Uwiii unanitishia na kucheat?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]KiKikubwa huyo dada wa kazi nimtafute mimi au kama utamtafuta wewe hakikisha unatafuta mzuri kuliko wewe, ili ukiwa umechoka sana akusaidie kila kitu.
Waaai hizo genye nazipata wapi kwa mtu hayuko romantic[emoji57][emoji57]Tushafika kwenye kunyimana K tena? Kisa Kazi za ndani?[emoji23][emoji23][emoji23]
K mpe Ila punguza machejo[emoji23][emoji23][emoji23]
Anajichanganya mwenyewe huyu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Basi kama mzigo wa malezi mnamwachia mama msije kulia lia humu sijui mmekosea kuoa
Sio ukatili tu, sister wangu ni zaidi ya chizi yani 😅😅😅 alikua nati kichizi ubishi ndio usiseme.Makaka zako ni makatili....mi kaka zangu ni mabadindu but linapokuja swala la mwanaume kumgusa Wit....hahaha my friend wanaweza hata kukupaka Vaseline
Mwanaume afanye ujinga wote lakin asinipige na nikawapa taarifa
Sisiter unakutana na wanaume gani kwani? Yani mimi ili uwaokoe hao kaka zako mabandidu inabidi usiwaambie tu, maana ulimwambia kisha wakaniletea kibesi wafanya ndoo mpaka pale nitakapoamua vinginevyo. Nisipofanya hivyo nikaamua kwenda kibandidu pia,mtawakuta kwenye magunia kisha muanze kuisingizia serikali.Makaka zako ni makatili....mi kaka zangu ni mabadindu but linapokuja swala la mwanaume kumgusa Wit....hahaha my friend wanaweza hata kukupaka Vaseline
Mwanaume afanye ujinga wote lakin asinipige na nikawapa taarifa
Kwani binti akiwaga na tabia mbovu ushawahi sikia analaumiwaga baba au hujafuatilia hilo swala kwa makini? 😅Basi kama mzigo wa malezi mnamwachia mama msije kulia lia humu sijui mmekosea kuoa
[emoji106][emoji119][emoji119]Very funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financially
Ahahahaha sa unachokaje kila siku 😁Uwiii unanitishia na kucheat?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utajijua mwenyewe mfanye utakavyoo hahahaha
Hahahaha....uzuri niliripoti tukio moja kwao lilichotokea siwezi kusema..Sisiter unakutana na wanaume gani kwani? Yani mimi ili uwaokoe hao kaka zako mabandidu inabidi usiwaambie tu, maana ulimwambia kisha wakaniletea kibesi wafanya ndoo mpaka pale nitakapoamua vinginevyo. Nisipofanya hivyo nikaamua kwenda kibandidu pia,mtawakuta kwenye magunia kisha muanze kuisingizia serikali.
Lazima impala iwepo bwana, wewe ukinichoka beba mizigo yako naenda kwa hao kaka zako au kiitishwe kikao ili tuzungumze vizuri tatizo liishe, ila eti waje kunifanyia vurugu kwangu aiseeh[emoji44].
Nashukuru sana Mungu kanipatia mwanamke anaetoka kwenye familia isiyo na longolongo, na kwanza hao mashemeji zangu wananiheshimu sana saaaaaanaaaa.
Hahahahaha sio kila siku banaAhahahaha sa unachokaje kila siku [emoji16]
😅😅😅😅😅😅😅😅 makaka wakija nao wanajumuishwa kwenye kichapo!Sisiter unakutana na wanaume gani kwani? Yani mimi ili uwaokoe hao kaka zako mabandidu inabidi usiwaambie tu, maana ulimwambia kisha wakaniletea kibesi wafanya ndoo mpaka pale nitakapoamua vinginevyo. Nisipofanya hivyo nikaamua kwenda kibandidu pia,mtawakuta kwenye magunia kisha muanze kuisingizia serikali.
Lazima mipaka iwepo bwana, wewe ukinichoka beba mizigo yako naenda kwa hao kaka zako au kiitishwe kikao ili tuzungumze vizuri tatizo liishe, ila eti waje kunifanyia vurugu kwangu aiseeh😲. Kwamfano nikufumanie alafu waje kunipigia kelele?
