Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatoshi hata, kwanza mnakuta na watoto wenyewe wajinga, wanaojielewa mbna mzazi utashangaa unapewa majibu konki unabaki hoi. Lol
Mtoto hawezi kuwa boya kwa sifa za kitoto za kumuita jentromen! Staki kizazi cha mashoga kwenye bloodline yangu
 
Mtoto hawezi kuwa boya kwa sifa za kitoto za kumuita jentromen! Staki kizazi cha mashoga kwenye bloodline yangu
Nilijua tyuuu lazima utahusisha na ushoga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushoga ni tofauti na kazi za kike, wala havihusiani kabisaa.
Ko kumbe mwanaume kufanya kazi za kike ktk ndoa yake n shoga?
Duuuh hii kali lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We unamshabikia mwanamke mwenzio huyo mi ntaongea nn endelea kuwa mshabiki mandazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana kuna mdau wa kiume kaongea jambo la ukweli, umeishia kusema ana matatizo lol.
 
Bwege ni yule anaekaa kimya hata mke akikosea anaona sawa, Mke anarudi asubuhi yeye usiku kucha alikua busy kubembeleza watoto!!!

Binafsi hapana aisee
Kwa mwenye akili hatauliza ila kiherehere atajichanganya. Kwani hao watoto ni wa nani? Kama ni wangu tatizo liko wapi?
Sio kila funzo lazima useme hata kumpuuza mtu tu ni funzo kuliko hata kumuuliza. Sasa wewe kama una akili timamu hujaulizwa hujistukizii tu? Unataka nikuulize ili unidanganye? Ukishanidanganya na nikajua umedanganya huoni naweza pata kesi ya mauaji bure?
 
Baada ya miaka 13 ndo nilijua nimekosea, bado sana Ndugu! Ndoa ni Jambo gumu sana, huwezi elewa!
Ukioa mara nyingine unakua kama mzimu hujui mbele hujui nyuma mimi baada ya miaka 16 ndio nimegundua kuwa nimekosea kuoa nilikua kipindi chote sijitambui ndani ya ndoa yangu kama mpaka tulipoachana ndio nikashtuka kila kitu lakin kwa kweli nilikua mateka.
 
Yaani uende nisipopajua nikuulize?? Bwege ni yule anayehoji kila kitu, wewe ukiwa na akili timamu utasema mwenyewe bila kuulizwa kwakuwa utaratibu ulitakiwa kuaga, sasa kama umeamua kuvunja utaratibu maana yake unatafuta vita ambayo nikijiingiza huko nitafungwa kifungo cha miasha gerezani
😂😂😂😂
 
Mbona unaniwekea maneno mdomoni? Huwezi hata kusoma paragraph moja ya Kiswahili na kuielewa? Sina muda wa kubishana na wewe. After all, hii ni topic ya mwaka jana. Sijui ulikuwa wapi wakati inajadiliwa hapa. Bando nini?
Kumwacha mkeo sababu ya kinyeo cha kuku ni uboya, au hukujipanga kuoa
 
Mbona unaniwekea maneno mdomoni? Huwezi hata kusoma paragraph moja ya Kiswahili na kuielewa? Sina muda wa kubishana na wewe. After all, hii ni topic ya mwaka jana. Sijui ulikuwa wapi wakati inajadiliwa hapa. Bando nini?
Kwahiyo ulishamwacha mwaka jana baada ya kulishwa kinyelo cha kuku?
 
Shikamoo mnyaki [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kwenye kupiga ungejisumbua! Na pengine mimi ndiyo ningekuwa nakunyuka wewe sasa haya mambo wala siyo ya kukariri ndiyo maana wengine huwa tunajiweka pembeni tunaogopa tusije umiza watoto wa wanawake wenzetu bure!
 
Back
Top Bottom