Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Mmechoka kwani kazi zenu mnabebaga zege site.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa dada hawa wanaume wa jf bila mikwara hamuendi sawa! Wakiishiwaga hoja wanaleta personal attacks mara nitakupiga mara sijui nitakufanya nini acha tu twende nao hivyo hivyo!Shikamoo mnyaki [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipigo kiko pale pale tuHahaaa dada hawa wanaume wa jf bila mikwara hawaendi! Wakiishiwaga hoja wanaleta personal attacks mara nitakupiga mara sijui nitakufanya nini acha tu twende nao hivyo hivyo!
Hahahha wasema tu huko kuchoka mbona imekuwa swala sanaMmechoka kwani kazi zenu mnabebaga zege site.
Saa kumi hii, Mimi mwanaume nimeamka nikascan mazingira hakuna kilichoibiwa, wife bado kalala zake. Mwanaume ni mlinzi.Nyie watu hamlali mnabishana kuhusu ndoa tu na wala hamjaoa wala kuolewa
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Dah!...fix your marriage bossNGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.
Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo anavyokipika!
Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.
Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Na nyie tutawatandika ngumi hadi muombe poo[emoji23]
Kuna vitu utakuta humu tunasema ila kiuhalisia hatuko hivyo!!!
Binafsi Mume wangu maji ya kunywa nampa na Chakula namtengea na ikiwezekana akiwa anakula nakaa pembeni nampa kampani ya story!!!
Mimi ninachokataa nimetoka kazini nianze sijui kupika hapo atasubiri sana
Hapo ndiyo ulipo kosea haya mambo ya mahusiano yana class,kuna watu wanaishi na wake zao kwasababu ya class wakati wanakutana kumsomesha ni kupaisha class lazima akuache tu au akutese.wewe unamua mwana mke form 4 unamsomesha mpaka chuo pengine ungemkuta na degree wala asinge kukubali sasa unamsomesha iwejeVery funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financially
Unataka ampikie nani sasa?
View attachment 2066647
Mtapigwa tu maana hakuna namna.Subutuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha wivu mkuuHapo ndiyo ulipo kosea haya mambo ya mahusiano yana class,kuna watu wanaishi na wake zao kwasababu ya class wakati wanakutana kumsomesha ni kupaisha class lazima akuache tu au akutese.wewe unamua mwana mke form 4 unamsomesha mpaka chuo pengine ungemkuta na degree wala asinge kukubali sasa unamsomesha iweje
Hata hivyo anafeel proud sanaa kuwa Bwabwa, kwahyo kuhusu yeye wala usiwazeKumbe huyu mtoto nae ni wali? Astaghafirullah!
Im cutting him off nilijuaga ni mantaHata hivyo anafeel proud sanaa kuwa Bwabwa, kwahyo kuhusu yeye wala usiwaze
Ohooo! Sema hana shida na sisi waume za watu Coz yy alisha olewa na anaishi mume ndani special kwa ajili ya kutatua marindaIm cutting him off nilijuaga ni manta
Kazi wengi ni za ofisini 3asubuhi mpaka 11 jioni kakalia kiti,akiinuka saa saba lunch break nyama na viepe,akifika home 12 au moja jioni anadai amechoka anakula na kupumzika hamna hata mazoezi,ndiyo maana baadhi wana matako plus matumbo ya ajabuajabu shauri ta minyama uzembe na uvivu kisingizio tulishika mimba na kuzaa.Hahahha wasema tu huko kuchoka mbona imekuwa swala sana
Kwahiyo mkuu vinyeo vya kuku wewe hulii??