Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

kwa kuwa wewe ni Marioo hii imewezekana kuingia jikoni na kupika ... lakini umezidisha chumvi kwamba naye anajishughulisha kiasi hicho mara akishashuka toka kwenye V8......hapo unagongewa live au ni chai

Acha wenge jombaa marioo ninavyoelewa ni wale vijana wanapewa pesa na wanawake, yooo namiliki kampuni ya ujenzi,duka 2 za vifaa vya ujenzi nani mkulima wa mpunga huko ifakara.... acha ufala mzee yani kwangu kufanya ivyo vitu ni kawaida sana mkuu sio kwamba napelekeshwa na usipende kuongelea mambo ambayo yapo nje ya uwezo wako..... we akili yako imekutuma moja kwa moja marioo rejea sms zangu nimesema jali familia mambo yao yaende”tangu lini marioo akahudumia familia? Acha tabia za kike mkuu
 
Hii ni dream ya kila mwana ila tatizo ni pale mke anapopanda cheo na kuwa meneja[emoji28] analeta ubosi mpaka nyumbani[emoji28]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua kitu kimoja mkuu!!! Wanawake wanazarau sana waume wasio kuwa na kazi na kwann mwanaume usiwe na kazi manake unachagua kazi!!!? Lakini kuwa na mishe zako usikae ukategeme pesa yake atakuheshimu tuu ivyo ivyo ulivyo ila ukiwa ndo una mtegema yeye tegemea yeye kupandisha mabega..... na mimi nimesema mke wangu ni msomi mwenye kazi nzuri ya kipato kizuri lakini kunizidi kipesa bado sana l...!!!! Ila she is smart ana staili kuwa mke tumejuana yeye yupo chuo mwaka wa kwanza hana mia
 
Hahahahahahah huyo wa hivyo ulieanza nae from scratch hawezi kuleta undezi fm!

Kuna kazi halafu kuna kujishughulisha mkuu mind that! Kazi inaheshimika ila kujishughulisha sio swala kwao 😅 hii haina guarantee sana! Swali la kwanza utaulizwa na mwanamke akupimie heshima ni hilo hilo...
 
Hahahahahahah huyo wa hivyo ulieanza nae from scratch hawezi kuleta undezi fm!

Kuna kazi halafu kuna kujishughulisha mkuu mind that! Kazi inaheshimika ila kujishughulisha sio swala kwao [emoji28] hii haina guarantee sana! Swali la kwanza utaulizwa na mwanamke akupimie heshima ni hilo hilo...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We tumfate demu mmoja halafu sema nafanya kazi Bank Of Africa as a Marketing Executive!

Kisha mie niseme nachoma mishkaki ya 200/200 maeneo ya ubungo mataa pale kisha uone nani meseji zake zitaendelea kujibiwa[emoji28]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cha muhimu mwanaume tafuta hela ,establish your grounds ,provide for the family (wife ,kids and relatives)- live your life now na hii ni rahisi ukiwa na hela..... Zamani nilikuwa napenda usafi sana ,napenda kuona vitu viking'aa ng'aa kama hotelini vile- lkn nimegundua haiwezekani, kwahiyo sikwaziki tena
Hapo ndo umekua sasa

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom