Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe mnajua ndoa ni kusaidiana!
Sasa mbona nyie hamtaki kusaidia wenzenu na wakati mnajua kabisa kuna muda wanazidiwa???

Suluhisho ni kuoa wanawake watakaofanya kazi nyumbani full time.
Mie sioi housewife ila nitahakikisha anaishi katika misingi naojiwekea. Uchumba wetu lazma upate degree moja kabla sijalipa mahari and the one who the cap fit will get married
 
Mie sioi housewife ila nitahakikisha anaishi katika misingi naojiwekea. Uchumba wetu lazma upate degree moja kabla sijalipa mahari and the one who the cap fit will get married
Sasa mbona hatuelewi mnataka wepi!
Waliosoma hawa hawa ndio mnaowaandama at the same time mnawataka!.

Njia nzuri ya kuishi ni kusaidiana.
Kama ambavyo nyinyi mnatamani msaidiwe vivyohivyo wanawake wanatamani kusaidiwa.
Ajabu wanaume mnasaidiwa ila wenzenu wakiombwa muwasaidie mnaona ni jeuri na wavivu.
Huo ni ubinafsi.
 
Kushindana ndio kupoje?
Na ujuaji upoje?
Hujaelewa alichopost mwenzio au?

Mume priority yake ili muishi ni heshima na utii, ukishaanza kila kitu unataka ubishane nae kabla hujatekeleza huo unaitwa ujuaji.

Kushindana ni vile kama kuna jambo anafanya basi na wewe ufanye the opposite ili eti ndo muende sawa.
 
Sasa mbona hatuelewi mnataka wapi!
Waliosoma hawa hawa ndio mnaowaandaka at the same time mnawataka!.

Njia nzuri ya kuishi ni kusaidiana.
Kama ambavyo nyinyi mnatamani msaidiwe vivyohivyo wanawake wanatamani kusaidiwa.
Ajabu wanaume mnasaidiwa ila wenzenu wakiombwa muwasaidie mnaona ni jeuri na wavivu.
Huo ni ubinafsi.
Hamna cha ubinafsi mama zetu walifanya mambo yote kwenye familia bila kulalamika. They did the needful usafi wa mazingira na upishi bila kusahau kulea na still kazini walienda.

Nimeishi na mama wa kambo nikaona wanawake wajinga jinsi walivyo hovyo. Mama ni mchafu, usafi anaojua ni kuamka kupiga mswaki na kuoga tu. Kudeki mpaka mzee amkodishe mtu aje kufanya usafi jumba lina mavumbi pazia toka maza afariki 20 yrs ago mpaka last year mzee ndo kafanya renovation ya nyumba akaweka pazia mpya 😅 on top of all mama ni msomiless na mshirikina sana. Kupika anataka apike ila vyombo aoshewe hahahah atalalamika balaa completely useless woman ni vile mzee ndio alijichanganya tu tunaheshimu uamuzi wake ila umetugharimu sana.

Sasa unapoongea unayoongea unazidi kuntia nyongo tu sababu naona ndio wale wale tu.
 
Hamna cha ubinafsi mama zetu walifanya mambo yote kwenye familia bila kulalamika. They did the needful usafi wa mazingira na upishi bila kusahau kulea na still kazini walienda.

Nimeishi na mama wa kambo nikaona wanawake wajinga jinsi walivyo hovyo. Mama ni mchafu, usafi anaojua ni kuamka kupiga mswaki na kuoga tu. Kudeki mpaka mzee amkodishe mtu aje kufanya usafi jumba lina mavumbi pazia toka maza afariki 20 yrs ago mpaka last year mzee ndo kafanya renovation ya nyumba akaweka pazia mpya [emoji28] on top of all mama ni msomiless na mshirikina sana. Kupika anataka apike ila vyombo aoshewe hahahah atalalamika balaa completely useless woman ni vile mzee ndio alijichanganya tu tunaheshimu uamuzi wake ila umetugharimu sana.

Sasa unapoongea unayoongea unazidi kuntia nyongo tu sababu naona ndio wale wale tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah mkuu umetoa povu mno.
Muheshimu mama yako huyo licha ya mapungufu yake yote.

Mimi nimekulia maisha ambayo wazazi wote wawili wanatafuta na mama anacontribute kwa kiwango kikubwa..yaani kuna muda unakuta mzee hana basi mama ndiye anaendesha familia na kusomesha watoto.
Alitoa kwa moyo na hakuwahi kuona kama anaonewa.

Kazi zilifanywa kwa kusaidiana...baba anaamka anakamua maziwa na kufagia uwanja,mama anafanya usafi wa ndani,anaandaa chai na chakula.
Wote wanaenda kazini.

Hata ikifika jioni mzee akiwahi,basi mtakuta amewasha moto,mama anakuja kuendelea.
Baba alifanya kwa moyo na hakuwahi kuona kama ni adhabu.

