Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Unapoteza muda wako bure hapo.

Hao ndio Aina ya wanawake MKE wako akiwa Ni rafiki Yake lazima familia au ndoa yako ipitoe changamoto
Dah kweli mkuu yani kuna vitu havi make sense! Nashukuru kabisa huwa mwanamke naangalia mengi yani asiwe mtu wa makundi yani😅 nimefanikiwa kwa 90% ya vigezo navyotaka toka kwake!

Huyu Karma ningekuwa napiga kila siku hadi ujinga umtoke!
 
Huo ni upumbavu wewe ila ipo siku utanikumbuka na kuona dunia kumbe sivyo ambavyo ilivyo kichwani mwako!

Mwanamke anayejitambua hawezi ruhusu eti mumewe aanze kufanya mambo ya kike kike eti sababu anamsaidia. Nashukuru mungu mtu niliye naye anaweza hata kulipa ada ya mtoto na still akaendelea kuniheshimu kama mume. She feel responsible kama mwanamke na mama wa mtoto. Hata siku moja hawezi kuniambia eti deki au osha vyombo.

Huwa nashangaa unapoonge vitu ambavyo kama haviwezekani kumbe ni mentality ya kipuuzi tu ulio nayo ndio inakufanya uone kuwa ukifanya kitu lazma na mwanaume naye umhenyeshe.
Extrovert bhana hivi ni kadhia gani ambazo wewe unakutana nazo kazini ambazo mke wako hakutani nazo! Kama ni kufokewa na boss kama mtoto mdogo naye anafokewa kama ni kubakiza viporo vya kazi ili akamalizie nyumbani naye anabakiza naye ana stress za kazi kama zote yaani!

Sasa kinachofanya mwanamke awe na muda wa ziada kufanya na majukumu ya nyumbani ambao wewe huo muda unasema huna ni kipi hasa? Yaani mnatoka wote asubuhi mnarudi wote usiku kuna kazi za kupika na kuosha vyombo zinawasubiria mnashindwa kuingia jikoni huyu akashika hiki huyu kile mshunghulikie huo msosi chap uive ili mle?

Bila shaka hata wewe hujakaa muda mrefu kwenye ndoa kiasi cha kugundua kuwa mwanamke anapohitaji msaada kutoka kwako lengo lake siyo kukukomoa kama unavyobwata hapa! Wewe kama unaona mkeo hafai kusaidiwa majukumu yake kwa kuita eti hizo ni kazi za kike sijui na upumbavu gani basi wewe hufai kuwa mume na tarajia lolote kutoka kwa huyo 'mkeo' unayempamba hapa siku zote muda ni mwalimu mzuri!
 
Adabu ipi ndiyo uielezee hapo! Yaani lets say majukumu yangu yote nafanya vizuri tu sitaki ushike chochote ila pia pesa zangu hugusi hata uwe na shida gani hapo unanipigaje yaani kwa mfano ndiyo nataka unieleweshe hapooo!
Sikulazimishi utoe hela yako bali utapoguswa na jambo utatoa tu sio lazma uombwe. Ndo nimetoa mfano in a state of emergency kama mtoto kuumwa baba simu haipatikani yuko porini au mgodini. Utaacha mtoto afe?
Halafu kingine wewe una mentality kwamba sababu unafanya kazi zako bila mume kukuingilia basi hata yeye anatakiwa afanye kila kitu mwenyewe tu.

Yani kwa akili yako naona ile aina ya wanawake ambao kazini anaenda ila kulipia king’amuzi cha tv anayoangalia tamthilia hawezi kujiongeza hata mara moja moja. Akilipa utaskia nimekukopesha hio hela.
 
Unaona ulivyo na tatizo? Kwahio mwanaume akafunue ma hotpot wewe ukiwa jamii forums sio! Aisee mtoto wangu siwezi kubali aoe utopolo wa mwanamke ni lazma alete wachumba niwakague kwa siri na kisha ntamwambia huyo ndie oa.
Kama mtu hajisikii kula kwa muda huo utamlazimisha? Hivi wanaume wa kiafrika mna matatizo gani kwani?
 
