Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wanajishaua tu hapa kuponda wasomi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamna watu watakupa stress kama ambao hawako daraja moja na wewe. Yaan complex inferiority yaweza ua mahusiano yenu. Mmoja wenu akiwa kasoma mwingine hajasoma mbona mmeishaa[emoji28][emoji23][emoji23] utasikia unanidharau kisa sijasoma eh? Kuna kaka mmoja ananikeraga balaaa. Ananitongozaga weee... ana darasa la saba tu. Kazi yake tu siyo guaranteed japo siyo ishu. Ishu ni kunitumia bible verses kunishawishi na kuniambia nisijali kwakua hana elimu. Mara usinidharau kwa kutokua na elimu tutafika. Yaan nakerekwaaa... mtu haelewi maana elimu wala haina uhusiano kbs. Baba zetu ni la saba ya mkoloni ila walaaaa... sasa la saba yao weeee[emoji119]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ukidate na uneducated & illiterate ni taabu tupu. They are not romantic at all. Utasikia nifanye kwa nguvu mara ongeza sipidi mara nakojoa.

But ukiwa mwanamke anayejua English Language. Utasikia "go deep", I'm Cumming babe" , your dick is so sweet" etc something which sounds more romantic. can't date someone who doesn't know how to speak English Language.
 
Hahahaha u are very naive jamaa yangu[emoji23][emoji23] nimechekaaaa

Sasa muone huyu la saba b. Na hapo ana watoto watatu kila mmoja na mamake na na hela bado hana na kila muda anajihami kwnagu juu ya elimu na pesa. Ukatoke jasho udangwe halaf wakishapataga pesa hawa wanabadilika balaa. Ni mwendo wa kuchapwa matukio tu[emoji23][emoji23][emoji119]View attachment 2040119View attachment 2040120
20211211_091009.jpg

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hamna watu watakupa stress kama ambao hawako daraja moja na wewe. Yaan complex inferiority yaweza ua mahusiano yenu. Mmoja wenu akiwa kasoma mwingine hajasoma mbona mmeishaa[emoji28][emoji23][emoji23] utasikia unanidharau kisa sijasoma eh? Kuna kaka mmoja ananikeraga balaaa. Ananitongozaga weee... ana darasa la saba tu. Kazi yake tu siyo guaranteed japo siyo ishu. Ishu ni kunitumia bible verses kunishawishi na kuniambia nisijali kwakua hana elimu. Mara usinidharau kwa kutokua na elimu tutafika. Yaan nakerekwaaa... mtu haelewi maana elimu wala haina uhusiano kbs. Baba zetu ni la saba ya mkoloni ila walaaaa... sasa la saba yao weeee[emoji119]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kudate na watu wasiosoma ni changamoto.
Shule ndogo huathiri pia upeo wa mtu,,,
Mara mia kupambana na aliyesoma.

Japo kuna wanaume wachache wanajitambua japo hawajasoma
Ila the rest ni wajinga kupitiliza,hata mambo yao ni hovyo tu.

Baba zetu la saba la zamani.

Hawa la saba mambo leo Mungu anisamehe tu..hapana kwa kweli.
 
Hahahaha u are very naive jamaa yangu[emoji23][emoji23] nimechekaaaa

Sasa muone huyu la saba b. Na hapo ana watoto watatu kila mmoja na mamake na na hela bado hana na kila muda anajihami kwnagu juu ya elimu na pesa. Ukatoke jasho udangwe halaf wakishapataga pesa hawa wanabadilika balaa. Ni mwendo wa kuchapwa matukio tu[emoji23][emoji23][emoji119]View attachment 2040119View attachment 2040120View attachment 2040121

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shoo kimbia mbali.
Std 7 single father ,aliyezalisha hovyo[emoji119]

Umenikumbusha mbali.
Hawa watu sijui labda wa kwako.
Ila wengi ni matatizo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I'm not a naive but that's the naked truth my dear. Uneducated kazi yao kubwa ni kushinda na midela, undawea na mikanga. But educated ones wanavaa bikini, nguo nzuri zinazoshawishi.

Muelewe huyo jamaa....Miss Pablo. You never know. And hope he will be a nice husband.
 
Kudate na watu wasiosoma ni changamoto.
Shule ndogo huathiri pia upeo wa mtu,,,
Mara mia kupambana na aliyesoma.

