Dah kweli mkuu yani kuna vitu havi make sense! Nashukuru kabisa huwa mwanamke naangalia mengi yani asiwe mtu wa makundi yaniπ nimefanikiwa kwa 90% ya vigezo navyotaka toka kwake!Unapoteza muda wako bure hapo.
Hao ndio Aina ya wanawake MKE wako akiwa Ni rafiki Yake lazima familia au ndoa yako ipitoe changamoto
Extrovert bhana hivi ni kadhia gani ambazo wewe unakutana nazo kazini ambazo mke wako hakutani nazo! Kama ni kufokewa na boss kama mtoto mdogo naye anafokewa kama ni kubakiza viporo vya kazi ili akamalizie nyumbani naye anabakiza naye ana stress za kazi kama zote yaani!Huo ni upumbavu wewe ila ipo siku utanikumbuka na kuona dunia kumbe sivyo ambavyo ilivyo kichwani mwako!
Mwanamke anayejitambua hawezi ruhusu eti mumewe aanze kufanya mambo ya kike kike eti sababu anamsaidia. Nashukuru mungu mtu niliye naye anaweza hata kulipa ada ya mtoto na still akaendelea kuniheshimu kama mume. She feel responsible kama mwanamke na mama wa mtoto. Hata siku moja hawezi kuniambia eti deki au osha vyombo.
Huwa nashangaa unapoonge vitu ambavyo kama haviwezekani kumbe ni mentality ya kipuuzi tu ulio nayo ndio inakufanya uone kuwa ukifanya kitu lazma na mwanaume naye umhenyeshe.
Adabu ipi ndiyo uielezee hapo! Yaani lets say majukumu yangu yote nafanya vizuri tu sitaki ushike chochote ila pia pesa zangu hugusi hata uwe na shida gani hapo unanipigaje yaani kwa mfano ndiyo nataka unieleweshe hapooo!Hupigwi sababu hujatoa pesa ila sababu huna adabu[emoji6]
Sikulazimishi utoe hela yako bali utapoguswa na jambo utatoa tu sio lazma uombwe. Ndo nimetoa mfano in a state of emergency kama mtoto kuumwa baba simu haipatikani yuko porini au mgodini. Utaacha mtoto afe?Adabu ipi ndiyo uielezee hapo! Yaani lets say majukumu yangu yote nafanya vizuri tu sitaki ushike chochote ila pia pesa zangu hugusi hata uwe na shida gani hapo unanipigaje yaani kwa mfano ndiyo nataka unieleweshe hapooo!
Kama mtu hajisikii kula kwa muda huo utamlazimisha? Hivi wanaume wa kiafrika mna matatizo gani kwani?Unaona ulivyo na tatizo? Kwahio mwanaume akafunue ma hotpot wewe ukiwa jamii forums sio! Aisee mtoto wangu siwezi kubali aoe utopolo wa mwanamke ni lazma alete wachumba niwakague kwa siri na kisha ntamwambia huyo ndie oa.
Hapo kwenye kupiga ungejisumbua! Na pengine mimi ndiyo ningekuwa nakunyuka wewe sasa haya mambo wala siyo ya kukariri ndiyo maana wengine huwa tunajiweka pembeni tunaogopa tusije umiza watoto wa wanawake wenzetu bure!Dah kweli mkuu yani kuna vitu havi make sense! Nashukuru kabisa huwa mwanamke naangalia mengi yani asiwe mtu wa makundi yani[emoji28] nimefanikiwa kwa 90% ya vigezo navyotaka toka kwake!
Huyu Karma ningekuwa napiga kila siku hadi ujinga umtoke!
Mwanaume arudi nyumbani aseme hajiskii kula kweli? πKama mtu hajisikii kula kwa muda huo utamlazimisha? Hivi wanaume wa kiafrika mna matatizo gani kwani?
Nimeshasema when it comes to my kids nitatoa tu! Ila kwako wewe my friend utachonga fyasi na hakuna kitu utanifanya kwa sababu majukumu yangu natimiza mengine hayanihusu!Sikulazimishi utoe hela yako bali utapoguswa na jambo utatoa tu sio lazma uombwe. Ndo nimetoa mfano in a state of emergency kama mtoto kuumwa baba simu haipatikani yuko porini au mgodini. Utaacha mtoto afe?
Halafu kingine wewe una mentality kwamba sababu unafanya kazi zako bila mume kukuingilia basi hata yeye anatakiwa afanye kila kitu mwenyewe tu.