Kipindi mama amesafiri tukiwa wadogo basi mzee alikuwa anatupikia.

Sasa ninashangaa huu utaratibu ambao watu wamejiwekea wa kutaka kukaa tu kama walemavu.
Kiufupi sikuwa na wazazi wavivu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah mkuu umetoa povu mno.
Muheshimu mama yako huyo licha ya mapungufu yake yote.

Mimi nimekulia maisha ambayo wazazi wote wawili wanatafuta na mama anacontribute kwa kiwango kikubwa..yaani kuna muda unakuta mzee hana basi mama ndiye anaendesha familia na kusomesha wwtoto.

Kazi zilifanywa kwa kusaidiana...baba anaamka anakamua maziwa na kufagia uwanja,mama anafanya usafi wa ndani,anaandaa chai na chakula.
Wote wanaenda kazini.

Hata ikifika jioni mzee akiwahi,basi mtakuta amewasha moto,mama anakuja kuendelea.

Kipindi mama amesafiri tukiwa wadogo basi mzee alikuwa anatupikia.

Sasa ninashangaa huu utaratibu ambao watu wamejiwekea wa kutaka kukaa tu kama walemavu.
Ndio maana nikasema hilo lilifanya kazi kwa babayako ila ukiolewa utaratibu unaokwenda kuufuata ni wa kwa mume wako sio wa ulipotoka.

Ndio maana huwa mnapewa sifa ya kupelekesha sana wanaume huko kanda ya green city.
 
Wanaotoa hiyo sifa acha watoe tu..ila wana greencity wenyewe wameridhika na maisha yao.
Imagine mwanamke anakusomeshea watoto wako kwa moyo wote bila malalamiko..kuna muda mfukoni upo mkavu basi anakuepusha na hiyo kadhia kwa kukuboost kidogo angalau ukitoka huko nje uwe mtu.

Halafu kazi ndogondogo hizo mtu akifanya mbona hapungukiwi chochote,na anafanya kwa upendo tu.

Kila kitu kinachofanywa kifanywe kwa upendo.
Itakuwa maeneo mengine wanaishi wa kukomoana.

Huyo mama yako ni mzembe aisee.
Mimi mama yangu muda wote yupo busy,yaani hadi ukikuta anasaidiwa basi ujue ametingwa.
Kule kwetu nyumba ikiwa chafu anayenyooshewa mikono kuwa ni mchafu ni mama fulani .
 
Ndio maana nikasema hilo lilifanya kazi kwa babayako ila ukiolewa utaratibu unaokwenda kuufuata ni wa kwa mume wako sio wa ulipotoka.

Ndio maana huwa mnapewa sifa ya kupelekesha sana wanaume huko kanda ya green city.
I hope utaratibu hautakuwa tofauti sana na nilikotoka[emoji1787]
 
Wanaotoa hiyo sifa acha watoe tu..ila wana greencity wenyewe wameridhika na maisha yao.
Imagine mwanamke anakusomeshea watoto wako kwa moyo wote bila malalamiko..kuna muda mfukoni upo mkavu basi anakuepusha na hiyo kadhia kwa kukuboost kidogo angalau ukitoka huko nje uwe mtu.

Halafu kazi ndogondogo hizo mtu akifanya mbona hapungukiwi chochote,na anafanya kwa upendo tu.

Kila kitu kinachofanywa kifanywe kwa upendo.
Itakuwa maeneo mengine wanaishi wa kukomoana.

Huyo mama yako ni mzembe aisee.
Mimi mama yangu muda wote yupo busy,yaani hadi ukikuta anasaidiwa basi ujue ametingwa.
Kufanywa kwa upendo sio swala kabisa hata mie nikiguswa nakupiga tuff ila ikishageuka malumbano ya hoja tabu inaanzia hapo!

Mfano tuna mtt mdogo nafanya kumbeba nambembeleza wewe unafanya majukumu mengine nini mbaya hapo? If i do it kwa mguso binafsi sio swala ila ondoeni ile notion eti kama mie nakusaidia hela ukikwama kwanini usikoke kuni upike?

Huo ni upumbavu na ukosefu wa adabu na kwangu makofi utakula.
 
Unaolewa na kabila tofauti na ukoo tofauti[emoji28] otherwise ujiwekee constraint kuwa utaolewa na mnyaki mwenzio tu!
Halafu mimi siyo mnyakyusa.
Huwa mnawaonea wanyakyusa bure[emoji23].

Unadhani mimi mvivu basi,
Ila kuna muda mtu inabidi ajiongeze asaidie mwenzie..
Msiishi kwa kumkomoa mtu.
Ukinikomoa basi na wewe jiandae kisaikolojia siku umebanwa huna hili wala lile,nikikaa kimya usiite ubinafsi.
 
Wewe sio mnyaki ni kabila gani sasa maana watu wa Mbeya city ni wanyaki
 
Back
Top Bottom