Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Naanzaje kumkazia yule bimkubwa na alivyo mtata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahahahhah kwahio maza unamkazia
Kabisa nguvu za kike zinatokomea kusikojulikanaKweli vile...mtu wa hivo hata vigenye nae huna asee[emoji57][emoji57]
[emoji1787]Nani huyo atakuja home kwake na wageni bila taarifa? atakuwa boya.
Mimi nipo beneath na wale wasioweza hΓ’ta baada ya kupewa taarifa.
Wadau,
Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!
Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.
Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.
Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.
Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.
Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.
Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.
ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA
KARIBU NI WADAU WENZANGU MLIOKOSEA KUOA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimpiga dadaangu ujiandae kukanyagwa miguu ya shingo. Sasa niko na mdogo wangu wa mwisho huyo ni chizi kuliko mtu wowote kwenye Dunia hii. Ni msela wa Johannesburg, nikimwambia kitu chochote tu lazima anisikilize
Basi ni wajibu wa jamii nzima wabab kwa wamama kuwaelimisha mabinti zetu namna ya ku cope na hali zote za maisha pasipo kuathiri uhalisia na malezi tuliyopewaKimsingi usomi is not an issue bali attitude ya mtu tu!
Attitude changes inakuwa affected na mambo mengi sana ikiwemo uchumi na living standards! Watu wana change from being normal to being anti-social sana sababu ya powers na uchumi these days.
Hawa ndio huitwa washamba sasa maana nguvu ya kiuchumi haitakiwi kukufanya kudharau watu au kunyanyasa watu. Mafanikio yako hayatakiwi kubadilisha humanity au nature yako.
Shida iko kwenye ushambaπ mtu katoka kwao na akili zote akifika mjini anaanza kujiona staa akirudi kijijini kwao hata kusalimia majirani hawezi ananata mbaya!
The same kwa wasomi wakike wenye graduate degrees. Ndio wanaongoza kwa ulimbukeni wengi na kujifanya kazi hawawezi japo sio woteπ
Lawama hizo ntaelekeza kwa mama sababu sisi wababa kwa binti zetu ni wadhaifu sana! Yani kudekeza mtoto wa kike ni kawaida sababu tunapenda wawe na comfortπ so kazi ya ukauzu anatakiwa aifanye mama yake!Basi ni wajibu wa jamii nzima wabab kwa wamama kuwaelimisha mabinti zetu namna ya ku cope na hali zote za maisha pasipo kuathiri uhalisia na malezi tuliyopewa
πππ Jamani napika kweli kweli Mashallah!Chakula kitamu kweli au anakupiga kunga tu π π π
Ahaa nilivyoona neno Mashaallah kidogo imenipa moyoπ walau naweza kuamini maana watu wa kanda hio wako njema!πππ Jamani napika kweli kweli Mashallah!
Pole sana, ita too late, alivyoanza kuota tu pembe ungemfungashia virago umrudishe kwa wazazi wake akaotee pembe hukoNilifanya yote hayo ndani ya miaka 15..........baada ya kuona amefanikiwa akaota mapembe na kuvaa ngozi ya mamba.....kulikuwa hakuna chance ya kujadiliana chochote......alikuwa hana muda huo!!!lazima uelewe kuna mambo yapo nje ya uwezo wa kawaida wa kibinadamu yanaweza kuingilia ndoa
Basi kama mzigo wa malezi mnamwachia mama msije kulia lia humu sijui mmekosea kuoaLawama hizo ntaelekeza kwa mama sababu sisi wababa kwa binti zetu ni wadhaifu sana! Yani kudekeza mtoto wa kike ni kawaida sababu tunapenda wawe na comfortπ so kazi ya ukauzu anatakiwa aifanye mama yake!
