miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Haya nioe mimi[emoji23][emoji23]nipo nipo kwanza
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya nioe mimi[emoji23][emoji23]nipo nipo kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah... mateso bila chuki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
English ya sasa imekongoroka
Sasa nani anawataka jamani[emoji23][emoji23] ndo kama wanawake wanaokunywa mpk wanazima. Wanaokunywa nao hawawataki[emoji23][emoji23]Kwanza wasiosoma wenyewe kwa wrnyewe hawatakani.
Nao wanataka aliyesoma.
Sasa kama huyo jamaa akikuotea ataona ameokota dodo kwenye mnazi.
Watoto wa kike wengi hamjui kuwa hakuna kitu kinachosumbua akili za wanaume kama kutokuwa na pesa mfukoni,,, it hurts as hellIndeed. Huwa mmoja wenu anapokua kimasilahi ndipo migogoro huanza
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Miss una uhakika upo single kweli au unachangamsha forum?Hahaha we unamjua huyo fala vzr kweli? Hapana. Kuwa single siyo kifo.. hapo kwa text umesoma kwakua ameandika hivyo baada ya kujihami kwa kutokusoma kushindikanika. Nimepotexa convoz. Halaf he is very handsome and tall[emoji23][emoji23] ila ndo hivyo nimewaachia wengine.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa nani anawataka jamani[emoji23][emoji23] ndo kama wanawake wanaokunywa mpk wanazima. Wanaokunywa nao hawawataki[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
unajua kusonga ugali?
Hebu endelea kutuhadhithia ngeli ya babu[emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah... mateso bila chuki
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
mi kitu ambacho huwa siwezi ni makelele ya bar ,naonga ni karaha wakati mi nataka kurefresh mind[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah halafu huwa nashangaa.
Ukikaa na mwanaume ukimuuliza atakwambia hataki mwanamke mlevi kupindukia,ila ndio wanaokesha nao kunywa.
Ni kwa wanaume woteeee ( except wale wa prototype ya kinondoni) kwa watt wa kike it's fine because tuko wired differently,,, huyo wako hawezi kusema because he can't risk kuingia kwenye quarrel au argument na ww,,Noo, maybe ni wewe tu aisee. Kwa boxers etc naona ni vitu very normal kwa mwanamke mwenye kipato chake. Atleast dates. Lkn mf. Sisi ni wapenzi na ni marafiki pia. Tunaweza piga story halaf kama siku zote wewe ndo hunitoaga for a date mm ninakuambia leo my love i wanna sponsor for the date sidhan kama unapaswa kuumia ama kukataa... sema kuna wanaopenda fanyiwa kila kitu mtaji wao nguvu za kiume tu
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mkuu, tumepita huko. Tumewathamini sana ambao hawakua poa finamcially. Ila wameishia kutudgalilisha.. hawakuwahi iona thamani yetu mpaka wapatwe na uhitaji. Tatizo munapenda wanawake wa kuwasumbua vichwa. Tukidedicate maisha yetu kwenu inakua shida kama hatuna tena kimbilio bure. Who wanna feel that anymoreWatoto wa kike wengi hamjui kuwa hakuna kitu kinachosumbua akili za wanaume kama kutokuwa na pesa mfukoni,,, it hurts as hell
Approach yako kwa kipindi hicho inabidi uende extra mile and uwe cautious on your words, choose carefully what unaongea if you value your relationship
WENGI WENU HUWA MNAFELI HAPA
Challenging the head of the pack in times of his insecurities HAISHAURIWI YAAANI ACHAAAA hii sio kwa human being tu,,, simba, mbwa, wolves, nyani, sokwe hata shrimps
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh, nipo single mkuu. Nikiwa nae ya nn kujificha? Mapenzi kikohozi bwanaMiss una uhakika upo single kweli au unachangamsha forum?
Hhaajaha sijui wanataka waolewe na kina nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah halafu huwa nashangaa.
Ukikaa na mwanaume ukimuuliza atakwambia hataki mwanamke mlevi kupindukia,ila ndio wanaokesha nao kunywa.
Badala ya kuwaoa hao hao wanaokesha nao club[emoji16]
Na bado uko na huyo mchepu?Hawa ndio sasa watu tunaowataka they know their places.
Hawa hata ukihonga range utaumja siku 2 utaishia kusema "aaaah!!! Halali yake bhana."
Niliwahi kumuonga mchepuko hela ndefu sana kisa nilipewa tu treatment fulani nilijihisi mfalme aisee maana huko nakotoka majanga tupu
Wenyewe washazoeami kitu ambacho huwa siwezi ni makelele ya bar ,naonga ni karaha wakati mi nataka kurefresh mind
He he he umenena vizuri sana. Sana sana. Uts because we are understanding thats why we dont judge. Me sitaki ongea mengi bwana. Kama nakupenda na najua huwez afford hiko kitu hata mm naumia na kukuhurumia. Sometimes i share my happiness with u. Ila mapenz bwnaNi kwa wanaume woteeee ( except wale wa prototype ya kinondoni) kwa watt wa kike it's fine because tuko wired differently,,, huyo wako hawezi kusema because he can't risk kuingia kwenye quarrel au argument na ww,,
Sometimes in relationships nyinyi mnakuwa our judgemental figure kwetu so we don't risk to blow what we have establish
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasavabu wanafanana piaBadala ya kuwaoa hao hao wanaokesha nao club[emoji16]
😘😘😘😘