Kwa babecue wanawake wengi hawawezagi hata mimi ningechoma mwenyewe hio nyamaTuliwahi kualikwa South Afrika, HQ ya Kampuni niliyokua naifanyia kazi miaka hiyo. Mkurugenzi wa kitengo chetu mdada wa kizungu(kikaburu) alitualika dinner nyumbani kwake
Tulimkuta mumewe home na ndiye alikua anashughulika kutuandalia. Alikua anachoma nyama while mkewe anapiga story na sisi. Mpaka jamaa alipo maliza kuandaa kila kitu ndio akaenda kuoga na kubadili nguo kuja kutu join
Kibongobongo isingewezekana aisee. Hata mimi ingeniwia vigumu kwakweli
Hii ni sawa na ile “when you start dating with women who actually like you, you will realize that women have bus fare to get to you at anytime you want them with no excuse”Haiusiani na mada ila nimeona kuna umuhimu hii ikae hapaView attachment 2041183
Nani anampa[emoji23]Huyo bwege anataka apple hilo amenye[emoji28] japo elimu hana
Hii ni sawa na ile “when you start dating with women who actually like you, you will realize that women have bus fare to get to you at anytime you want them with no excuse”
[emoji23][emoji23] tumeanza upyaaaMjuba kama Mjuba aaniii[emoji28]
Heri ya mwaka mpya na kwako pia😅 huo msemo nimenukuu niliona mahaliUmeongea kwa uchungu sana extro[emoji23] heri ya mwaka mpya
Si huyo wewe😋
Kwa hiyo ulimpeleka shuleNilimkuta akiwa hana ishu mkuu.....kuanzia shule mpaka kuanza kazi ...ila akaja kuota mapembe baadaye
Huu ujinga unamruhusu vp mkeo aende kwenye dinner na vikao vya usiku huo ni udhaifuMjomba alikua akifikiria dinner meeting za kila siku anaona kabisa mama huko alikokua wakurugwa wameshamkula wife [emoji1787][emoji1787]
Uoa lini kijana tukusaidie kutunza mkeNdoa ngumu sana wakuu...ila mwakani inshaallah hamna namna
Unajifanya mtaalamu kumbe nyumbani kwako unakuna nazi nakuogesha watotoEtiii kumdunga mangumi ndo kuishi nae kiakili [emoji23][emoji23][emoji23]nipe namba yake nikufundishe kumbadilisha
Si unaachana nae au unataka kufa naeInaonekana huyo mkeo alikuzidi Elimu na kipato.! Ni hatari sana mwanamke akuzidi hivi vitu na akuheshimu kama mume.!
Ndio maisha move on.!
Mlizungumza jinsi ya kulea familia na mgawanyiko wa majuku kabla ya ndoa. Sababu u-busy wake haukuanza ndani ya ndoa.
Ndoa nyingi zina feli sababu watu wanashindwa kuwa na mazungumzo muhimu kabla ya ndoa.
Sitakubali aishi kama mlemavu kama zigo.Usichokielewa ni kuwa unapoolewa na kwenda kwenye mji mwengine hayo ya babaako na familia yenu unayaacha huko huko kwenu!
You have to adapt to your mans lifestyle and mode of operations. Inaitwa kuratibiana.
Huyo mke ana akili Kama za mahouse girl ninaokutanaga nao mie, Sasa hivi tumeamua sisi wenyewe na watoto wetu tukamate majukumu ya housegirl na tukibanwa sana tutafute mtu anakuja kufanya usafi hiyo siku Mara moja moja Basi kesi inaisha.
Sijajua connection kubwa Kati ya housegirl na ujinga aisee, au sie tunagundu nao? Wengi wao hawajielewi na ukiwaelekeza wanaona wanaonewa na kuteswa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mia yako mm ya kazi gani?Unafikiri tunakataa basi wala hatukatai! Ila tu ukubali kuwa hutokaa uione hata mia yangu na nikihitaji pesa lazima unipe na kila kitu kinachonihusu mimi watoto pamoja na nyumba utagharamia wewe bila kuulizia mshahara wangu napeleka wapi!
NdiyoKwahio unalazimisha na sie ma chief tuwe kama baba yako?
Kama unaishi ulichoadika hapa hakika huyo jamaa ni LOFA... tofaut na hapo you are misleading young ladies hapa ndani matokeo yake wapokee vipigo kutoka kwa waume zao au ndoa zao zifeBeen married 12 years this year.
Huyo jamaa ni mwamba😅 na kimsingi ndio inavyotakiwa. Mtoto wa kiume kukaa kaa jikoni ni umama.
Sasa huyo mama mkwe mchapa kazi ndiye mama ya kijana unayemwita mwamba.Ila cha ajabu mama yako ana binti mvivu ambaye hata kutumwa glasi ya maji na mumewe anajionea kero 😅