Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Mm hapa ndo najisemeaga acha nitafute mtoto wa pili alaf niachane na mawazo ya kuoa

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hujanielewa.

Huyu mwanamme angesimama kama mwanamme, sio kibabe, kwa upendo na busara angeiongoza familia na isingevunjika.
Busara gani hapo angefanya kama mtu kaamua kukengeuka? Again kila mtu analimit ya uvumilivu na si kila mtu anastahili kuvumiliwa kama ilivyo si kila mtu anafundishika

Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
 
Ila alikuja kuzidi mahali ndio maana ndio ikawashinda kwa uzoefu wangu wanaume wanaoendelezewa kielimu au kibiashara ndoa zao hufa, a moment mke akipata kazi au hela humuona mume si chochote
Kilanga tu 😅😅😅 bora kumuacha mke hivyo hivyo tu!
 
Housegirl akiwepo haina shida ila atleast kapika jiongeze mtengee mumeo basi chakula kwenye tray au mezani aone tu umetenga wewe hata kama haujakipika inaleta raha😅
 
Hilo janamke la aina hii uliliokota wapi[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Una mashushu balaa
 
Ulitaka mwenye degree na akili ya biashara halafu unataka asitumie degree yake na uwezo wake kutafuta biashara akuandalie maji ya kuoga??🤣🤣🤣....

Kuna mwenzako kaachana na mkewe sababu huwa hapokelewi begi akitoka kazini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ukitaka ufanyiwe hayo mambo ya kuwekewa maji ya kuoga achana na wanawake akili kubwa, oa wanawake wa kawaida wa kiswahili tena wale Wapenda taarabu n.k, wale huwa ni waoga wa kuibiwa mume, utaogea mpaka maji yenye iliki.
 
Yes hyo must na ukipata hela unamuona wa nini, upendo mzuri ni ule usio ji attach na material things
Ndio mi nasemaga daily sihongi wala stafuti mpenzi kwa kuhonga pesa ukinipenda bila hongo ndio ntajua upo serious na penzi lako😅 maana matapeli wengi wanafataga hongo zile! Uje tutafte na tuzile pamoja.

Wengine ni gari ama kazi nzuri anakuvizia wewe ujae aanze kuwatambia mashosti😂...Thats never gonna last.
 
Kwahio unataka mumeo umlishege chips kila siku ambayo hutaki kupika[emoji28]!

Nakusihi jikite kwenye kuwa demu wa mtu achana na ndoa! Muwe mnakutana weekend na kulana uroda tu
Siwezi kutoka kazini nimechoka huko eti nianze kuosha vyombo, kupika Hadi saa nne kisa mume never on earth instead ya kutafta mtu afanye nihangaike tu Hadi nizeeke kwa kweli hapana, wote tumetoka tumeenda kazini nirudi nihangaike na yote hayo?
Maisha ni mafupi kujichosha na kazi mara kupika pika jamani Ili kufuraisha binadamu asiye na shukrani
 
Housegirl akiwepo haina shida ila atleast kapika jiongeze mtengee mumeo basi chakula kwenye tray au mezani aone tu umetenga wewe hata kama haujakipika inaleta raha[emoji28]
Mkuu hii sio shida, tatizo linaanza pale unapoanza oh mimi sili chakula cha dada, mara nguo zangu ufue mwenyewe zisishikwe na mtu mwingine. Hapo ndio hakuna rangi utaacha kuona
 
Ndivyo dunia ilivyo mama. Huwa nafikiri ni mgonjwa wa akili japo haonyeshi dalili nyingine za aina hiyo huko nje. Ni mimi ninayekaa naye tu ndiye ninaye mjua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

Unaonekana una mdomo sana[emoji1787][emoji1787] eti mgonjwa wa akili hahaahaa
 
Hapo jamaa kala hasara yani😅
 
Housegirl akiwepo haina shida ila atleast kapika jiongeze mtengee mumeo basi chakula kwenye tray au mezani aone tu umetenga wewe hata kama haujakipika inaleta raha[emoji28]
Si unaona sasa mlivyo wabinafsi! Wewe unachojali ni kupata raha tu hujali kama mwenzako naye kachoka kama wewe au la!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…