Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwa babecue wanawake wengi hawawezagi hata mimi ningechoma mwenyewe hio nyamaTuliwahi kualikwa South Afrika, HQ ya Kampuni niliyokua naifanyia kazi miaka hiyo. Mkurugenzi wa kitengo chetu mdada wa kizungu(kikaburu) alitualika dinner nyumbani kwake
Tulimkuta mumewe home na ndiye alikua anashughulika kutuandalia. Alikua anachoma nyama while mkewe anapiga story na sisi. Mpaka jamaa alipo maliza kuandaa kila kitu ndio akaenda kuoga na kubadili nguo kuja kutu join
Kibongobongo isingewezekana aisee. Hata mimi ingeniwia vigumu kwakweli