Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Nna ndoa ina miaka 12 tunaingia mwaka wa tatu ss sijagusa papuchi yake, we are hapy wala hatugombani kabisa tunaishi kinafikinafiki hivohivo
Sijapata tu mwanamke sahihi naplan kumpandisha cheo awe mke mkubwa
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji11]hii Kali ya kuanzia mwakaa!hivi haya mambo yapo?!!yarrabi niepushe Mimi na hili balaa isifikie mpk tukanyimana utamu three years!
 
Kuna point zinachekesha sana kwenye huu uzi.

Mkishasikia tu mwanamke anafanya kazi, tayari mnasema anahusika kwenye mambo ya uchumi wa familia, hehehehe!

Babilai, anaweza kufanya kazi na usione hata shilingi mia kwenye matumizi ya familia. And ofcourse sio lazima umuulize maana as a man, ni majukumu yako kuwa provider. Ila shida kubwa ni moja....!!!!

Kama mwanamke hachangii chochote kwenye uchumi wa familia at least awe submisive. Kwa sababu akiwa na kiburi equation haiwezi kubalance kamwe. Mwanaume huwezi kujitoa ku provide kila kitu kwenye familia halafu mwanamke hataki ku bow! You women, it will never work..!!

Ila Mwanaume kama na wewe umekubali Mama awe anachangia pesa ya kula hapo ndani na gharama nyingine unamuachia alipie, my Friend, usije kulalamika huku. Hatutakusaidia kitu. Hapo umesha sign 50/50 rule automatically. Kwaiyo zamu yako ya kuosha vyombo ikifika nenda tu kaoshe, tena ving'ae.

Poleni wote mliokosea kuoa/kuolewa. By the way sisi ni Binadamu bhana, kukosea ni kawaida.Tujipange upya : )

Cheers!
Kwaiyo zamu yako ya kuosha vyombo ikifika nenda tu kaoshe, tena ving'ae.

😊😂😂😂😂😂😂🙌
 
Ukweli unaujua bwana,,usibagaze maneno mwanaume majukumu pekee yanayoweza kumshinda nayo kutokana na muda ni kazi za nyumbani lakini mengine kwa karibu zaidi ya asilimia 80 wanatimiza majukumu kama kodi,kulisha familia,kutunza mke,familia ya mke nk ila ninyi mmekosa shukrani sio watu.

Mwanaume anaweza akakaaa kwenye uhusiano na ndoa miaka yote asipewe zawadi wala chochote na mke au mpenzi wake fresh..ila ninyi kwenu ni dhambi
Ni dhambi ndiyo maana mwanaume ameumbwa kuwa mtoaji.
 
And unfortunately wanawake wengi siku hizi wamejitambua wanaona kuliko kuishi kwenye ndoa zenye mizigo ni heri wawe single mothers hata wakipigwa na kuachwa fresh tu! And that is bad news to most african men kwa sababu mlitaka wanawake waendelee kuvumilia ndoa zenye mateso kama bibi zetu ili mfaidi ninyi tu siku hizi wameshituka mkuu!
😂😂😂
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.

Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo anavyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Aosee! Huyo ni zaidi ya mjinga yaani aanauwa ndoa yake mwenyewe.
 
Kama unaishi ulichoadika hapa hakika huyo jamaa ni LOFA... tofaut na hapo you are misleading young ladies hapa ndani matokeo yake wapokee vipigo kutoka kwa waume zao au ndoa zao zife
Hawezi kuwa Lofa. He is a strong man anaesimama kama mwanaume.

Wouldn't mislead anyone. I practise what I preach.

My Dear marriage is about balance, its about communication, kurekebishana kupo through communication.

Huwezi kulazimisha ego itawale ndoa yako because ndoa haina nafasi hiyo. Marriage us really complex... ukiruhusu vitu vidogo vitawale hamfiki kokote.
 
Mwanamke in love huwa ana kila kitu, ila wale wa kufosi ndio vitimbi kibao😅 mara sina nauli! Mara sorry siwezi kuja my friend
Hawa ukipita kule mtaa wa uzi pendwa wananyooshwa vizuri tuu na mabaharia
 
Wana matatizo sana.
Wanataka mwenzao atoe hela na afanye kazi zote za nyumbani.
Huo ushujaa aisee😁
Kama si kukosa akili ni kitu gani? Yani ikitokea tatizo ambalo unaweza solve immediately ni mpaka umsubiri mume? Mtoto kaumwa ghafla unamsubiri babaake atoke Safarini Mbeya ili aje amtibie mtoto.

Sometimes mjitahidi kuficha ujinga wenu jamani😎 ndoa is a bond between two people ambao mmeamua ku partner kimaisha.
 
Kama si kukosa akili ni kitu gani? Yani ikitokea tatizo ambalo unaweza solve immediately ni mpaka umsubiri mume? Mtoto kaumwa ghafla unamsubiri babaake atoke Safarini Mbeya ili aje amtibie mtoto.

Sometimes mjitahidi kuficha ujinga wenu jamani[emoji41] ndoa is a bond between two people ambao mmeamua ku partner kimaisha.
Huyo baba ataenda mbeya bila kuacha hela ya dharura nyumbani?
Sasa anafanya kazi gani!
Si bora tukae wote sasa tuoshe vyombo.

Mnasema ndoa ni bond wakati huo huo mnataka mwanamke aishi kama roboti huku nyie mmetunga miguu juu mnakula bata.
 
Huyo baba ataenda mbeya bila kuacha hela ya dharura nyumbani?
Sasa anafanya kazi gani!
Si bora tukae wote sasa tuoshe vyombo.

Mnasema ndoa ni bond wakati huo huo mnataka mwanamke aishi kama roboti huku nyie mmetunga miguu juu mnakula bata.
Hela ya dharura ndio imeenda kutafutwa acha upumbavu basi! Sio kila mtu ni kama Mwigulu nchemba. Namuone huruma sana atakaejichanganya kuleta posa hapo kwenu
 
Hela ya dharura ndio imeenda kutafutwa acha upumbavu basi! Sio kila mtu ni kama Mwigulu nchemba. Namuone huruma sana atakaejichanganya kuleta posa hapo kwenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe mnajua ndoa ni kusaidiana!
Sasa mbona nyie hamtaki kusaidia wenzenu na wakati mnajua kabisa kuna muda wanazidiwa???


Suluhisho ni kuoa wanawake watakaofanya kazi nyumbani full time.
 
Back
Top Bottom