Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Huo uzungu mpelekee baba ako nyumbani kwenu. Ukiolewa lazima ufwate taratibu na sheria ikiwemo kumpikia mume wako. Kama hutaki kupika kaa nyumbani na mama ako ndio mtapangiana zamu za kupika sio kwa mume wako.
Mkuu bila shaka nawe unatimiza majukumu yako yote! Huulizii mshahara wa mkeo na unamhudumia kwa kila kitu yeye pamoja na watoto na unalipia bills zote peke yako!
 
Si unaona sasa mlivyo wabinafsi! Wewe unachojali ni kupata raha tu hujali kama mwenzako naye kachoka kama wewe au la!
Dah sasa bibie kutenga chakula napo tu tabu jamani😅 hebu usiwe hivyo bana! Why do you want to establish a league on such a minor thing? Hivi hilo nalo ni kumfanyia favour mume pia? Afterall unapakua mnakula wote mbona iko poa sana tu.

Kwahio mume akirudi ajitengee mwenyewe maji ya kuoga, ajipakulie, ajioshee vyombo! Kimsingi mimi kama mumeo ungechagua mawili tu aidha uendelee na kazi au ubaki home ufanye mambo yanayostahili kufanywa.
 
Hapo kwenye bond na chemistry nmepaelewa aisee...unaweza kuwa na demu mkali had washkaj wanakuonea wivu ila ukawa huna bond nae na chemistry hakuna..ila ukawa na demu wa kawaida tu ila mka connect vibaya mno...yameshanitokea haya mambo
Bila maelewano mapenzi ni ushuzi tu😅
 
Ndoa ni hasara kwa mwanaume, faida kwa Mwanamke!

Hakuna mtu wa kukusaidia maisha yako as a man hata kama Mwanamke wako ni mtoto wa Rais...

Mwanaume ni kufight kwa ajili ya maisha yako bro

As a man you only have God and yourself to save you,all the rest are against You!

Pambana kufa kiume... elewa upo mwenyewe basi...

Hakuna kuingia Kwenye makubaliano yoyote yale na Mwanamke...

Ni kosa kwa mwanaume kuwaza Kuoa Mwanamke wa kumsaidia kiuchumi

Chako chako bro, chake chake huko.
Je jasho lako atalila Mtu mwingine
Hawa parasites wanaokuja kwa kisingizio cha upendo!

Kwanza Upendo wanaujua basi zaidi ya janjajanja,uongo, unafiki,uhuni tu na manipulation...

Kwa mwanaume lazima uwe na Vielement vya ubinafsi, dharau, roho mbaya, chuki nao kidogoo kwa wanawake na Kuwachukia kidogo ndipo utawaweza...

Nenda nao kwa upendo upendo uone... A little hate asee!
 
Hatari sana,ndio maana wadada wamejaa kitaa hawaoni mbele wala nyuma. Vijana wa siku hizi ni wajanja hawaoi kizembe
Hawaoi sababu wanajua hawana uchumi wa kuhudumia huyo mke atakayekaa anakuwaza wewe muda wote utakula nini utavaa nini umekohoa au umejikwaa huko uliko! Maana yake mwanamke wa hivyo lazima awe mama wa nyumbani sasa vijana wengi wanataka kusaidiana maisha ndipo shida ilipo!
 
Hata mimi nitakuambia wapo wanaume wanaotimiza majukumu yao na bado wanawasaidia wake zao kazi za nyumbani ilihali wake zao ni mama wa nyumbani tu! Je hiyo ni sawa?
Ni sawa kama mwanaume anafurahia kufanya hayo yote ila kwa asiye furahia hayo ana hiari ya kutofanya na haikupi wewe mamlaka ya kumkomoa!
 
Kuna jamaa yangu yeye mpaka alijihisi ni hanithi kumbe kamchoka mwanamke wake aliyekuwa na kiburi, hila, ujeuri na dharau, of recent kila akikutana naye kitandani baada ya kuwa pamoja kwa miaka kumi ngoma haidindi kabisa ila akienda nje anapiga mashine mchepuko wake hadi unakimbia unaacha chupi kwa msela.
 
Dah sasa bibie kutenga chakula napo tu tabu jamani[emoji28] hebu usiwe hivyo bana! Why do you want to establish a league on such a minor thing? Hivi hilo nalo ni kumfanyia favour mume pia? Afterall unapakua mnakula wote mbona iko poa sana tu.

Kwahio mume akirudi ajitengee mwenyewe maji ya kuoga, ajipakulie, ajioshee vyombo! Kimsingi mimi kama mumeo ungechagua mawili tu aidha uendelee na kazi au ubaki home ufanye mambo yanayostahili kufanywa.
Ndiyo uangalie na siku sasa jamani! Kuna siku mwenzio anakuwa kavurugwa hata hamu ya kula tu hana achilia mbali hiyo ya kukutengea wewe msosi!
 
I second you. Wanawake sikuhizi wanaweka dada wa kazi training ya maana ya kupika plus usafi kila kitu. Kuingia jikoni mara moja moja especially weekend mume akiwa nyumbani. Hawafui kitu labda nguo za baba za ndani na za kwake. Bado hapo mwanaume atasema ukitoka kazini nataka kula chakula chako na maji unipelekee bafuni wakati kila kitu nyumbani kipo perfect
Dah Yani mimi nimetoka na wewe kazini hunihurumii eti nikupie, sijui nibebe maji huko ni kuchoshana jamani, hyo ya nguo kufua nikununua tu machine hamna namna, hyo ya msosi weekend mtu waweza pika. Sasa mume asiyekuhurumia na kukugeuza kijakazi hafai
 
Back
Top Bottom