu flani akaone namna ambavyo ni mweupe jikoni aibu aliona yeye😅
 
Hao mimi hawachukui round nyumbani kwangu labda kama wife asinifikishie taarifa.Tena kama wageni wa kike wakiwa kwangu except (Mama zangu na mashangazi) watafanya kazi as usual, labda kama wawe wapitaji tu lakini two week na kuendelea wawe kwangu bila kufanya kazi sitaruhusu.

Cha ajabu humu utakuta mwanamke anataka mkwewe akija kukaa kwake eti afanye kazi, how comes jamani? Mama yangu aje kukaa nyumbani kwangu Kisha wewe utake afanye kazi kwakua unataka afanye? atafanya kazi akitaka mwenyewe.

Ninachokikataa ni ile mwanaume kufanya kazi za ndani eti kwakua wife wake kasema, au ile unakuta wamewekeana zamu za kuosha hadi vyombo[emoji1].

Mwanaume afanye kazi za ndani kumsaidia mke wake kwakua kwa kupenda yeye na anafurahia kufanya hivyo, na sio kwa kutumwa tena mbele za wageni.
Mama mkwe tumekaa naye yule bibi mwaka mzima,na kazi zote anafanyiwa bila kinyongo maana ni mdhaifu na upendo ulitamalaki.
Uzuri anajua kuappreciate kila anachofanyiwa na ni mcheshi mno anapendeka.
Hadi alipoondoka haachi kuuliza binti yangu hajambo,nimemmiss hivi na hivi.

Watu tu baki,dada wa mbali ndio wana huo ulemavu.

Nina dada yangu aisee ana mama mkwe wake wanapendana hatari.
Yule mama anafanya kazi hadi unamwambia acha.
Ashazoea kwake hakai idle bila kazi..basi popote atakapoenda ni kupiga kazi tu.

Mama yangu mwenyewe mzazi anafanya kazi hata aende wapi.
Tena bila kuambiwa.
Nadhani nahitaji mama mkwe aina hizi.
 
Najua kabisa kuwa hii comment hainihusu mimi, ila ngoja nitie neno.

Inaonekana ni kweli kabisa kuwa dadako kaolewa na jamaa fala tu kama ulivyosema hapo, maana kama asingekuwa fala usingepata hâta nafasi ya kuingia kwake saa kumi za usiku ukiwa umelewa.

Wewe kama ni mimi ulitakiwa uishie getini huko ili walinzi waulize kama wanatakiwa kukuruhusu au laah, na kama nikiambiwa umelewa nakutimua ili upitilize kwenu na hizo pombe zako.

Au nakuruhusu kabisa kabisa uingie ndani kisha namlala dadako na wewe ukiwepo msanii ili alie vizuri (milio ya mgegedo) mbele yako, na hiyo ni kukuonyesha tu kwamba nina mamlaka juu ya dadako, alafu tuone sasa utaenda kushitaki wapi. Maana najua hâta tukiamua kuwindana kitaa sichelewi kukuweka kwenye box la mbao.

Wanaume wengine wanakuwaje hawa, yani anakuja kupigwa kwenye nyumba yake?

Unaongea na kibaka kutoka Samora Avenue, I've been in prison in 7 different countries. Mimi nikikutataka nakukamata tu. Rottweilers are the good dogs you can put on your yard, lakini wakiniona tu wanajua huyu ndio master
 
Hao mimi hawachukui round nyumbani kwangu labda kama wife asinifikishie taarifa.Tena kama wageni wa kike wakiwa kwangu except (Mama zangu na mashangazi) watafanya kazi as usual, labda kama wawe wapitaji tu lakini two week na kuendelea wawe kwangu bila kufanya kazi sitaruhusu.

Cha ajabu humu utakuta mwanamke anataka mkwewe akija kukaa kwake eti afanye kazi, how comes jamani? Mama yangu aje kukaa nyumbani kwangu Kisha wewe utake afanye kazi kwakua unataka afanye? atafanya kazi akitaka mwenyewe.

Ninachokikataa ni ile mwanaume kufanya kazi za ndani eti kwakua wife wake kasema, au ile unakuta wamewekeana zamu za kuosha hadi vyombo[emoji1].

Mwanaume afanye kazi za ndani kumsaidia mke wake kwakua kwa kupenda yeye na anafurahia kufanya hivyo, na sio kwa kutumwa tena mbele za wageni.

Ni kweli unavyosema lakin mfano wewe Upo Na mkeo tu ,kazi nyingi mkeo anafanya peke yake mara afue,apike,asafishe nyumba ndani Na nje huwezi kumsaidia hata viwili hapo Na kumhurumia kuwa atalala hoi
Na usiku napo unataka umkunje kama tairi atakuwa a hamu kweli
 
Pole sana

Kuna namna ambavyo ulishindwa kusimamia mamlaka yako au nafasi yako kama mume ndani ya nyumba.