Yani kwa akili yako naona ile aina ya wanawake ambao kazini anaenda ila kulipia kingβamuzi cha tv anayoangalia tamthilia hawezi kujiongeza hata mara moja moja. Akilipa utaskia nimekukopesha hio hela.
Hahahahah yani we uninyuke mimi? Labda uniwashe moto ila sio man to man! Tutazika mda si mrefu na mie kwenda kisongo moja kwa mojaHapo kwenye kupiga ungejisumbua! Na pengine mimi ndiyo ningekuwa nakunyuka wewe sasa haya mambo wala siyo ya kukariri ndiyo maana wengine huwa tunajiweka pembeni tunaogopa tusije umiza watoto wa wanawake wenzetu bure!
Sasa mie hela yako naitaka ya nini kama nina yangu. Majukumu sana sana ni watoto na mke tu. Yana revolve around humo. Vipengele huwa ni ada tu mara nyingi baada ya ada kulipwa maisha yanarudi kuwa smoothNimeshasema when it comes to my kids nitatoa tu! Ila kwako wewe my friend utachonga fyasi na hakuna kitu utanifanya kwa sababu majukumu yangu natimiza mengine hayanihusu!
Nimemaanisha vipi kama mwanamke hajisikii kula kwa muda huo? Wewe si ukafunue tu mahotpot ukale?Mwanaume arudi nyumbani aseme hajiskii kula kweli? [emoji28]
Acheni michepuko iwasaidie tu hamna namna yani! Mwanaume anahitaji treatment nzuri bana
Teh wala sikulazimishi uamini! Watu tumeachwa sababu ya hizo case za kupigana na wanaume na wanaume wenyewe ni wale wa kanda ya ziwa mnaowaita wababe sembuse wewe mpare sijui mchaga wa wapi duuh hebu nikae kimya asee!Hahahahah yani we uninyuke mimi? Labda uniwashe moto ila sio man to man! Tutazika mda si mrefu na mie kwenda kisongo moja kwa moja
Sasa mke ambaye kama wewe humsaidii mume kiuchumi unatofauti gani na mchepuko unayemkandia? Kwamba wewe kuspend kwa mpenzi wako hutaki mpaka uhakikishe anakupigiw deki nakukuoshea vyombo π !Nimemaanisha vipi kama mwanamke hajisikii kula kwa muda huo? Wewe si ukafunue tu mahotpot ukale?
Teh teh wanaume kuchepuka huwa mnachepuka hata wake zenu wawe malaika uzuri hilo huwa mnalisema wenyewe kwamba hakuna mwanaume rijali asiyechepuka hivyo wala hakuna jipya hapo! Na hiyo ndiyo sababu wanawake wanawafanyia yote haya walau mngekuwa hata mnajiheshimu tungewafikiria!
Halafu huwa nawashangaa sana yaani unamsifia mchepuko wako ambaye kwake unaenda mara moja moja hivyo hata kukupikia anakupikia mara moja moja na kukupa anakupa mara moja moja na bado hakusaidii chochote kiuchumi wewe ndiyo unamhonga na kumpeleka shopping! Then unamfananisha na mkeo ambaye anatakiwa akupikie kila siku akupe unyumba kila siku na bado pesa akusaidie kutoa!
Hebu jaribu kumtwika huyo mchepuko hayo majukumu ya mkeo uone kama naye atabaki hapo! Dooh kumbe ndiyo maana wanawake wengi siku hizi hawataki kuolewa wanang'ang'ania waume za watu ili wawe michepuko tu maana wanajua michepuko inakula good time sawa na au pengine hata zaidi ya hao wake wa ndoa!
Siku hizi tofauti kati ya mke na mchepuko ni pete na kubadilishwa jina tu kitu ambacho kwa wanawake wengine hiyo siyo issue tena kwao wanaona ni mzigo tu! Na tofauti nyingine ni kwamba mke ndiyo ana majukumu mengi kwa mwanaume kuliko mchepuko ila huduma wanapata sawa au mchepuko anapata zaidi dooh ndoa hizi!
π π π π π π huyo itakuwa kanda ya chuchu sio ziwa!Teh wala sikulazimishi uamini! Watu tumeachwa sababu ya hizo case za kupigana na wanaume na wanaume wenyewe ni wale wa kanda ya ziwa mnaowaita wababe sembuse wewe mpare sijui mchaga wa wapi duuh hebu nikae kimya asee!
Ada za watoto pamoja na mahitaji yao, bima za afya uwakatie ili usitafute sababu eti hata kama mtoto anaumwa nitashindwa kutoa hela yangu, matumizi ya nyumbani, bills za hapa na pale, na mahitaji yangu mimi ya muhimu! Aahh hapo baba hutagusa hata kisosa yaani wewe miguu juu tu asee!Sasa mie hela yako naitaka ya nini kama nina yangu. Majukumu sana sana ni watoto na mke tu. Yana revolve around humo. Vipengele huwa ni ada tu mara nyingi baada ya ada kulipwa maisha yanarudi kuwa smooth
Wapi wanaolipa all bills na bado mke ukimwambia akutengee chakula atakuonyesha ma hotpot jikoni uyafate ujipakulie π .Ada za watoto pamoja na mahitaji yao, bima za afya uwakatie ili usitafute sababu eti hata kama mtoto anaumwa nitashindwa kutoa hela yangu, matumizi ya nyumbani, bills za hapa na pale, na mahitaji yangu mimi ya muhimu! Aahh hapo baba hutagusa hata kisosa yaani wewe miguu juu tu asee!
Pole sana mkuuNGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.
Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo anavyokipika!
Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.
Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Ukiamua kuwa mchepuko si unakuwa tu! Usizae we kaa udange ili ule hizo good times maana kutiwa kuko pale pale na kupika kuko pale pale hata ukiwa mchepuko na ukiwa average hamna mwanaume atalipia average comfort ambayo anaipata kwa mke nyumbani. Utaachwa tu na uvivu wakoπNimemaanisha vipi kama mwanamke hajisikii kula kwa muda huo? Wewe si ukafunue tu mahotpot ukale?
Teh teh wanaume kuchepuka huwa mnachepuka hata wake zenu wawe malaika uzuri hilo huwa mnalisema wenyewe kwamba hakuna mwanaume rijali asiyechepuka hivyo wala hakuna jipya hapo! Na hiyo ndiyo sababu wanawake wanawafanyia yote haya walau mngekuwa hata mnajiheshimu tungewafikiria!
Halafu huwa nawashangaa sana yaani unamsifia mchepuko wako ambaye kwake unaenda mara moja moja hivyo hata kukupikia anakupikia mara moja moja na kukupa anakupa mara moja moja na bado hakusaidii chochote kiuchumi wewe ndiyo unamhonga na kumpeleka shopping! Then unamfananisha na mkeo ambaye anatakiwa akupikie kila siku akupe unyumba kila siku na bado pesa akusaidie kutoa!
Hebu jaribu kumtwika huyo mchepuko hayo majukumu ya mkeo uone kama naye atabaki hapo! Dooh kumbe ndiyo maana wanawake wengi siku hizi hawataki kuolewa wanang'ang'ania waume za watu ili wawe michepuko tu maana wanajua michepuko inakula good time sawa na au pengine hata zaidi ya hao wake wa ndoa!
Siku hizi tofauti kati ya mke na mchepuko ni pete na kubadilishwa jina tu kitu ambacho kwa wanawake wengine hiyo siyo issue tena kwao wanaona ni mzigo tu! Na tofauti nyingine ni kwamba mke ndiyo ana majukumu mengi kwa mwanaume kuliko mchepuko ila huduma wanapata sawa au mchepuko anapata zaidi dooh ndoa hizi!
Mchepuko gani huyo ambaye unaenda kwake KILA SIKU? Halafu na yeye muda wa kuwa na wanaume wengine ataupata wapi maana kumbuka kwake naye hauko peke yako!Sasa mke ambaye kama wewe humsaidii mume kiuchumi unatofauti gani na mchepuko unayemkandia? Kwamba wewe kuspend kwa mpenzi wako hutaki mpaka uhakikishe anakupigiw deki nakukuoshea vyombo [emoji28]!
Maana mume anakutunza in the same manner anavyomtunza mchepuko ila tofauti ni kuwa mchepuko ana add value kwa mahaba moto moto! Aliekwambia tunapewa mara moja moja ni nani? Mchepuko unafumua tani yako yani wala hupimiwi kama kwa mke mjinga pale nyumbani.
Unakirimiwa kwa upendo yani acha tu. Mke mpuuzi dawa yake kumuignore tu abaki na ujinga wake. Raha zipo kwa bi mdogo
Jipe Moyo Mungu Atakusaidia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] huyo itakuwa kanda ya chuchu sio ziwa!