Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Majukumu ni vitu basic ina maana kwako watu hawatakula? Mtaishi katika nyumba chafu? Kutiwa hutatiwa nimeoa mke wa kazi gani?Khaa kwahiyo ukiwa Mbeya hiyo hela huwezi kutuma? Ndiyo muone raha ya kulazimisha mtu afanye majukumu yake hata kama haiwezekani kwa muda huo yaani that is exactly how women feel pale mumeo anapokuambia "mimi hata kama unafanya kazi na unarudi usiku majukumu yako lazima ufanye"!
Mbona vitu vingine ni basic sana yani mi ntapiga makofi mpaka urudi kwenu ukajifunze adabu sipendi mwanamke mjuaji kabisa na jueri! Ombea upate mwanaume nyoro nyoro tu.
Kuumwa ni emergency hamna anayepanga kwamba badae ntaumwa niweke elfu 50 kwa ajili ya matibabu. Inaweza tokea mtu yuko kijijini saa 8 za usiku hamna access ya kutuma pesa. Utaacha mtoto afe?