Dah kweli mkuu yani kuna vitu havi make sense! Nashukuru kabisa huwa mwanamke naangalia mengi yani asiwe mtu wa makundi yani[emoji28] nimefanikiwa kwa 90% ya vigezo navyotaka toka kwake!

Huyu Karma ningekuwa napiga kila siku hadi ujinga umtoke!
Hapo kwenye kupiga ungejisumbua! Na pengine mimi ndiyo ningekuwa nakunyuka wewe sasa haya mambo wala siyo ya kukariri ndiyo maana wengine huwa tunajiweka pembeni tunaogopa tusije umiza watoto wa wanawake wenzetu bure!
 
Kama mtu hajisikii kula kwa muda huo utamlazimisha? Hivi wanaume wa kiafrika mna matatizo gani kwani?
Mwanaume arudi nyumbani aseme hajiskii kula kweli? 😅

Acheni michepuko iwasaidie tu hamna namna yani! Mwanaume anahitaji treatment nzuri bana
 
Sikulazimishi utoe hela yako bali utapoguswa na jambo utatoa tu sio lazma uombwe. Ndo nimetoa mfano in a state of emergency kama mtoto kuumwa baba simu haipatikani yuko porini au mgodini. Utaacha mtoto afe?
Halafu kingine wewe una mentality kwamba sababu unafanya kazi zako bila mume kukuingilia basi hata yeye anatakiwa afanye kila kitu mwenyewe tu.

Yani kwa akili yako naona ile aina ya wanawake ambao kazini anaenda ila kulipia king’amuzi cha tv anayoangalia tamthilia hawezi kujiongeza hata mara moja moja. Akilipa utaskia nimekukopesha hio hela.
Nimeshasema when it comes to my kids nitatoa tu! Ila kwako wewe my friend utachonga fyasi na hakuna kitu utanifanya kwa sababu majukumu yangu natimiza mengine hayanihusu!
 
Hapo kwenye kupiga ungejisumbua! Na pengine mimi ndiyo ningekuwa nakunyuka wewe sasa haya mambo wala siyo ya kukariri ndiyo maana wengine huwa tunajiweka pembeni tunaogopa tusije umiza watoto wa wanawake wenzetu bure!
Hahahahah yani we uninyuke mimi? Labda uniwashe moto ila sio man to man! Tutazika mda si mrefu na mie kwenda kisongo moja kwa moja
 
Nimeshasema when it comes to my kids nitatoa tu! Ila kwako wewe my friend utachonga fyasi na hakuna kitu utanifanya kwa sababu majukumu yangu natimiza mengine hayanihusu!
Sasa mie hela yako naitaka ya nini kama nina yangu. Majukumu sana sana ni watoto na mke tu. Yana revolve around humo. Vipengele huwa ni ada tu mara nyingi baada ya ada kulipwa maisha yanarudi kuwa smooth
 
Mwanaume arudi nyumbani aseme hajiskii kula kweli? [emoji28]

Acheni michepuko iwasaidie tu hamna namna yani! Mwanaume anahitaji treatment nzuri bana
Nimemaanisha vipi kama mwanamke hajisikii kula kwa muda huo? Wewe si ukafunue tu mahotpot ukale?

Teh teh wanaume kuchepuka huwa mnachepuka hata wake zenu wawe malaika uzuri hilo huwa mnalisema wenyewe kwamba hakuna mwanaume rijali asiyechepuka hivyo wala hakuna jipya hapo! Na hiyo ndiyo sababu wanawake wanawafanyia yote haya walau mngekuwa hata mnajiheshimu tungewafikiria!

Halafu huwa nawashangaa sana yaani unamsifia mchepuko wako ambaye kwake unaenda mara moja moja hivyo hata kukupikia anakupikia mara moja moja na kukupa anakupa mara moja moja na bado hakusaidii chochote kiuchumi wewe ndiyo unamhonga na kumpeleka shopping! Then unamfananisha na mkeo ambaye anatakiwa akupikie kila siku akupe unyumba kila siku na bado pesa akusaidie kutoa!

Hebu jaribu kumtwika huyo mchepuko hayo majukumu ya mkeo uone kama naye atabaki hapo! Dooh kumbe ndiyo maana wanawake wengi siku hizi hawataki kuolewa wanang'ang'ania waume za watu ili wawe michepuko tu maana wanajua michepuko inakula good time sawa na au pengine hata zaidi ya hao wake wa ndoa!

Siku hizi tofauti kati ya mke na mchepuko ni pete na kubadilishwa jina tu kitu ambacho kwa wanawake wengine hiyo siyo issue tena kwao wanaona ni mzigo tu! Na tofauti nyingine ni kwamba mke ndiyo ana majukumu mengi kwa mwanaume kuliko mchepuko ila huduma wanapata sawa au mchepuko anapata zaidi dooh ndoa hizi!
 
Hahahahah yani we uninyuke mimi? Labda uniwashe moto ila sio man to man! Tutazika mda si mrefu na mie kwenda kisongo moja kwa moja
Teh wala sikulazimishi uamini! Watu tumeachwa sababu ya hizo case za kupigana na wanaume na wanaume wenyewe ni wale wa kanda ya ziwa mnaowaita wababe sembuse wewe mpare sijui mchaga wa wapi duuh hebu nikae kimya asee!
 
Sasa mke ambaye kama wewe humsaidii mume kiuchumi unatofauti gani na mchepuko unayemkandia? Kwamba wewe kuspend kwa mpenzi wako hutaki mpaka uhakikishe anakupigiw deki nakukuoshea vyombo 😅!

Maana mume anakutunza in the same manner anavyomtunza mchepuko ila tofauti ni kuwa mchepuko ana add value kwa mahaba moto moto! Aliekwambia tunapewa mara moja moja ni nani? Mchepuko unafumua tani yako yani wala hupimiwi kama kwa mke mjinga pale nyumbani.

Unakirimiwa kwa upendo yani acha tu. Mke mpuuzi dawa yake kumuignore tu abaki na ujinga wake. Raha zipo kwa bi mdogo.

Unasema mke ana majukumu mengi kama yapi? Kwamba mchepuko yeye haoshi vyombo na kudeki kama wewe😅 ama unahisi michepuko wanaagizaga vyakula hotelini? Na tena mchepuko ndio hana dada wa kazi kabisa we unaye ila still unalalamika.
 
Teh wala sikulazimishi uamini! Watu tumeachwa sababu ya hizo case za kupigana na wanaume na wanaume wenyewe ni wale wa kanda ya ziwa mnaowaita wababe sembuse wewe mpare sijui mchaga wa wapi duuh hebu nikae kimya asee!
😅😅😅😅😅😅 huyo itakuwa kanda ya chuchu sio ziwa!
 
Sasa mie hela yako naitaka ya nini kama nina yangu. Majukumu sana sana ni watoto na mke tu. Yana revolve around humo. Vipengele huwa ni ada tu mara nyingi baada ya ada kulipwa maisha yanarudi kuwa smooth
Ada za watoto pamoja na mahitaji yao, bima za afya uwakatie ili usitafute sababu eti hata kama mtoto anaumwa nitashindwa kutoa hela yangu, matumizi ya nyumbani, bills za hapa na pale, na mahitaji yangu mimi ya muhimu! Aahh hapo baba hutagusa hata kisosa yaani wewe miguu juu tu asee!
 
Wapi wanaolipa all bills na bado mke ukimwambia akutengee chakula atakuonyesha ma hotpot jikoni uyafate ujipakulie 😅.

