Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Sasa wenzio watajuaje kama nina boxer bomba na mpya toka kwa mpenzi/mke wangu ? tuachieni tutekeleze mahitaji ya asilia ya ulimwengu🀣
 
Sikiliza.....siyo lazima ufanye 24/7/365 ....kuna kuzidiwa na kuasaidiwa na dada wa kazi hatukatai....lakini wapo wenzio wanataka pasu pasu....wanataka usawa....ni mashindano katika kila kitu kasoro kukojoa tu ndiyo imeshindikana....na ndiyo wengi humu
 
Kwa dharau hizi mkuu lazima ndoa ingekyshinda Yani wewe unataka kumu treat mtu mzima mwenzako ka mtoto lazima mshindwane tu.
Mke ni zaidi ya kupika na kutandika kitanda, hafu wewe ukijipikia chai jinsia yako itabadilika
 
unazungumzia gheto style love life....lakini siyo kuishi chini ya paa moja kama wanandoa, ...yaani we mke unayesubiri kugegedwa tu? wakati papuchi zipo kila mahali?
Mkuu kipaumbele changu hela tu na furaha yangu wewe mume kagegede kila papuchi inayopita Mimi Sina shida kabisa na yeye kula k huko nje
 
kwa kuwa wewe ni Marioo hii imewezekana kuingia jikoni na kupika ... lakini umezidisha chumvi kwamba naye anajishughulisha kiasi hicho mara akishashuka toka kwenye V8......hapo unagongewa live au ni chai
mawazo mgando ndo maana ndoa imekushinda. shughulika na afya ya akiliyako kwanza kabla hujaanza mahusianoo mapya.

hakuna binadamu alie tayari kuburuzwa, watoto wako ukiwamistreat wanaenda zao kitaaa kuwa machokoraaa, sembuse mke mwenye option ya kuolewa tena , ana kujishughulisha akawa na Maisha bora.

badilika kifikra mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…