Huu uzi unatafakarisha sana.Ila kiukweli natamani sana kuoa na nimpende sana sana mke wangu.
Sasa nyuzi kama hizi zinatutisha
Nikajua umekatika vidole huwez andika tena kumbe wala. Ni kwa nini hujajibu sms zangu???Yaah yaah yaaah man!!!!
kwa kuwa wewe ni Marioo hii imewezekana kuingia jikoni na kupika ... lakini umezidisha chumvi kwamba naye anajishughulisha kiasi hicho mara akishashuka toka kwenye V8......hapo unagongewa live au ni chai
Hii ni dream ya kila mwana ila tatizo ni pale mke anapopanda cheo na kuwa meneja[emoji28] analeta ubosi mpaka nyumbani[emoji28]
Hahahahahahah huyo wa hivyo ulieanza nae from scratch hawezi kuleta undezi fm![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua kitu kimoja mkuu!!! Wanawake wanazarau sana waume wasio kuwa na kazi na kwann mwanaume usiwe na kazi manake unachagua kazi!!!? Lakini kuwa na mishe zako usikae ukategeme pesa yake atakuheshimu tuu ivyo ivyo ulivyo ila ukiwa ndo una mtegema yeye tegemea yeye kupandisha mabega..... na mimi nimesema mke wangu ni msomi mwenye kazi nzuri ya kipato kizuri lakini kunizidi kipesa bado sana l...!!!! Ila she is smart ana staili kuwa mke tumejuana yeye yupo chuo mwaka wa kwanza hana mia
Hahahahahahah huyo wa hivyo ulieanza nae from scratch hawezi kuleta undezi fm!
Kuna kazi halafu kuna kujishughulisha mkuu mind that! Kazi inaheshimika ila kujishughulisha sio swala kwao [emoji28] hii haina guarantee sana! Swali la kwanza utaulizwa na mwanamke akupimie heshima ni hilo hilo...
We tumfate demu mmoja halafu sema nafanya kazi Bank Of Africa as a Marketing Executive![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikajua umekatika vidole huwez andika tena kumbe wala. Ni kwa nini hujajibu sms zangu???
Nitakua Nsharud MkoanSijajib ip mam
Si tar 18 unalala mbezi[emoji3]
We tumfate demu mmoja halafu sema nafanya kazi Bank Of Africa as a Marketing Executive!
Kisha mie niseme nachoma mishkaki ya 200/200 maeneo ya ubungo mataa pale kisha uone nani meseji zake zitaendelea kujibiwa[emoji28]
Nitakua Nsharud Mkoan
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbele yako nyuma yetu bro pamoja sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jf inaweza kupasua mbavu unajiona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui mdau kawaza nini aise[emoji23][emoji23][emoji23]Jf inaweza kupasua mbavu unajiona[emoji1787]
Anaish na mwanaume mwenzie,au ameoa tejaHa ha ha ,huyu ni mjuba mwenzako
Wanakazi gan wale?wamepauka utadhan karatas ilonyeshewa.Kwahiyo vijana wa Kakobe ni majobless?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndo umekua sasaCha muhimu mwanaume tafuta hela ,establish your grounds ,provide for the family (wife ,kids and relatives)- live your life now na hii ni rahisi ukiwa na hela..... Zamani nilikuwa napenda usafi sana ,napenda kuona vitu viking'aa ng'aa kama hotelini vile- lkn nimegundua haiwezekani, kwahiyo sikwaziki tena
Mkuu hizi ni dharau[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanakazi gan wale?wamepauka utadhan karatas ilonyeshewa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kuna vitu napenda kutoka kwa mwanamke lkn siyo pesa zake, japo akifanya hivyo siyo tatizo kwangu.You're such a gentleman, would you mind if your wife will be providing for some petty bills?