Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Uvae na earphones maana utaamshwa tu
Earphone sivai wala nini.


Ukweli mimi huwa sipendi bugudha..
Hata sasahivi nikiwa home huwa najichimbia rum.

Kama sioni ulazima wa kutoka sitoki ng'oo.
Mambo ya kuitana itana maza anapaza sauti aaah! Nishakataa.

Nitatoka mwenyewe nikipenda.
 
Earphone sivai wala nini.


Ukweli mimi huwa sipendi bugudha..
Hata sasahivi nikiwa home huwa najichimbia rum.

Kama sioni ulazima wa kutoka sitoki ng'oo.
Mambo ya kuitana itana maza anapaza sauti aaah! Nishakataa.

Nitatoka mwenyewe nikipenda.
Hahahahahahhah kwahio maza unamkazia
 
Mkuu mimi nimeongelea wewe kuja na wageni bila taarifa..mbona unabadili mada?

Nyumbani lazima nipike,anakaaje na njaa?
Hata akija bila taarifa fresh tu,atakula.
Ila siyo anibebee watu bila taarifa.
 
Hata nyie wanaume wa package hizo za mumewa huyo dada hampo humu
Ni kweli kabisa, hao mnaowataka nyinyi wakuwatuma mnavyotaka ili mpate nafasi ya kuchati jf ni wachache sana, wengi tuna tambua magasin zetu kwenye familia.

Kwa hiki ninachokiona humu na kwa ninachofanyiwa na mke wangu kipenzi nyumbani kwangu , nimegundua kwamba nina deni kubwa sana (sijui nimzawadie nini tu). Ningeteseka sana kama angekuwa na mentality kama hizi.

Vijana wanaooa mika kadhaa mbeleni watahangaika sana, na pengine ushauri wa Liverpool VPN wauzingatie sana.
 
Ni vitu vya kujiongeza mkuu.
Huwezi kupanga kiwango maana siku zinatofautiana.
Kuna nyie ambao the whole family inaweza fanya any chores na wengne ambao they can't ( majority of us) kufanya chores kila mtu anafanya,,, wanaume nje ( kufagia,, cleaning the garden,, kupalilia) na women ni ndani

Wanaume wengi sio wazuri kwa kazi z ndani,, prove me wrong,,,

Unadeki,,unapika,,una do dishes,, preparing kids,, kufanya list ya groceries vizuri,,,kuliko mumeo

Kwa kumuangalia mtt tu,, unajua kuwa anaumwa au hayuko sawa,, ni rahisi sana ww kuamka usiku mtt akiwa analia kuliko mumeo ( though kuna exceptional ambao ni Less than 5% in our society)

Your husband anaweza akafua akaona it's fine ila ww ukiangalia nguo unaona ni chafu sehemu fulani
(Nimegombana sana na maa enzi hzo umefua nguo unazion safi anachukua anakurudishia anasema fua tena bado ni chafu)

Ukweli ni kwamba hvyo mnavyoviona vidogo it's what constitute your life for more than 50%

We (Men) see and expect perfection in what u do ( especially when tuna bond ya uhusiano wa ndoa)
We know you(women) are cooking good, do dishes good,, in your arms we expect nitoke kwenda kazini nna shine,, our chemoreceptors expect good taste of your food,,

Unaponiambia nifanye mm sawa ntafanya ( kazi za ndani) but najua kabisa I won't reach the perfection ya wife hata kidogo sasa hapa ndo tunagawanyika
1. Wale tunafanya coz of equality

2. Wale tunaona we gonna loose the taste perfectionism so tunatumia our masculinity to demand it( most of us)

Ila ukweli ni kwamba women are by nature good care givers hata mwanaume afanye kazi hizo sawa atafanya ila hataenjoy the results kama ukifanya ww
 
Dada if it's right [emoji817] then hakuna haja ya kulificha kuwa lifanyike mkiwa nyie tu na sio mbele ya wageni ndo ubadilike
Liko sahihi [emoji817]...sema hiyo ni kwa mimi sasa...

Kwa mwanamke mwingine anamtuma mbele za watu, tumetofautiana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]

Safi sana...we ndo mwanaume[emoji122][emoji122][emoji122]

I wish u culd be my brotha
 
Mkuu mimi nimeongelea wewe kuja na wageni bila taarifa..mbona unabadili mada?

Nyumbani lazima nipike,anakaaje na njaa?
Hata akija bila taarifa fresh tu,atakula.
Ila siyo anibebee watu bila taarifa.
Nani huyo atakuja home kwake na wageni bila taarifa? atakuwa boya.

Mimi nipo beneath na wale wasioweza hâta baada ya kupewa taarifa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]

Safi sana...we ndo mwanaume[emoji122][emoji122][emoji122]

I wish u culd be my brotha


Ukimpiga dadaangu ujiandae kukanyagwa miguu ya shingo. Sasa niko na mdogo wangu wa mwisho huyo ni chizi kuliko mtu wowote kwenye Dunia hii. Ni msela wa Johannesburg, nikimwambia kitu chochote tu lazima anisikilize
 
Ukimpiga dadaangu ujiandae kukanyagwa miguu ya shingo. Sasa niko na mdogo wangu wa mwisho huyo ni chizi kuliko mtu wowote kwenye Dunia hii. Ni msela wa Johannesburg, nikimwambia kitu chochote tu lazima anisikilize
Safi sana ..

Mwanaume pumbavu ndo anajisifia kumpiga mwanamke...

Utasikia " nilimnasa kibao akazimia" yaan ka sifa vile, akikufia?[emoji848][emoji848][emoji57][emoji57]
 
Sitoi k usiku unless awe amenisaidia kazi
Mmh hahahahaha😄😄😄, hivi hao wanaume mnakuwa mnashinda nao ndani siku nzima, au unamaanisha utamuachia kazi ili akitoka kazini aje azifanye? Yani nitoke kazini jioni kisha nifikie jikoni kukusaida ili usiku usinyime mbususu?

Hahahahahaha hii hoja imenichekesha sana.
 
Hii hasa hasa inahusu weekend...wote tusaidiane kazi

Siku za kazi ndo kabisaa siingii jikoni mimi, na obviously dada wa kazi yupo utamtuma tuma huyo
 
Safi sana ..

Mwanaume pumbavu ndo anajisifia kumpiga mwanamke...

Utasikia " nilimnasa kibao akazimia" yaan ka sifa vile, akikufia?[emoji848][emoji848][emoji57][emoji57]


Wanaume wa kiafrika tu ndio wanafikiri wana haki ya kuwapiga wanawake. Inabidi tuchukue sheria mikononi. Imagine, niko na very beautiful daughter. Sijawahi kunyanyua mkono wangu kumpiga hata siku hii moja. Halafu arudi nyumbani na red aye? Oh my boyfriend did this. I think I'm going to shoot your ass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…