Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Narudie tena huko peponi hakuna wanawake... Hawa watu ni mashetani...

Wanaume hawajawahi kuwa wazinifu au watu wabaya, chanzo cha ubaya wao ni wanawake...
 
Na hizo nguvu wakihamishia kutafta hela na wakipata hela ugomvi utaisha nyumbani, wewe angalia baba asipokuwa na hela anakuwa mkali ka nini, Sasa ukiwa na hela unakuwa bar unapiga bia na kitimoto mda wa kubishana na mkeo upate wapi?
Afuu kweli asee[emoji1787][emoji1787]
 
Narudie tena huko peponi hakuna wanawake... Hawa watu ni mashetani...

Wanaume hawajawahi kuwa wazinifu au watu wabaya, chanzo cha ubaya wao ni wanawake...
Na hakuna wanaume wanaoishi kilemavu na wakati si walemavu,ni mashetani hao

Ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu.
 
Kaka zangu huenda sokoni kununua vitu vya nyumba na siku wakipika msosi watu hujing'ata my daddy self Kuna vitu hufanya ka kununua vitu sokoni tena wamama humpenda balaa mbona hajawa less man?
Wamama waki Tanzania hawa pendi mume aende sokon maana Wana jua watakosa kufanya ufisadi
 
Kaka zangu huenda sokoni kununua vitu vya nyumba na siku wakipika msosi watu hujing'ata my daddy self Kuna vitu hufanya ka kununua vitu sokoni tena wamama humpenda balaa mbona hajawa less man?
Wanawake wa kibongo uende sokoni kununua vitu uki vileta nyumbani utaambiwa nyanya mbovu, nyama ya jana, samaki walitaka kuaribika, naz koroma, Mchele siyo mzur Bora waende wenyewe sokon kuliko kusemwa kama mtoto
 
Mimi sufulii mtu na mwanaume anayepima upendo Kwa vitu vya kijinga hivo tuachane sio size yangu huyo
Kwani we Una pima Upendo kwa vitu gani? Mana wanawake wengi mnapima Upendo kwa kupewa hela
 
Hee wako fit kinoma...sio minyama uzembe afu vijana sasa
Kaka zako wame bahatika kukutana na shemeji zao maboya hawajielewi yan shemeji aiingilie matatizo ya familia yangu Kwanza wataanzia wapi Yan lazima nitaondoka na shingo ya Mmoja wao
 
Afadhali aliyesoma kuliko ambaye hajasoma ,hawa ambao hawajasoma sometimes ni washirikina
 
Kumbe malalamiko yoote na kuwaponda waliosoma kumbe bado mnawataka haohao
Hamtaki wasiosoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani mnawadis wasomi ila mnawakubali kiaina.
Kweli mti wenye matunda hupigwa mawe.
 
Nakazia

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…