Capslock
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,089
- 4,816
Hivi nyie wanawake mnapata mda wa kuwapikia hata waume zenu? Naona kila mda mnashinda kwenye huu uzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh, sasa nikubebe ya nn. Roho yangu sipendi iteseke.. napenda niwe na furaha muda wote. If u cant make my panties wet dont make wetten my cheecks[emoji28][emoji28]
Heh, akazie kwa juu ama chini? Mwaka wa nne huu. Keshakata tamaa... halaf kama sikutaki mwanzoni and thats itJamaa akikaza huyu lazima umkubalie
Kupika ndo sifa ya uke bora? Kama tuna hela nyingi na tumeajiri wapishi wengi je? Halaf kushinda jikoni ndo sifa ehHivi nyie wanawake mnapata mda wa kuwapikia hata waume zenu? Naona kila mda mnashinda kwenye huu uzi
Depends na making yako,, men ni savages and beasts who can be tamed,, if you will do your work vizuri transformation won't be hard
Daaamn,,, nkipata extra cash ntakuomba namba uko vizuriEeh, sasa nikubebe ya nn. Roho yangu sipendi iteseke.. napenda niwe na furaha muda wote. If u cant make my panties wet dont make wetten my cheecks[emoji28][emoji28]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
My dear. Sitaki tumia nguvu ktk hiyo sekta.. kulazimisha ndo kubaya zaidiDepends na making yako,, men ni savages and beasts who can be tamed,, if you will do your work vizuri transformation won't be hard
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaaa... nimekua gangsta sasa hv
[emoji44] HELL no hata hutumii nguvu ni very simpleMy dear. Sitaki tumia nguvu ktk hiyo sekta.. kulazimisha ndo kubaya zaidi
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kwanini umekuw gangster[emoji23][emoji23][emoji23] khaaaa... nimekua gangsta sasa hv
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Wasomi mnazingua mno. Mnataka pasupasu, utasikia Mimi nafua, fanya kuosha vyombo.
Halafu Leo nkasikia wimbo wa bia tamu, Kuna mstari flani kwamba "usikibanie kitaoza"....... kama vipi mpe kwani nini Bibie. Watu flani wanasema sio sabuni kwamba itayeyuka.Hahahaha u are very naive jamaa yangu[emoji23][emoji23] nimechekaaaa
Sasa muone huyu la saba b. Na hapo ana watoto watatu kila mmoja na mamake na na hela bado hana na kila muda anajihami kwnagu juu ya elimu na pesa. Ukatoke jasho udangwe halaf wakishapataga pesa hawa wanabadilika balaa. Ni mwendo wa kuchapwa matukio tu[emoji23][emoji23][emoji119]View attachment 2040119View attachment 2040120View attachment 2040121
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kupika ndo sifa ya uke bora? Kama tuna hela nyingi na tumeajiri wapishi wengi je? Halaf kushinda jikoni ndo sifa eh
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mda upo sikuhizi tunapikia gesi na umeme so cooking is like 20 minutes ur done, wapika huku wa chart JFHivi nyie wanawake mnapata mda wa kuwapikia hata waume zenu? Naona kila mda mnashinda kwenye huu uzi