Mtoto hawezi kuwa boya kwa sifa za kitoto za kumuita jentromen! Staki kizazi cha mashoga kwenye bloodline yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatoshi hata, kwanza mnakuta na watoto wenyewe wajinga, wanaojielewa mbna mzazi utashangaa unapewa majibu konki unabaki hoi. Lol
We unamshabikia mwanamke mwenzio huyo mi ntaongea nn endelea kuwa mshabiki mandaziTatzo wee mpare hujamuelewa huyu Karma, hebu kuwa makini ktk kusoma comments zake ktk huu uzi.
Nilijua tyuuu lazima utahusisha na ushoga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto hawezi kuwa boya kwa sifa za kitoto za kumuita jentromen! Staki kizazi cha mashoga kwenye bloodline yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana kuna mdau wa kiume kaongea jambo la ukweli, umeishia kusema ana matatizo lol.We unamshabikia mwanamke mwenzio huyo mi ntaongea nn endelea kuwa mshabiki mandazi
Wadangaji ndio mtashabikia ujinga kama ule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana kuna mdau wa kiume kaongea jambo la ukweli, umeishia kusema ana matatizo lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah wee mpare n mbishi sana.Wadangaji ndio mtashabikia ujinga kama ule
Kwa mwenye akili hatauliza ila kiherehere atajichanganya. Kwani hao watoto ni wa nani? Kama ni wangu tatizo liko wapi?Bwege ni yule anaekaa kimya hata mke akikosea anaona sawa, Mke anarudi asubuhi yeye usiku kucha alikua busy kubembeleza watoto!!!
Binafsi hapana aisee
Kuna choko mmoja humu anaitwa YEHODAYA huyo ubwabwa anaongeaga pumba tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah wee mpare n mbishi sana.
Hapana aiseeBwege ni yule anaekaa kimya hata mke akikosea anaona sawa, Mke anarudi asubuhi yeye usiku kucha alikua busy kubembeleza watoto!!!
Binafsi hapana aisee
Hapana aisee
Tupige vita uzoba[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukioa mara nyingine unakua kama mzimu hujui mbele hujui nyuma mimi baada ya miaka 16 ndio nimegundua kuwa nimekosea kuoa nilikua kipindi chote sijitambui ndani ya ndoa yangu kama mpaka tulipoachana ndio nikashtuka kila kitu lakin kwa kweli nilikua mateka.Baada ya miaka 13 ndo nilijua nimekosea, bado sana Ndugu! Ndoa ni Jambo gumu sana, huwezi elewa!
ππππYaani uende nisipopajua nikuulize?? Bwege ni yule anayehoji kila kitu, wewe ukiwa na akili timamu utasema mwenyewe bila kuulizwa kwakuwa utaratibu ulitakiwa kuaga, sasa kama umeamua kuvunja utaratibu maana yake unatafuta vita ambayo nikijiingiza huko nitafungwa kifungo cha miasha gerezani
Kumwacha mkeo sababu ya kinyeo cha kuku ni uboya, au hukujipanga kuoaTumekwisha kubaliana kuwa kama hauna neno kwako, basi ruksa kula. Kila mmoja ale apendacho. Usiwaambie watu usiowajua kuwa mbona mnakula.
Kumwacha mkeo sababu ya kinyeo cha kuku ni uboya, au hukujipanga kuoa
Kwahiyo ulishamwacha mwaka jana baada ya kulishwa kinyelo cha kuku?Mbona unaniwekea maneno mdomoni? Huwezi hata kusoma paragraph moja ya Kiswahili na kuielewa? Sina muda wa kubishana na wewe. After all, hii ni topic ya mwaka jana. Sijui ulikuwa wapi wakati inajadiliwa hapa. Bando nini?
Wapi nimesema? If you cannot argue then don't put words in my mouth.Unamaanisha strong men ni wale wanaovumiliwa kugongewa na kupangiwa ratiba za show au sio??
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Lol. Sina udogo huo. ThanksππIs it for real? Huwa nahisi na kabinti fulani kadogo dogo hata ndoa bado, hongera 12 yrs and still counting.....π
Hapo kwenye kupiga ungejisumbua! Na pengine mimi ndiyo ningekuwa nakunyuka wewe sasa haya mambo wala siyo ya kukariri ndiyo maana wengine huwa tunajiweka pembeni tunaogopa tusije umiza watoto wa wanawake wenzetu bure!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha dhihaka bhana, ukweli lazima usemwe.Kuna choko mmoja humu anaitwa YEHODAYA huyo ubwabwa anaongeaga pumba tu