Bado atakuvutia mdomo ukitaka kumsex!
 
NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.

Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo anavyokipika!

Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.

Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Pole sana mkuu
 
Nimemaanisha vipi kama mwanamke hajisikii kula kwa muda huo? Wewe si ukafunue tu mahotpot ukale?

Teh teh wanaume kuchepuka huwa mnachepuka hata wake zenu wawe malaika uzuri hilo huwa mnalisema wenyewe kwamba hakuna mwanaume rijali asiyechepuka hivyo wala hakuna jipya hapo! Na hiyo ndiyo sababu wanawake wanawafanyia yote haya walau mngekuwa hata mnajiheshimu tungewafikiria!

Halafu huwa nawashangaa sana yaani unamsifia mchepuko wako ambaye kwake unaenda mara moja moja hivyo hata kukupikia anakupikia mara moja moja na kukupa anakupa mara moja moja na bado hakusaidii chochote kiuchumi wewe ndiyo unamhonga na kumpeleka shopping! Then unamfananisha na mkeo ambaye anatakiwa akupikie kila siku akupe unyumba kila siku na bado pesa akusaidie kutoa!

Hebu jaribu kumtwika huyo mchepuko hayo majukumu ya mkeo uone kama naye atabaki hapo! Dooh kumbe ndiyo maana wanawake wengi siku hizi hawataki kuolewa wanang'ang'ania waume za watu ili wawe michepuko tu maana wanajua michepuko inakula good time sawa na au pengine hata zaidi ya hao wake wa ndoa!

Siku hizi tofauti kati ya mke na mchepuko ni pete na kubadilishwa jina tu kitu ambacho kwa wanawake wengine hiyo siyo issue tena kwao wanaona ni mzigo tu! Na tofauti nyingine ni kwamba mke ndiyo ana majukumu mengi kwa mwanaume kuliko mchepuko ila huduma wanapata sawa au mchepuko anapata zaidi dooh ndoa hizi!
Ukiamua kuwa mchepuko si unakuwa tu! Usizae we kaa udange ili ule hizo good times maana kutiwa kuko pale pale na kupika kuko pale pale hata ukiwa mchepuko na ukiwa average hamna mwanaume atalipia average comfort ambayo anaipata kwa mke nyumbani. Utaachwa tu na uvivu wako😅
 
Sasa mke ambaye kama wewe humsaidii mume kiuchumi unatofauti gani na mchepuko unayemkandia? Kwamba wewe kuspend kwa mpenzi wako hutaki mpaka uhakikishe anakupigiw deki nakukuoshea vyombo [emoji28]!

Maana mume anakutunza in the same manner anavyomtunza mchepuko ila tofauti ni kuwa mchepuko ana add value kwa mahaba moto moto! Aliekwambia tunapewa mara moja moja ni nani? Mchepuko unafumua tani yako yani wala hupimiwi kama kwa mke mjinga pale nyumbani.

Unakirimiwa kwa upendo yani acha tu. Mke mpuuzi dawa yake kumuignore tu abaki na ujinga wake. Raha zipo kwa bi mdogo
Mchepuko gani huyo ambaye unaenda kwake KILA SIKU? Halafu na yeye muda wa kuwa na wanaume wengine ataupata wapi maana kumbuka kwake naye hauko peke yako!

Mke wako utataka akupe unyumba kila siku na kuchepuka bado utachepuka tu! Halafu mke utampa 50K mchepuko utampa 100K na shopping juu na nyumba na gari utampa!

Haki marriage in africa is a scam to women! Mtu anakuambia hatosheki na mwanamke mmoja kwahiyo anamtafuta mmoja wa kumtwika mamizigo yote kwa jina la mke halafu anao wengine huku pembeni ambao hawana mizigo na bado anawapa wanachotaka zaidi hata ya mke wake nyieee!
 
Back
Top Bottom