Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wapo waliosoma wakaelimika na wapo waliosoma kukamilisha ratiba. Walioelimika wanaheshimu values zao katika jamii ila wakamilisha ratiba bado elimu haijawakomboa na ndio hawa ambao they misuse their brains na kutaka kuweka ligi na men!
Hamtaki std 7 nyie watu mna matatizo
 
Nyie ambao huwa mnalalamika na kutoa hela kwa masimango!

Mia yako mm ya kazi gani?

Sijakuoa kwasababu nina shida ya pesa, pesa yangu ninayo, nimeoa mke, majumu ya mke lazima utimize nami nitatimiza yangu 10000% siwez oa mke alafu niendelee na maisha ya ubachela.. Hakuna kitu kama hicho ABADANI
 
"Mwanamke anayekusaidia wewe kutafuta pesa"

Hiyo kauli sikubaliani nayo mwanamke hawatafuti pesa kwa ajili ya kumsaidia mume wake,,yeye pesa ni kwa ajili yake na ukikwama hata hela ya kula ana kukopesha na usipolipa mtagombana ni viumbe vibinafsi sana hivi.
 
Sasa kama ulienda kuomba kwa gia ya kukopa kwanini asikudai?
 
Nilalamike kwasababu gani?

Umeolewa ishi kama mke . Nje ya hapo lazima kiwake , na baadhi yetu hatuendekez mambo ya kijinga kugombana na mtu mwaka mzima.. unarud kwenu navuta mwingine
Si ni nyie huwa mkiombwa hela mnauliza yeye zake amefanyia nini.
 
Sasa kama ulienda kuomba kwa gia ya kukopa kwanini asikudai?
Wala husemi kama unakopa unaweza ukamwambia tu mke leo hali tete fanya maarifa nyumbani watoto wale ila atakuambia anakukopesha..

Mke anafanya kazi analipwa mshahara mzuri tu lakini hauna faida kwa familia wala mume kila kitu baba mtoto akitaka hata daftari ataambiwa aende kwa baba...kiufupi mwanamke ni kiumbe kibinafsi kuliko vyote.
 
Wewe huwa unamsaidia majukumu yake?
Isije kuwa tangu mwanzo yeye anakomaa na kazi pekeyake bila msaada,na wewe uliahidi kufanya jukumu lako la kutafuta na kumuachia apambane na hali yake na kazi zote nyumani..sasa umekwama unahitaji msaada ambao wewe ulikuwa hauutoi.
Hapo ukifulia hakuna rangi utaacha kuona.
 
Ni utamaduni wa ulaya hapa sio ulaya , huko kwao mwanaume hana thaman kabisa, unaweza fungwa kwa kumtongoza mtu tu wanaita sexual harassment
 
Kama unaishi ulichoadika hapa hakika huyo jamaa ni LOFA... tofaut na hapo you are misleading young ladies hapa ndani matokeo yake wapokee vipigo kutoka kwa waume zao au ndoa zao zife
And unfortunately wanawake wengi siku hizi wamejitambua wanaona kuliko kuishi kwenye ndoa zenye mizigo ni heri wawe single mothers hata wakipigwa na kuachwa fresh tu! And that is bad news to most african men kwa sababu mlitaka wanawake waendelee kuvumilia ndoa zenye mateso kama bibi zetu ili mfaidi ninyi tu siku hizi wameshituka mkuu!
 
Kwanini umuite mbinafsi? Hakupi hela zake kwa sababu naye ana majukumu yake hapo ndani ya nyumba ambayo wewe wala humsaidii na wala hakuiti mbinafsi sasa kwanini unaona yeye kukusaidia majukumu yako ni wajibu wake na lazima?
 
Ukweli unaujua bwana,,usibagaze maneno mwanaume majukumu pekee yanayoweza kumshinda nayo kutokana na muda ni kazi za nyumbani lakini mengine kwa karibu zaidi ya asilimia 80 wanatimiza majukumu kama kodi,kulisha familia,kutunza mke,familia ya mke nk ila ninyi mmekosa shukrani sio watu.

Mwanaume anaweza akakaaa kwenye uhusiano na ndoa miaka yote asipewe zawadi wala chochote na mke au mpenzi wake fresh..ila ninyi kwenu ni dhambi
 
Kuna point zinachekesha sana kwenye huu uzi.

Mkishasikia tu mwanamke anafanya kazi, tayari mnasema anahusika kwenye mambo ya uchumi wa familia, hehehehe!

Babilai, anaweza kufanya kazi na usione hata shilingi mia kwenye matumizi ya familia. And ofcourse sio lazima umuulize maana as a man, ni majukumu yako kuwa provider. Ila shida kubwa ni moja....!!!!

Kama mwanamke hachangii chochote kwenye uchumi wa familia at least awe submissive. Kwa sababu akiwa na kiburi equation haiwezi kubalance kamwe. Mwanaume huwezi kujitoa ku provide kila kitu kwenye familia halafu mwanamke hataki ku bow! You women, it will never work..!!

Ila Mwanaume kama na wewe umekubali Mama awe anachangia pesa ya kula hapo ndani na gharama zingine kama ada za watoto unamuachia alipe, My Friend, usije kulalamika huku. Hatutakusaidia kitu. Hapo umesha sign 50/50 rule automatically. Kwaiyo zamu yako ya kuosha vyombo ikifika nenda tu kaoshe, tena ving'ae.

Poleni wote mliokosea kuoa/kuolewa. By the way sisi ni Binadamu bhana, kukosea ni kawaida.Tujipange upya : )

Cheers!
 
Kwamba ulete matatizo kwenye ndoa alafu useme "umejitambua?"
Hebu ishi kama mke uone kama kuna mtu atakunyooshea kidole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…