Nashukuru sana Mungu kanipatia mwanamke anaetoka kwenye familia isiyo na longolongo, na kwanza hao mashemeji zangu wananiheshimu sana saaaaaanaaaa.
😂😂😂Hahahaha....uzuri niliripoti tukio moja kwao lilichotokea siwezi kusema..
Na hii ilinifanya nisiripoti tukio lingine tena so nikawa nakausha!..
Ukiona nimeripoti ujue umenionea kweli na wao wanajua
Sasa ndo maana nilikuwa siripoti kwao kwa kuwa najua kuwa nimezingua mahali, so hata nikiwambia utakuwa uonevu kwa jamaaSio ukatili tu, sister wangu ni zaidi ya chizi yani [emoji28][emoji28][emoji28] alikua nati kichizi ubishi ndio usiseme.
Alikuwa mtata kweli yani mpaka akataka kuwa kama Tomboy ila tu mbata za makaka za hapa na pale zilisaidia. Amefika chuo akawa amebadilika kabisa anajielewa [emoji28] ila kama angeachwa vile vile angekuja kutuzingua. Now yupo na family yake na adabu zote wala hamna tatizo!
Kaka zako wakiwa smart watafatilia chanzo kwanza kama una haki ya kudundwa au unaonewa lazma uulizwe umefanya nini! We umefumwa na sms za ajabu utakimbilia kusema umepigwa [emoji23][emoji23][emoji23] ama utachuna tu?!
Yes kureport kwa kaka zako ni sawa kabisa, hâta mimi mdogo wangu hureport kwangu lakini huwa naangalia namna nzuri ya kulimaliza na shemeji yangu huyo hâta kamaa uwezo wa kumuadhibu kivingine ninao.Hahahaha....uzuri niliripoti tukio moja kwao lilichotokea siwezi kusema..
Na hii ilinifanya nisiripoti tukio lingine tena so nikawa nakausha!..
Ukiona nimeripoti ujue umenionea kweli na wao wanajua
We mwanaume ni mmoja mi kaka zangu watano na ni magiant kweli kweli unataka wakuue nn uwape murder case[emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] makaka wakija nao wanajumuishwa kwenye kichapo!
Wanakujaje kuleta vurugu bila kujua chanzo!
That's great...na wao wanafata procedure, kinachokuja kuwakera ni ile umenipiga sijui ukaniumiza jicho au umenitoa alama asee hawakuachi[emoji848][emoji848]Yes kureport kwa kaka zako ni sawa kabisa, hâta mimi mdogo wangu hureport kwangu lakini huwa naangalia namna nzuri ya kulimaliza na shemeji yangu huyo hâta kamaa uwezo wa kumuadhibu kivingine ninao.
Siwezi kwenda kumu-attack shemeji yangu kwa ujinga wa dada yangu mwenyewe.
Ningekuwa mimi ndo mmeo ukoo wako ungekuwa ushanichukia vibaya mno kuhusu hao kaka zako. Nimemuonea huruma huyo jamaa ambaye anaweza kuonewa hadi na kaka za mke wake.Sasa ndo maana nilikuwa siripoti kwao kwa kuwa najua kuwa nimezingua mahalo, so hata nikiwambia utakuwa uonevu kwa jamaa
But ningesema nikamsemee wee[emoji134][emoji134]
Hahahahahaha [emoji16][emoji16]Ningekuwa mimi ndo mmeo ukoo wako ungekuwa ushanichukia vibaya mno kuhusu hao kaka zako. Nimemuonea huruma huyo jamaa ambaye anaweza kuonewa hadi na kaka za mke wake.
Wawe na nguvu kivingine Sasa, lakini sio kutegemea ukubwa wa miili yao.That's great...na wao wanafata procedure, kinachokuja kuwakera ni ile umenipiga sijui ukaniumiza jicho au umenitoa alama asee hawakuachi[emoji848][emoji848]
Haya bwanaHahahahahaha [emoji16][emoji16]
Ndo mapenzi hayo
Wee unataka umpige mwanamke umuumize na akose mtetezi?[emoji849][emoji849]