Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Shikamoo mnyaki [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa dada hawa wanaume wa jf bila mikwara hamuendi sawa! Wakiishiwaga hoja wanaleta personal attacks mara nitakupiga mara sijui nitakufanya nini acha tu twende nao hivyo hivyo!
 
Hahaaa dada hawa wanaume wa jf bila mikwara hawaendi! Wakiishiwaga hoja wanaleta personal attacks mara nitakupiga mara sijui nitakufanya nini acha tu twende nao hivyo hivyo!
Kipigo kiko pale pale tu
 
Dah!...fix your marriage boss
 

Unataka ampikie nani sasa?
 
Very funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financially
Hapo ndiyo ulipo kosea haya mambo ya mahusiano yana class,kuna watu wanaishi na wake zao kwasababu ya class wakati wanakutana kumsomesha ni kupaisha class lazima akuache tu au akutese.wewe unamua mwana mke form 4 unamsomesha mpaka chuo pengine ungemkuta na degree wala asinge kukubali sasa unamsomesha iweje
 
Acha wivu mkuu
 
Hahahha wasema tu huko kuchoka mbona imekuwa swala sana
Kazi wengi ni za ofisini 3asubuhi mpaka 11 jioni kakalia kiti,akiinuka saa saba lunch break nyama na viepe,akifika home 12 au moja jioni anadai amechoka anakula na kupumzika hamna hata mazoezi,ndiyo maana baadhi wana matako plus matumbo ya ajabuajabu shauri ta minyama uzembe na uvivu kisingizio tulishika mimba na kuzaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…