Japo kuna wanaume wachache wanajitambua japo hawajasoma
Ila the rest ni wajinga kupitiliza,hata mambo yao ni hovyo tu.
Eeh, wapo ambao hawajasoma ila wana utashi.. ila majority ni virambasi

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shoo kimbia mbali.
Std 7 single father ,aliyezalisha hovyo[emoji119]

Umenikumbusha mbali.
Hawa watu sijui labda wa kwako.
Ila wengi ni matatizo.
Hahaha nampeleka wapi shoo. Matatizo hayoo. Mimi siyo mlezi wa wana bwana

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] I'm not a naive but that's the naked truth my dear. Uneducated kazi yao kubwa ni kushinda na midela, undawea na mikanga. But educated ones wanavaa bikini, nguo nzuri zinazoshawishi.

Muelewe huyo jamaa....Miss Pablo. You never know. And hope he will be a nice husband.
Hahaha we unamjua huyo fala vzr kweli? Hapana. Kuwa single siyo kifo.. hapo kwa text umesoma kwakua ameandika hivyo baada ya kujihami kwa kutokusoma kushindikanika. Nimepotexa convoz. Halaf he is very handsome and tall[emoji23][emoji23] ila ndo hivyo nimewaachia wengine.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Wengi huwa washirikina ili aku control vizuri
Na wanaume wasiosoma yaani hata akili yake inakuwa imezubaa.
Hawa ndio wa hovyo zaidi.

Shule ina umuhimu wake,
Kuna namna shule inamfungua mtu kwa namna yake.
Hadi mtu akijiangalia yeye aliyesoma na yeye wa zamani kabla ya kusoma huwa kuna tofauti.
 
Yaan ni ugomvi mudda wote. Mkikosana utasikia unanidharau kisa sina elimu siyo eh? Ukute na nduguze hawajasoma sasa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Elimu ni ufunguo wa akili.
Sasa kukaa na mtu wa hivyo Mungu baba ataniona nina dharau za rejareja[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mwingine alikuja yaani hata kuandika vizuri hajui dah!
Maneno yao sasa[emoji119] ya kitotoo yaani.
Ukute linaishi kama lilemavu nalo!

Wasomi wana exposure kidogo na akili imefunguka,
Ila tutapambana nao hadi tusaidiane kazi[emoji23][emoji23]
 
Labda wale wa zamani.
La saba la zamani lilikuwa [emoji91]

Ila karumibia wote ni wajinga..
Mtu ambaye hajasomasoma kwa kweli hapana.
La saba ya zamani ni middle school. Ile weeee. Babu yangu alikua anatunyoosha. Tena vocabulary zake achaaa.
Walikua wanaishia la nne.
Miaka hiyo nikiwa primary msimu wa christmas si nikagomea kumpa babu bia maana kila anazopewa anaenda ficha chumbani for his mchepuko wa jirani[emoji23][emoji23] si akanambia from today onwards ame embargo na mimi? Sasa mimi mtoto mdogo kwanini aniambie vocabulary kali vile. Baadae tukapatanishwa, nikapewa whisk na bia 4 kuomba msamaha na yeye akanisamehe akanipa jogoo[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
La saba ya miaka ya mkoloni iheshimiwe.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Elimu ni ufunguo wa akili.
Sasa kukaa na mtu wa hivyo Mungu baba ataniona nina dharau za rejareja[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mwingine alikuja yaani hata kuandika vizuri hajui dah!
Maneno yao sasa[emoji119] ya kitotoo yaani.
Ukute linaishi kama lilemavu nalo!

Wasomi wana exposure kidogo na akili imefunguka,
Ila tutapambana nao hadi tusaidiane kazi[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]usiombe wakajanjaruka. Lazima ulete uzi huku. Wana dharau kishenziii... me napenda mwanaume anayejiamini hata kama hana pesa wala elimu. Yaani ajiaminu tu. Inatoshaaa kwanguu...

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.

Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo anavyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.

Kwenye upishi sometimes ni balaa ,hasa unakuta kwao hajawahi kimchinja kuku.

Mi kuna mrembo nilimkaribisha kwangu,kwa vile tumezoeana nje huko basi nikamwambia apike ubwabwa,nilimnunua kuku sokoni akanyolewa yeye kazi yake ilikuwa kumkata kata na kuunga.

Wakati kula basi akaleta msosi ,dah firigisi haijatolewa uchafu kaweka mazima mazima na kuunga hivo hivo . Nilishindwa kujizuia kucheka nikajiuliza labda mi ndo mshamba kuna mapishi mapya .
 
Back
Top Bottom