miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Hamna watu watakupa stress kama ambao hawako daraja moja na wewe. Yaan complex inferiority yaweza ua mahusiano yenu. Mmoja wenu akiwa kasoma mwingine hajasoma mbona mmeishaa[emoji28][emoji23][emoji23] utasikia unanidharau kisa sijasoma eh? Kuna kaka mmoja ananikeraga balaaa. Ananitongozaga weee... ana darasa la saba tu. Kazi yake tu siyo guaranteed japo siyo ishu. Ishu ni kunitumia bible verses kunishawishi na kuniambia nisijali kwakua hana elimu. Mara usinidharau kwa kutokua na elimu tutafika. Yaan nakerekwaaa... mtu haelewi maana elimu wala haina uhusiano kbs. Baba zetu ni la saba ya mkoloni ila walaaaa... sasa la saba yao weeee[emoji119]Wanajishaua tu hapa kuponda wasomi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app