Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Haiusiani na mada ila nimeona kuna umuhimu hii ikae hapa
Screenshot_20211202-073846.jpg
 
Ona sasa mwenzenu alivyo responsible husband.
Anajua kabisa mkewe ametoka kazini amechoka,akamsaidia kuandaa chakula.

Sisi huku mnataka hadi tuwaburuze,kujiongeza pekeyenu hamuwezi.
Na pia corporate image ya mke wake.

Tatizo wenzetu mnadhani ndoa hatuzipendi, nani anataka kuzeeka mwenyewe na kulala pekee yake cold and lonely?

Ndoa tamu bana but when it comes to being abused within your marriage because of your career, well there is always a way out.
 
Umeishi nae kwa 15 years afu unasema umekosea kuoa mkuu?
Waliokosea ni wale wanaoishi chini ya miaka 3
 
Jinsi uzi unavokimbia,,, inaonekana humu wengi wamekosea kuoa
 
Na pia corporate image ya mke wake.

Tatizo wenzetu mnadhani ndoa hatuzipendi, nani anataka kuzeeka mwenyewe na kulala pekee yake cold and lonely?

Ndoa tamu bana but when it comes to being abused within your marriage because of your career, well there is always a way out.
Wewe umeolewa? Nataka the rest of our life tuzeeke pamoja.
 
Tuliwahi kualikwa South Afrika, HQ ya Kampuni niliyokua naifanyia kazi miaka hiyo. Mkurugenzi wa kitengo chetu mdada wa kizungu(kikaburu) alitualika dinner nyumbani kwake

Tulimkuta mumewe home na ndiye alikua anashughulika kutuandalia. Alikua anachoma nyama while mkewe anapiga story na sisi. Mpaka jamaa alipo maliza kuandaa kila kitu ndio akaenda kuoga na kubadili nguo kuja kutu join

Kibongobongo isingewezekana aisee. Hata mimi ingeniwia vigumu kwakweli
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].....!!!ingekua ngumu kibongobongo mmepapenda!
 
Tuliwahi kualikwa South Afrika, HQ ya Kampuni niliyokua naifanyia kazi miaka hiyo. Mkurugenzi wa kitengo chetu mdada wa kizungu(kikaburu) alitualika dinner nyumbani kwake

Tulimkuta mumewe home na ndiye alikua anashughulika kutuandalia. Alikua anachoma nyama while mkewe anapiga story na sisi. Mpaka jamaa alipo maliza kuandaa kila kitu ndio akaenda kuoga na kubadili nguo kuja kutu join

Kibongobongo isingewezekana aisee. Hata mimi ingeniwia vigumu kwakweli
Kuchoma nyama lakin sio Kutandika kitanda
 
Back
Top Bottom