Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kushindana ndio kupoje?Kushindana na mume = Kujitambua
Ujuaji = Kujitambua
Na ujuaji upoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kushindana ndio kupoje?Kushindana na mume = Kujitambua
Ujuaji = Kujitambua
Mie sioi housewife ila nitahakikisha anaishi katika misingi naojiwekea. Uchumba wetu lazma upate degree moja kabla sijalipa mahari and the one who the cap fit will get married[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe mnajua ndoa ni kusaidiana!
Sasa mbona nyie hamtaki kusaidia wenzenu na wakati mnajua kabisa kuna muda wanazidiwa???
Suluhisho ni kuoa wanawake watakaofanya kazi nyumbani full time.
Sasa mbona hatuelewi mnataka wepi!Mie sioi housewife ila nitahakikisha anaishi katika misingi naojiwekea. Uchumba wetu lazma upate degree moja kabla sijalipa mahari and the one who the cap fit will get married
Hujaelewa alichopost mwenzio au?Kushindana ndio kupoje?
Na ujuaji upoje?
Hamna cha ubinafsi mama zetu walifanya mambo yote kwenye familia bila kulalamika. They did the needful usafi wa mazingira na upishi bila kusahau kulea na still kazini walienda.Sasa mbona hatuelewi mnataka wapi!
Waliosoma hawa hawa ndio mnaowaandaka at the same time mnawataka!.
Njia nzuri ya kuishi ni kusaidiana.
Kama ambavyo nyinyi mnatamani msaidiwe vivyohivyo wanawake wanatamani kusaidiwa.
Ajabu wanaume mnasaidiwa ila wenzenu wakiombwa muwasaidie mnaona ni jeuri na wavivu.
Huo ni ubinafsi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hamna cha ubinafsi mama zetu walifanya mambo yote kwenye familia bila kulalamika. They did the needful usafi wa mazingira na upishi bila kusahau kulea na still kazini walienda.
Nimeishi na mama wa kambo nikaona wanawake wajinga jinsi walivyo hovyo. Mama ni mchafu, usafi anaojua ni kuamka kupiga mswaki na kuoga tu. Kudeki mpaka mzee amkodishe mtu aje kufanya usafi jumba lina mavumbi pazia toka maza afariki 20 yrs ago mpaka last year mzee ndo kafanya renovation ya nyumba akaweka pazia mpya [emoji28] on top of all mama ni msomiless na mshirikina sana. Kupika anataka apike ila vyombo aoshewe hahahah atalalamika balaa completely useless woman ni vile mzee ndio alijichanganya tu tunaheshimu uamuzi wake ila umetugharimu sana.
Sasa unapoongea unayoongea unazidi kuntia nyongo tu sababu naona ndio wale wale tu.
Mbona utumbo wenye mavi mnakula?
Ndio maana nikasema hilo lilifanya kazi kwa babayako ila ukiolewa utaratibu unaokwenda kuufuata ni wa kwa mume wako sio wa ulipotoka.[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah mkuu umetoa povu mno.
Muheshimu mama yako huyo licha ya mapungufu yake yote.
Mimi nimekulia maisha ambayo wazazi wote wawili wanatafuta na mama anacontribute kwa kiwango kikubwa..yaani kuna muda unakuta mzee hana basi mama ndiye anaendesha familia na kusomesha wwtoto.
Kazi zilifanywa kwa kusaidiana...baba anaamka anakamua maziwa na kufagia uwanja,mama anafanya usafi wa ndani,anaandaa chai na chakula.
Wote wanaenda kazini.
Hata ikifika jioni mzee akiwahi,basi mtakuta amewasha moto,mama anakuja kuendelea.
Kipindi mama amesafiri tukiwa wadogo basi mzee alikuwa anatupikia.
Sasa ninashangaa huu utaratibu ambao watu wamejiwekea wa kutaka kukaa tu kama walemavu.
Wanaotoa hiyo sifa acha watoe tu..ila wana greencity wenyewe wameridhika na maisha yao.Ndio maana nikasema hilo lilifanya kazi kwa babayako ila ukiolewa utaratibu unaokwenda kuufuata ni wa kwa mume wako sio wa ulipotoka.
Ndio maana huwa mnapewa sifa ya kupelekesha sana wanaume huko kanda ya green city.
I hope utaratibu hautakuwa tofauti sana na nilikotoka[emoji1787]Ndio maana nikasema hilo lilifanya kazi kwa babayako ila ukiolewa utaratibu unaokwenda kuufuata ni wa kwa mume wako sio wa ulipotoka.
Ndio maana huwa mnapewa sifa ya kupelekesha sana wanaume huko kanda ya green city.
Kufanywa kwa upendo sio swala kabisa hata mie nikiguswa nakupiga tuff ila ikishageuka malumbano ya hoja tabu inaanzia hapo!Wanaotoa hiyo sifa acha watoe tu..ila wana greencity wenyewe wameridhika na maisha yao.
Imagine mwanamke anakusomeshea watoto wako kwa moyo wote bila malalamiko..kuna muda mfukoni upo mkavu basi anakuepusha na hiyo kadhia kwa kukuboost kidogo angalau ukitoka huko nje uwe mtu.
Halafu kazi ndogondogo hizo mtu akifanya mbona hapungukiwi chochote,na anafanya kwa upendo tu.
Kila kitu kinachofanywa kifanywe kwa upendo.
Itakuwa maeneo mengine wanaishi wa kukomoana.
Huyo mama yako ni mzembe aisee.
Mimi mama yangu muda wote yupo busy,yaani hadi ukikuta anasaidiwa basi ujue ametingwa.
Unaolewa na kabila tofauti na ukoo tofauti😅 otherwise ujiwekee constraint kuwa utaolewa na mnyaki mwenzio tu!I hope utaratibu hautakuwa tofauti sana na nilikotoka[emoji1787]
Halafu mimi siyo mnyakyusa.Unaolewa na kabila tofauti na ukoo tofauti[emoji28] otherwise ujiwekee constraint kuwa utaolewa na mnyaki mwenzio tu!
Wewe sio mnyaki ni kabila gani sasa maana watu wa Mbeya city ni wanyakiHalafu mimi siyo mnyakyusa.
Huwa mnawaonea wanyakyusa bure[emoji23].
Unadhani mimi mvivu basi,
Ila kuna muda mtu inabidi ajiongeze asaidie mwenzie..
Msiishi kwa kumkomoa mtu.
Ukinikomoa basi na wewe jiandae kisaikolojia siku umebanwa huna hili wala lile,nikikaa kimya usiite ubinafsi.
Is it for real? Huwa nahisi na kabinti fulani kadogo dogo hata ndoa bado, hongera 12 yrs and still counting.....😘Been married 12 years this year.
Umekariri vibaya babe, kuna hadi wachaga na wasukuma huko🤪Wewe sio mnyaki ni kabila gani sasa maana watu wa Mbeya city ni wanyaki
Hahahahah huyo kama sio Tununu ni Wasalipa 😅 yani kwa huu ubishi tena duh!Umekariri vibaya babe, kuna hadi wachaga na wasukuma huko🤪
Ni mchaga sasa kwa taarifa yako😂Hahahahah huyo kama sio Tununu ni Wasalipa 😅
Amna mchaga mweusi hivyo😅Ni mchaga sasa kwa taarifa yako😂
Mbeya mjini ni pa wasafwa wewe kiasili[emoji23].Wewe sio mnyaki ni kabila gani sasa maana watu wa Mbeya city ni wanyaki