Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Narudie tena huko peponi hakuna wanawake... Hawa watu ni mashetani...

Wanaume hawajawahi kuwa wazinifu au watu wabaya, chanzo cha ubaya wao ni wanawake...
 
Na hizo nguvu wakihamishia kutafta hela na wakipata hela ugomvi utaisha nyumbani, wewe angalia baba asipokuwa na hela anakuwa mkali ka nini, Sasa ukiwa na hela unakuwa bar unapiga bia na kitimoto mda wa kubishana na mkeo upate wapi?
Afuu kweli asee[emoji1787][emoji1787]
 
Narudie tena huko peponi hakuna wanawake... Hawa watu ni mashetani...

Wanaume hawajawahi kuwa wazinifu au watu wabaya, chanzo cha ubaya wao ni wanawake...
Na hakuna wanaume wanaoishi kilemavu na wakati si walemavu,ni mashetani hao

Ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu.
 
Kaka zangu huenda sokoni kununua vitu vya nyumba na siku wakipika msosi watu hujing'ata my daddy self Kuna vitu hufanya ka kununua vitu sokoni tena wamama humpenda balaa mbona hajawa less man?
Wamama waki Tanzania hawa pendi mume aende sokon maana Wana jua watakosa kufanya ufisadi
 
Kaka zangu huenda sokoni kununua vitu vya nyumba na siku wakipika msosi watu hujing'ata my daddy self Kuna vitu hufanya ka kununua vitu sokoni tena wamama humpenda balaa mbona hajawa less man?
Wanawake wa kibongo uende sokoni kununua vitu uki vileta nyumbani utaambiwa nyanya mbovu, nyama ya jana, samaki walitaka kuaribika, naz koroma, Mchele siyo mzur Bora waende wenyewe sokon kuliko kusemwa kama mtoto
 
Mimi sufulii mtu na mwanaume anayepima upendo Kwa vitu vya kijinga hivo tuachane sio size yangu huyo
Kwani we Una pima Upendo kwa vitu gani? Mana wanawake wengi mnapima Upendo kwa kupewa hela
 
Hee wako fit kinoma...sio minyama uzembe afu vijana sasa
Kaka zako wame bahatika kukutana na shemeji zao maboya hawajielewi yan shemeji aiingilie matatizo ya familia yangu Kwanza wataanzia wapi Yan lazima nitaondoka na shingo ya Mmoja wao
 
Tatizo kutafta mke ambaye hajasoma ni mazoezi kwa sasa[emoji28]!!! Utampatia wapi labda uende usambaani huko Bumbuli ukalokote goigoi.

Wanawake ni nyie nyie mliosoma tutawaoa ila unajipimia tu size ya kero[emoji23] ambazo unaweza vumilia! If you wanna mistreat your man sababu unaenda kazini then wapo ambao watavumilia mis treatments hizo [emoji28][emoji28][emoji28]! Huwezi kosa boya wako wa kumpelekesha na kumpangia ratiba za papuchi sababu unaenda ofisini!

What i mean its irrelevant yani kuunganisha kazi na majukumu yako kama mke kwenye familia. Its never an excuse kabisa[emoji41]
Afadhali aliyesoma kuliko ambaye hajasoma ,hawa ambao hawajasoma sometimes ni washirikina
 
Tatizo kutafta mke ambaye hajasoma ni mazoezi kwa sasa[emoji28]!!! Utampatia wapi labda uende usambaani huko Bumbuli ukalokote goigoi.

Wanawake ni nyie nyie mliosoma tutawaoa ila unajipimia tu size ya kero[emoji23] ambazo unaweza vumilia! If you wanna mistreat your man sababu unaenda kazini then wapo ambao watavumilia mis treatments hizo [emoji28][emoji28][emoji28]! Huwezi kosa boya wako wa kumpelekesha na kumpangia ratiba za papuchi sababu unaenda ofisini!

What i mean its irrelevant yani kuunganisha kazi na majukumu yako kama mke kwenye familia. Its never an excuse kabisa[emoji41]
Kumbe malalamiko yoote na kuwaponda waliosoma kumbe bado mnawataka haohao
Hamtaki wasiosoma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani mnawadis wasomi ila mnawakubali kiaina.
Kweli mti wenye matunda hupigwa mawe.
 
Nimesoma malalamiko ni mengi humu! Nimeoa hao wasomi level ya masters nani mtumishi wa shirika fulani la serikali nani boss kwenye ilo shirika namaanisha ni wale wakuendeshwa na v8 ma safari kibao lakini niwe mkweli, msichana kiumri ni mdogo ana 32 mimi 36 na mimi sina elimu kama yake ni kijana wa form 6 na nina biashara zangu hapa mjini lakini naweza kusema huyu mke ana nizamu sijawai kuona... Tuna dada wa kazi na mtoto mmoja lakini anaamka sa 11 anandaa chai na cha mchana ndo anaondoka kwenda kazini na jioni lazima aulize mume unataka kula nini....

Tukiachana na hayo sijawai kuona hatimizi wajibu au kinivunjia heshima na ndoani huu ni mwaka wa7!!! Nafikiri kabla yakuoa chunguza uyo mwanamke na anapotokea yani familia yake... Kuna kitu tunasahau nacho ni ushamba! Usiombe kukutana na mwanamke hajui alafu ajifanye anajua au mwanamme wa style hiyo na Hawa ndo wanaitwa wajuaji kwenye ndoa lazima pawe pamoto....!!! Maisha ya ndoa haya husiani na elimu zenu au kipato ila mmoja akiwa vizuri anamuinua mwengine na maisha yanaenda safi!!! Men achana na kuwaza visenti vya hawa wakina mama maana unakuta kamshahara ni ka million 1.3 ila iyo jeuri ni balaa...

Tafuta Pesa yako kama mwanaume tunza familia kama baba kuanzia mke mpe pesa za shopping yake na watoto nyumbani vyakula viwepo vyakutosha sio maharage tu jaza nyama, samaki, kuku weka vile vyakula wanavyopenda nyumbani kwako na ukipata time weekend ingia jikoni mwambie mke leo nyie pumzikeni jumapili napika mimi baba andaa chakula kula mle vyombo dada atamalizana navyo....

Jioni aga mke naenda kuangalia mpira mama nitachelewa kidogo ndo time yakujiongeza sasa hope nimeeleweka hapo!!!!... Hutokaa usikie kelele tatizo hawa tunataka kuwafanya kama beki 3 na ilo ndo tatizo ila mimi pamoja na yeye ana kibunda ila anajua akifika kwangu mimi ni mume na anakuwa na adabu zote
Nakazia

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom