Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mtoto hawezi kuwa boya kwa sifa za kitoto za kumuita jentromen! Staki kizazi cha mashoga kwenye bloodline yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatoshi hata, kwanza mnakuta na watoto wenyewe wajinga, wanaojielewa mbna mzazi utashangaa unapewa majibu konki unabaki hoi. Lol