Ukiona mpaka mwanamke anafikia hatua ya kujiamulia kuishi anavyotaka ndani ya nyumba na ku deligate majukumu yake kwa beki 3 basi kuna shimo mahali ambalo hukuliziba tangu mwanzo wa ndoa yenu na sasa limekua sugu halizibiki

Umeonyesha udhaifu mkubwa sana kwenye suala zima la ku handle issue kwenye ndoa, huwezi kutatua changamoto au tofauti kwa kumpiga mke

Mwisho wa yote you knew her better na ulikua inajua anapenda nini, priorities zake ni zipi na carreer goals zake ni zipi, badala ya kumpiga mngekaa pamoja mkubaliane namna ambavyo anaweza kubalance her career onjectives pamoja na majukumu ya kifamilia bila kuathiri kimoja wapo
Nilifanya yote hayo ndani ya miaka 15..........baada ya kuona amefanikiwa akaota mapembe na kuvaa ngozi ya mamba.....kulikuwa hakuna chance ya kujadiliana chochote......alikuwa hana muda huo!!!lazima uelewe kuna mambo yapo nje ya uwezo wa kawaida wa kibinadamu yanaweza kuingilia ndoa
 
Basi wasilalamike, mke kuwekwa ndani hakuondoi hulka ya kike kupenda kusifiwa...jamani Mimi huyu Baba kaniteka hapo tu, naweza kupika akala, akatoka mara unaona SMS, "mke wangu chakula kilikuwa kitamu", guess what, akirudi ananikuta mlangoni nimemuandalia juice ya tende na maziwa....
Wanaume tupeni hamasa, yashibisheni masikio yetu Kwa maneno matamu, maneno tu..
Chakula kitamu kweli au anakupiga kunga tu 😅😅😅
 
Ni kweli unavyosema lakin mfano wewe Upo Na mkeo tu ,kazi nyingi mkeo anafanya peke yake mara afue,apike,asafishe nyumba ndani Na nje huwezi kumsaidia hata viwili hapo Na kumhurumia kuwa atalala hoi
Na usiku napo unataka umkunje kama tairi atakuwa a hamu kweli
Itategemea na kaliba yake! Kama mjuaji atapambana na hali yake na usiku tunda kama kawaida😅 lazma liliwe
 
Sasa kama kupika hujui nikusifie kweli!?

Mie unafiki na mimi huwa hatupikiki chungu kimoja[emoji28] kuna wanawake wanapika na ni hobby kabisa kwao! They cook alot and wabunifu leo atakupikia meat chops, kesho atajipikilisha vitu gani sijui yani full amazing[emoji28]! Mara kiji culiflower kidogo katengeneza na chops za carrot na hoho kuna vipande vya samaki fillets na kwa mbali mixa pili pili manga mara katengeneza pishi flani unaona dah hii menu ni 5 star kabisa.

We daily wali marage halafu unataka sifa[emoji28]? Ukibadilisha ni ugali na chuzi la nyama halina hata viungo yani hoves kabisa[emoji3] nijikute tu nasifia utumbo kama huo??? Ukijitahidi ni pilau jumapili [emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamani nimeufatilia huu mjadala Kwa karibu sana, wanaume mmefunguka, mmelalamika, Ila Naomba niulize, unalalamika mkeo hakupikii, hapangi nyumba, ni lini ulimsifia mkeo Kwa hizo shughuli? Jamani udhaifu WA mwanamke ni masikio yake, maneno matamu yanaweza kumfanya mke awe mtumwa wako na awakane hata ndugu zake.
Mimi huyu mbaba Kwa kweli nashukuru, anajua kuappreciate....nikimpikia ananisifia, si ofisini kwake, si Kwa ndugu zake wote wanajua mkewe anajua kupika[emoji23]...
Pia ananihamasisha, kidogo mara kanisuprise oven, mara mashine ya kusagia Nyama, mara food processor....Kwa nini nisimpikie hata Kama narudi kazini saa Saba ya usiku?
Sasa wewe huna muda WA kununua viamba upishi, unasubiri acheze vikoba anunue kisha unataka upikiwe....[emoji23][emoji23]

Wanaume mjiangalie mnajikwaa wapi, wengi mna visirani viso msingi.
Fanya hizo mambo tukusifie

Sasa unataka unilishe kuku wa mwenye kinyeo nikusifie au samaki alie na magamba
 
Amemkamata wapi, haya ndo mapenzi yanayotakiwa!

Huyu mwanaume ni mjanja na atakula vinono kwa mke wake mpaka basi!

Mwanamke ukimuwezea na hizi care ndogo ndogo ni umemuwin milele, utapendwa mpaka ujishangae[emoji848]

We endelea kukaa kibabe, utakutana nae
Hahahahah Care ndogo ndogo sio
 
Yani naomba maji badala ya kuhudumiwa na shemeji yangu, eti napewa na mshikaji wangu.

Halafu kuna watu wanakwambia sio vibaya kumsaidia mke wangu.
Shemeji yako kazi yake ni kumubudumia rafiki yako
Mbona unataka umege nafasi ya raha za rafikio[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom