Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kwanini hapana mkuu?
Kwani ukimsaidia mke unabadilika jinsia??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hapana mkuu?
Sio kwa namna hiyoKwanini hapana mkuu?
Kwani ukimsaidia mke unabadilika jinsia??
Unaona ingekuwaje mkuu?
Yaani wapige stori then niwaandalie chakula[emoji15][emoji15]Unaona ingekuwaje mkuu?
Pengine alimwambia mkewe ataandaa kila kitu pekeyake.
Unajitolea tu mkuuYaani wapige stori then niwaandalie chakula[emoji15][emoji15]
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tutapiga wote stori waondoke wakiwa na njaaUnajitolea tu mkuu
Tatizo lipo wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukute mume mwwnyewa alijitolea kuwaandalia.
Kwahiyo wewe mkuu huwezi kujitolea?
Na pia corporate image ya mke wake.Ona sasa mwenzenu alivyo responsible husband.
Anajua kabisa mkewe ametoka kazini amechoka,akamsaidia kuandaa chakula.
Sisi huku mnataka hadi tuwaburuze,kujiongeza pekeyenu hamuwezi.
Wewe umeolewa? Nataka the rest of our life tuzeeke pamoja.Na pia corporate image ya mke wake.
Tatizo wenzetu mnadhani ndoa hatuzipendi, nani anataka kuzeeka mwenyewe na kulala pekee yake cold and lonely?
Ndoa tamu bana but when it comes to being abused within your marriage because of your career, well there is always a way out.
Hawamalizi mabishano yao[emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].....!!!ingekua ngumu kibongobongo mmepapenda!Tuliwahi kualikwa South Afrika, HQ ya Kampuni niliyokua naifanyia kazi miaka hiyo. Mkurugenzi wa kitengo chetu mdada wa kizungu(kikaburu) alitualika dinner nyumbani kwake
Tulimkuta mumewe home na ndiye alikua anashughulika kutuandalia. Alikua anachoma nyama while mkewe anapiga story na sisi. Mpaka jamaa alipo maliza kuandaa kila kitu ndio akaenda kuoga na kubadili nguo kuja kutu join
Kibongobongo isingewezekana aisee. Hata mimi ingeniwia vigumu kwakweli
Haha ona sasaMchana staki kukoonekana bana
Kuchoma nyama lakin sio Kutandika kitandaTuliwahi kualikwa South Afrika, HQ ya Kampuni niliyokua naifanyia kazi miaka hiyo. Mkurugenzi wa kitengo chetu mdada wa kizungu(kikaburu) alitualika dinner nyumbani kwake
Tulimkuta mumewe home na ndiye alikua anashughulika kutuandalia. Alikua anachoma nyama while mkewe anapiga story na sisi. Mpaka jamaa alipo maliza kuandaa kila kitu ndio akaenda kuoga na kubadili nguo kuja kutu join
Kibongobongo isingewezekana aisee. Hata mimi ingeniwia vigumu kwakweli
Yaani baada ya pale Wabongo waliwasengenya mtu ma mkewe😀😀😀[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].....!!!ingekua ngumu kibongobongo mmepapenda!
PointHili swala mume kufua na kupika naona ndiyo limekua kero kwa waume wengi!!