Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Hahahaha dah, vice versa is true. Ila turudi kwenye uhalisia. Kuna mambo yawe normalized na yasifanywe kama vile ni hisani... partner wako kumnunulia boxer sijui vests blah blah. Isiwe part ya zawadi asilani.. yaan iwe ni kama jukumu la kawaida kbs. Hakuna raha kama mwanaume wako akiwa msafi ndani hata wadangaji wakaona boxer za jamaa wanaappreciate mke wake yuko njema. Tena boxer ziwe nyeupe haswa. Zikiwa coloured basi iwe lite coloured. Siyo ikoleeee. Mf. Light pink ama blue.. siyo unampelekea mwenzako boxer ya kijani imekoleaaaa. Kwa wenye exposure jamani tufanye hivyo. Na nyie wanaume zetu mujifunze kuappreciate. Mwanaume akiwa msafi na nadhifu inapendeza sana. Sasa nikufumanie utajua kama mimi ni mchagga toleo jipya ama la zamani[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sasa wenzio watajuaje kama nina boxer bomba na mpya toka kwa mpenzi/mke wangu ? tuachieni tutekeleze mahitaji ya asilia ya ulimwengu🤣
 
Ndoa haina formula,
Kila mtu amepewa wa kufanana nae shida ipo kwenye kumpata ili muende sawa
Kama mimi naweza kufanya majukumu yote ya ndani kama mke but kama naumwa au nimechoka dada atafanya as mimi si robot sasa we mwanaume ujichanganye afu uanze kunilinganisha na wake wa masela zao ambao 24/7 wanahudumia waume utakua umenikosea sana
Wanaume mnapaswa kuishi na wake zenu kama wao walivyo ni sio kufanya comparison na wake wa wengine mana watu hatufanani!
Sikiliza.....siyo lazima ufanye 24/7/365 ....kuna kuzidiwa na kuasaidiwa na dada wa kazi hatukatai....lakini wapo wenzio wanataka pasu pasu....wanataka usawa....ni mashindano katika kila kitu kasoro kukojoa tu ndiyo imeshindikana....na ndiyo wengi humu
 
Hakuna mwanaume anayejiweza atakaye kuoa wewe kama hata chai huwezi andaa,kitanda huwezi kutandika hata siku za Jumapili ,...sawa kuna vitu vingine ataweka vya kurahisisha kazi kama washing mashine nk sawa lakini tatizo mnataka kushindana na wanaume wakati mnakojoa mkiwa mmechuchumaa...mambo mengine ni ya kimahaba zaidi
Kwa dharau hizi mkuu lazima ndoa ingekyshinda Yani wewe unataka kumu treat mtu mzima mwenzako ka mtoto lazima mshindwane tu.
Mke ni zaidi ya kupika na kutandika kitanda, hafu wewe ukijipikia chai jinsia yako itabadilika
 
unazungumzia gheto style love life....lakini siyo kuishi chini ya paa moja kama wanandoa, ...yaani we mke unayesubiri kugegedwa tu? wakati papuchi zipo kila mahali?
Mkuu kipaumbele changu hela tu na furaha yangu wewe mume kagegede kila papuchi inayopita Mimi Sina shida kabisa na yeye kula k huko nje
 
kwa kuwa wewe ni Marioo hii imewezekana kuingia jikoni na kupika ... lakini umezidisha chumvi kwamba naye anajishughulisha kiasi hicho mara akishashuka toka kwenye V8......hapo unagongewa live au ni chai
mawazo mgando ndo maana ndoa imekushinda. shughulika na afya ya akiliyako kwanza kabla hujaanza mahusianoo mapya.

hakuna binadamu alie tayari kuburuzwa, watoto wako ukiwamistreat wanaenda zao kitaaa kuwa machokoraaa, sembuse mke mwenye option ya kuolewa tena , ana kujishughulisha akawa na Maisha bora.

badilika kifikra mkuu
 
Back
Top Bottom