Ni vitu vya kujiongeza mkuu.
Huwezi kupanga kiwango maana siku zinatofautiana.
Kuna nyie ambao the whole family inaweza fanya any chores na wengne ambao they can't ( majority of us) kufanya chores kila mtu anafanya,,, wanaume nje ( kufagia,, cleaning the garden,, kupalilia) na women ni ndani
Wanaume wengi sio wazuri kwa kazi z ndani,, prove me wrong,,,
Unadeki,,unapika,,una do dishes,, preparing kids,, kufanya list ya groceries vizuri,,,kuliko mumeo
Kwa kumuangalia mtt tu,, unajua kuwa anaumwa au hayuko sawa,, ni rahisi sana ww kuamka usiku mtt akiwa analia kuliko mumeo ( though kuna exceptional ambao ni Less than 5% in our society)
Your husband anaweza akafua akaona it's fine ila ww ukiangalia nguo unaona ni chafu sehemu fulani
(Nimegombana sana na maa enzi hzo umefua nguo unazion safi anachukua anakurudishia anasema fua tena bado ni chafu)
Ukweli ni kwamba hvyo mnavyoviona vidogo it's what constitute your life for more than 50%
We (Men) see and expect perfection in what u do ( especially when tuna bond ya uhusiano wa ndoa)
We know you(women) are cooking good, do dishes good,, in your arms we expect nitoke kwenda kazini nna shine,, our chemoreceptors expect good taste of your food,,
Unaponiambia nifanye mm sawa ntafanya ( kazi za ndani) but najua kabisa I won't reach the perfection ya wife hata kidogo sasa hapa ndo tunagawanyika
1. Wale tunafanya coz of equality
2. Wale tunaona we gonna loose the taste perfectionism so tunatumia our masculinity to demand it( most of us)
Ila ukweli ni kwamba women are by nature good care givers hata mwanaume afanye kazi hizo sawa atafanya ila hataenjoy the results kama ukifanya ww