Duh hao dada zako kweli wamepata mume shoga au wasenge yaani ndani ya nyumba yangu shemeji aje kunipangia heee baba mkwe mwenyewe anaogopa kuni iingia sembuse shemeji.tawakimbiza nyie hehe kama paka alie iba mboga ya watu.dah kweli tumetofautiana yaani shemeji aje kunipangia nyumbani kwangu Hahahaa labda sio mimi.Ukimpiga dadaangu ujiandae kukanyagwa miguu ya shingo. Sasa niko na mdogo wangu wa mwisho huyo ni chizi kuliko mtu wowote kwenye Dunia hii. Ni msela wa Johannesburg, nikimwambia kitu chochote tu lazima anisikilize
Tushafika kwenye kunyimana K tena? Kisa Kazi za ndani?πππSitoi k usiku unless awe amenisaidia kazi
Unatuletea chai hapa kenge wewe πππ€£ mkitumwa na wazazi mnaenda na mume mnaona kero!Naanzaje kumkazia yule bimkubwa na alivyo mtata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dadaako akileta umama anachezea tu ili uje na wewe pia ule vitasaπ huwezi kulelea jambazi la kike af utetee ujinga.Ukimpiga dadaangu ujiandae kukanyagwa miguu ya shingo. Sasa niko na mdogo wangu wa mwisho huyo ni chizi kuliko mtu wowote kwenye Dunia hii. Ni msela wa Johannesburg, nikimwambia kitu chochote tu lazima anisikilize
Wadau,
Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa ana vihela flani na connections za watu wazito ndani ya bongo....duh acha kabisa!!!
Nilikuja kujuta sana manake kazi zoote na mambo yooote ya nyumbani yalikuwa yanafanywa na mabeki tatu kuanzia Kufua nguo zangu, maji ya kuoga, kupika nk alikuwa hana time kabisa na nyumba yake. Hajui chochote kinachoendelea nyumbani kwake kila kitu anabishana na kushindana.
Mtu wa vikao vya dinner karibu kila siku. Miaka ya mwanzoni nilikuwa namdunda sana sana baadaye nikapataga kesi, wakati mwingine ilibidi niingie hasara ya kumpeleka hospitali na kumhudumia manake alikuwa na watoto wadogo.
Nikaamua kuingia kwenye pombe na michepuko ili nimpuuzie. Nikawa nampuuzia kama vile hayupo na yeye akanikazia, akazidisha kiburi na jeuri nikaanza tena kumdunda nikapata tena kesi kubwa manake ilikuwa nimuulie mbali.
Sasa baadaye nikafikiria sana watoto wangu tukafikia hatua ya kuachana na kukubaliana jinsi ya kuwalea watoto. Sasa tumeweka nguvu zoote katika kuwalea watoto na hali imekuwa shwari kabisa kila mtu anaishi kivyake baada ya talaka.
Najua kuna wale watakaosema tuishi nao kwa akili. Nilijitahidi kufanya hivyo kwa miaka 15 lakini ikashindikana manake ningeishia jela baada ya kumtoa uhai na watoto wangeteseka.
Bora iwe hivi hivi wote tupo wazima wa afya.
ALAMSIKI, DUH USIOMBE KUKOSEA KUOA BORA UKOSEE KUZALIWA
KARIBU NI WADAU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Hatujui aliekosea hapa ni wewe au mkeo? Kwasababu we jamaa ni fala sana ujue
Kazi kwako unaeiolea jamii!!Mkuu mimi naoa mwaka ujao na ninajua hakuna faida yoyote ila naoa kwa sababu ya nitaonekanaje kwa jamii yangu nisipooa
KiKikubwa huyo dada wa kazi nimtafute mimi au kama utamtafuta wewe hakikisha unatafuta mzuri kuliko wewe, ili ukiwa umechoka sana akusaidie kila kitu.Hii hasa hasa inahusu weekend...wote tusaidiane kazi
Siku za kazi ndo kabisaa siingii jikoni mimi, na obviously dada wa kazi yupo utamtuma tuma huyo
Makaka zako ni makatili....mi kaka zangu ni mabadindu but linapokuja swala la mwanaume kumgusa Wit....hahaha my friend wanaweza hata kukupaka VaselineDadaako akileta umama anachezea tu ili uje na wewe pia ule vitasa[emoji23] huwezi kulelea jambazi la kike af utetee ujinga.
Mi kaka zangu walikuwa wanamwambia sister kabisa akileta umama kwa mumewe akirudi wanamuongezea kipigo!