Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Tatizo hutaki kuukubali ukweli wewe, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mwanaume wa hivi simtaki kwa kweli....yaani nirudi asubuhi ukae kimya? Mwanaume Bwege hapana kwa kweli.
 
Wewe unapenda ligi! Ishi mwenyewe tu kwa usalama wako na afya yako maana ukipata mume mwenye calibre ya Magufuli atakutoa meno mapema sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanaume wa hivi simtaki kwa kweli....yaani nirudi asubuhi ukae kimya? Mwanaume Bwege hapana kwa kweli.
Yaani uende nisipopajua nikuulize?? Bwege ni yule anayehoji kila kitu, wewe ukiwa na akili timamu utasema mwenyewe bila kuulizwa kwakuwa utaratibu ulitakiwa kuaga, sasa kama umeamua kuvunja utaratibu maana yake unatafuta vita ambayo nikijiingiza huko nitafungwa kifungo cha miasha gerezani
 
Na kuliko kuolewa na mwanaume mzigo haki ya nani bora niwe single mother hata wa watoto kumi! Na hao watu watakaonisema wahakikishe nao wakifa wanaenda mbinguni!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaona ulivyo na tatizo? Kwahio mwanaume akafunue ma hotpot wewe ukiwa jamii forums sio! Aisee mtoto wangu siwezi kubali aoe utopolo wa mwanamke ni lazma alete wachumba niwakague kwa siri na kisha ntamwambia huyo ndie oa.
Kheeeeeh huyo mtoto wako atakua hajielewi bas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Bwege ni yule anaekaa kimya hata mke akikosea anaona sawa, Mke anarudi asubuhi yeye usiku kucha alikua busy kubembeleza watoto!!!

Binafsi hapana aisee
 
Watu wanamtazama tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndoa ni kama biashara mwanaume uneinvest hela(matunzo ya familia)
Mwanamke unaleta mahaba hapo ndani,inafanyika batter trade
Na hakuna mtu anataka hasara
Nipate upendo kadiri ya hela niliyoleta na mwanamke apate matunzo(hela)
Kadiri ya mahaba anayoleta

Fair share
Sio umeleta mahaba ya sh 100 unataka attention(matunzo)
Ya 1000 ,mizani ya wapi hiyo?
And vice versa is true ,
Matunzo yakiwa ya kusuasua unapewa mahaba ya 100

Hesabu zikikataa basi mnagawana mbao
 
Hapo kwenye kupiga ungejisumbua! Na pengine mimi ndiyo ningekuwa nakunyuka wewe sasa haya mambo wala siyo ya kukariri ndiyo maana wengine huwa tunajiweka pembeni tunaogopa tusije umiza watoto wa wanawake wenzetu bure!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mommah utaniua kwa kucheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…