Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Kwanza wasiosoma wenyewe kwa wrnyewe hawatakani.
Nao wanataka aliyesoma.

Sasa kama huyo jamaa akikuotea ataona ameokota dodo kwenye mnazi.
Sasa nani anawataka jamani[emoji23][emoji23] ndo kama wanawake wanaokunywa mpk wanazima. Wanaokunywa nao hawawataki[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Indeed. Huwa mmoja wenu anapokua kimasilahi ndipo migogoro huanza

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Watoto wa kike wengi hamjui kuwa hakuna kitu kinachosumbua akili za wanaume kama kutokuwa na pesa mfukoni,,, it hurts as hell

Approach yako kwa kipindi hicho inabidi uende extra mile and uwe cautious on your words, choose carefully what unaongea if you value your relationship

WENGI WENU HUWA MNAFELI HAPA
Challenging the head of the pack in times of his insecurities HAISHAURIWI YAAANI ACHAAAA hii sio kwa human being tu,,, simba, mbwa, wolves, nyani, sokwe hata shrimps

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha we unamjua huyo fala vzr kweli? Hapana. Kuwa single siyo kifo.. hapo kwa text umesoma kwakua ameandika hivyo baada ya kujihami kwa kutokusoma kushindikanika. Nimepotexa convoz. Halaf he is very handsome and tall[emoji23][emoji23] ila ndo hivyo nimewaachia wengine.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Miss una uhakika upo single kweli au unachangamsha forum?
 
Sasa nani anawataka jamani[emoji23][emoji23] ndo kama wanawake wanaokunywa mpk wanazima. Wanaokunywa nao hawawataki[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah halafu huwa nashangaa.

Ukikaa na mwanaume ukimuuliza atakwambia hataki mwanamke mlevi kupindukia,ila ndio wanaokesha nao kunywa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah... mateso bila chuki

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hebu endelea kutuhadhithia ngeli ya babu[emoji2960]

Nilikuwa na mwalimu wangu wa English enzi hizo,yule babu alikuwa mwanajeshi mstaafu..aisee kanagonga ngeli kale kazee acha kabisa.
Kalikuwa hakatumii nguvu kubwa kufundisha..ila kalikuwa kanalenga mulemule yaani,ukifundishwa na yule mzee unajihesabia umeshafaulu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah halafu huwa nashangaa.

Ukikaa na mwanaume ukimuuliza atakwambia hataki mwanamke mlevi kupindukia,ila ndio wanaokesha nao kunywa.
mi kitu ambacho huwa siwezi ni makelele ya bar ,naonga ni karaha wakati mi nataka kurefresh mind
 
Noo, maybe ni wewe tu aisee. Kwa boxers etc naona ni vitu very normal kwa mwanamke mwenye kipato chake. Atleast dates. Lkn mf. Sisi ni wapenzi na ni marafiki pia. Tunaweza piga story halaf kama siku zote wewe ndo hunitoaga for a date mm ninakuambia leo my love i wanna sponsor for the date sidhan kama unapaswa kuumia ama kukataa... sema kuna wanaopenda fanyiwa kila kitu mtaji wao nguvu za kiume tu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ni kwa wanaume woteeee ( except wale wa prototype ya kinondoni) kwa watt wa kike it's fine because tuko wired differently,,, huyo wako hawezi kusema because he can't risk kuingia kwenye quarrel au argument na ww,,

Sometimes in relationships nyinyi mnakuwa our judgemental figure kwetu so we don't risk to blow what we have establish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wa kike wengi hamjui kuwa hakuna kitu kinachosumbua akili za wanaume kama kutokuwa na pesa mfukoni,,, it hurts as hell

Approach yako kwa kipindi hicho inabidi uende extra mile and uwe cautious on your words, choose carefully what unaongea if you value your relationship

WENGI WENU HUWA MNAFELI HAPA
Challenging the head of the pack in times of his insecurities HAISHAURIWI YAAANI ACHAAAA hii sio kwa human being tu,,, simba, mbwa, wolves, nyani, sokwe hata shrimps

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, tumepita huko. Tumewathamini sana ambao hawakua poa finamcially. Ila wameishia kutudgalilisha.. hawakuwahi iona thamani yetu mpaka wapatwe na uhitaji. Tatizo munapenda wanawake wa kuwasumbua vichwa. Tukidedicate maisha yetu kwenu inakua shida kama hatuna tena kimbilio bure. Who wanna feel that anymore

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hawa ndio sasa watu tunaowataka they know their places.

Hawa hata ukihonga range utaumja siku 2 utaishia kusema "aaaah!!! Halali yake bhana."

Niliwahi kumuonga mchepuko hela ndefu sana kisa nilipewa tu treatment fulani nilijihisi mfalme aisee maana huko nakotoka majanga tupu
Na bado uko na huyo mchepu?
 
Ni kwa wanaume woteeee ( except wale wa prototype ya kinondoni) kwa watt wa kike it's fine because tuko wired differently,,, huyo wako hawezi kusema because he can't risk kuingia kwenye quarrel au argument na ww,,

Sometimes in relationships nyinyi mnakuwa our judgemental figure kwetu so we don't risk to blow what we have establish

Sent using Jamii Forums mobile app
He he he umenena vizuri sana. Sana sana. Uts because we are understanding thats why we dont judge. Me sitaki ongea mengi bwana. Kama nakupenda na najua huwez afford hiko kitu hata mm naumia na kukuhurumia. Sometimes i share my happiness with u. Ila mapenz bwna

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom