Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Oohh kumbe huwa unajua kuelewa sasa unavyojifanyaga unajitoa ufahamu? Hata sisi kutusaidia kazi siyo kila siku bali ni pale ambapo unaona kabisa hapa mkeo kazidiwa na siyo mpangiane zamu eti leo mimi kesho wewe uwe unaelewa basi!
Sasa we tatizo lako unalazimisha sio kwamba nini wewe unataka iwe zamu😅 wewe unataka ukilipa king’amuzi baba akate uno adeki! Utoto huo
 
Hahahahahah tatizo jengine hilo[emoji28] dharau na karma ni kama chai na sukari! How can you judge a book by its cover? Try me!!!
Aahh wapi siwezi kupoteza muda wangu na rasilimali zangu kwa jambo la kubet! Inatakiwa niwe na uhakika kabisa!
 
Aahh wapi siwezi kupoteza muda wangu na rasilimali zangu kwa jambo la kubet! Inatakiwa niwe na uhakika kabisa!
Aliekwambia unabeti nani? Sijasahau ulichoongea mwaka jana😅 japo najua umesahau jambo lenyewe.
 
Sasa kwanini uniite mbinafsi kwa kutofanya jambo ambalo siyo jukumu langu? Hata mimi nawafahamu wanaume wanaofanya hizo kazi na wameoa so hata wewe ujue kuwa wapo wanaofanya hizo kazi kwa moyo na bado wake zao wanawaheshimu na wala hawawapangii zamu!
 
Sasa kwanini uniite mbinafsi kwa kutofanya jambo ambalo siyo jukumu langu? Hata mimi nawafahamu wanaume wanaofanya hizo kazi na wameoa so hata wewe ujue kuwa wapo wanaofanya hizo kazi kwa moyo na bado wake zao wanawaheshimu na wala hawawapangii zamu!
Sijakuita mbinafsi kwa kushindwa kufanya hilo bali kwa kutaka kuhalalisha kwako kana kwamba wanaofanya ni mazoba kama ambavyo uliwaita hapo awali! Hizo kazi zinafanyika hata mie nikijiskia naweza mpikia wife ila sio swala la kuwa ni lazima nifanye hivyo.
 
Kuweni michepuko tu tutazaa na kuoa wenye akili ambao msio na akili mnawaona mazoba
Wenye akili ndiyo hao ambao hawajasoma hivyo waoeni tu! Tuliosoma hatuna akili wala msijisumbue hata kujifanya sijui mnawaweka kwenye uchumba miaka mitatu eti ili kuwapima mtaishia kuigiziwa bure halafu mje kulalamika kuwa oo wanawake kwenye uchumba wanakuwaga wife materials ila wakiingia kwenye ndoa wanabadilika ghafla teh wanawake wote tuliosoma baba yetu ni mmoja take it from me!
 
Sasa we tatizo lako unalazimisha sio kwamba nini wewe unataka iwe zamu[emoji28] wewe unataka ukilipa king’amuzi baba akate uno adeki! Utoto huo
Yaani unavyokuongelea huko kudeki utafikiri ni kitu cha ajabu sana! Hivi nikuulize kwani wewe kudeki huwezi?
 
Aliekwambia unabeti nani? Sijasahau ulichoongea mwaka jana[emoji28] japo najua umesahau jambo lenyewe.
Siyo mbaya tukikumbushana. Watu tushazeeka saa hizi hatuwezi kukumbuka hadi hizi story za kuchangamsha genge tunazopiga humu.
 
Sasa si ni kama wewe tu unavyowaona wanaume wenzio wanaowasaidia wake zao hizo kazi kuwa ni mazoba au kama mnavyowaita wenyewe eti mume bwege! Wewe kufanya hizo kazi siyo lazima jamani hivi unafikiri mkeo atakuja atakuambia kabisa kuwa eti nisaidie kupika au kuosha vyombo hawezi kusema ila anategemea tu siku moja moja uguswe ujiongeze!
 
Siyo mbaya tukikumbushana. Watu tushazeeka saa hizi hatuwezi kukumbuka hadi hizi story za kuchangamsha genge tunazopiga humu.
Hehehehehe uzee gani unao wewe mtoto wa 97
 
Hapo kwenye kupiga ungejisumbua! Na pengine mimi ndiyo ningekuwa nakunyuka wewe sasa haya mambo wala siyo ya kukariri ndiyo maana wengine huwa tunajiweka pembeni tunaogopa tusije umiza watoto wa wanawake wenzetu bure!
Hakuna mwanamke hapa,

Ni Jianaume lililopewa Uke Na Matiti mawili
 

Twin kama ni ukosefu wa heshima kwanini umtume hata mkiwa wenyewe??
 
Sitaki kusema nimekosea, ila nakiri kuna muda sisi wanaume tunataka na sisi tuwe kama wanawake sasa.
Nilipooa baada ya mwaka nikagundua kumbe kule kulazimisha niheshimiwe ndio naharibu zaid.
Sasa nikuambie mimi napika na kufua mpaka kuogesha watoto tena kwa furaha kabisa...Wajua kwanini?? Mwanamke naye ni binadamu, anachoka, ana mambo kichwani saa nyingine yanabaki kuwa ya kwao mioyoni mwao. Sasa najiuliza mfano mke wangu kutwa nzima kazini kwake kapata matatizo au hata kwao labda kuna matatizo, sasa hizo nguvu za kunifanyia kila kitu atazitoa wapi achili yale ya kitandani?
Sasa ukitaka wanawake wasikusumbue fanya yale ambayo hayataacha upungukiwe na nguvu za kiume.
Mimi mke wangu amefika hatua ananishauri hata nioe mke wa pili mbona vitu vya kijinga sisumbuani naye kabisa.
Utaratibu unajulikana wa ndoa, sasa mimi kuanza kumfunda anifulie na kinipikia ni kujitafutia ugomvi tu.
Mimi hata arudi kesho sitamuuliza yeye kama ana akili atasema, mbona kitendo cha yeye mfano kufanya vitu bila mimi kujua maana yake anatafuta ugomvi na mimi, sasa mimi nampuuza na simuulizi na nitampikia ale kabisa, ukisema atanidharau kwani hajui shughuli yangu tukilala? Sasa kama anatafuta ugomvi hanipati.
 

Makofiiiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…