Ndoa yetu ina mwaka sasa hatujawahi kuwa na migogoro, ila makosa madogo na kutofautiana kupo, sisi binadamu hatujakamilika na hakna ndoa isiyo na matatzo ila tunavumiliana.Kwani ww ni huyo Basha wako anaekutatua marinda hakuna mgogoro wowote ndani ya ndoa yenu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman wee mtu mie Mrs fulani halaliwa ndoa. Hebu niache.Ndo useme sasa unapatikana wapi? Ili upate wajuba wa kuchepuka nao waendelee kupanua hayo marinda
Ndoa yangu iko vizuri zaidi ya jana, tena migigoro ipite mbali kabisa na ituachie ndoa yetu. [emoji23][emoji23][emoji23]Vipi ndoa yako na Basha wako haina migogoro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani iv wee nae kumbe una mawazo hayo?Dah inamaana haujui kama ushaikosa stamala wajadah[emoji28]
Bora hata uwaambie wajue, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masela wanajua,, tamaa tu ya utelezi ndio unapelekea yote hayo...
Wala hata hawaoi kwa mipango
DahNdoa yetu ina mwaka sasa hatujawahi kuwa na migogoro, ila makosa madogo na kutofautiana kupo, sisi binadamu hatujakamilika na hakna ndoa isiyo na matatzo ila tunavumiliana.
Mambo sio mazuri home nkaona nipite huu uzi nibadili mawazo lakin baada ya kuona hii comment nimehesabu marangapi nimelishwa chips hii 2022.. now I'm real stressed outKwahio unataka mumeo umlishege chips kila siku ambayo hutaki kupika[emoji28]!
Nakusihi jikite kwenye kuwa demu wa mtu achana na ndoa! Muwe mnakutana weekend na kulana uroda tu
Wise up or die!Mambo sio mazuri home nkaona nipite huu uzi nibadili mawazo lakin baada ya kuona hii comment nimehesabu marangapi nimelishwa chips hii 2022.. now I'm real stressed out
Yabid nishtuke she's trying to assassinate me
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Vipi mkuu mbona kama unasikitika sana?
Bora hata uwaambie wajue,
Halafu mimi siyo mnyakyusa.
Huwa mnawaonea wanyakyusa bure[emoji23].
Unadhani mimi mvivu basi,
Ila kuna muda mtu inabidi ajiongeze asaidie mwenzie..
Msiishi kwa kumkomoa mtu.
Ukinikomoa basi na wewe jiandae kisaikolojia siku umebanwa huna hili wala lile,nikikaa kimya usiite ubinafsi.
Lkn approach yako ikishindikana, usiilazimishe utavunja ndoa. Trust me!Sitakubali aishi kama mlemavu kama zigo.
Kama anaishi kilemavu nitamsaidia kumuelekeza namna nzuri ya kuishi.
Tupige vita ulemavu aisee,tena ulemavu wa kujifanyisha.
Hivi uko serious kwamba Karne hii upate mume ambaye atakuwa anapika na kuosha vyombo !?Sasa huyo mama mkwe mchapa kazi ndiye mama ya kijana unayemwita mwamba.
Mwanaume anaishi hataki kugusa kazi yoyote ya ndani aisee ile familia ina maajabu.
50/50 mnayoitaka.Bwege ni yule anaekaa kimya hata mke akikosea anaona sawa, Mke anarudi asubuhi yeye usiku kucha alikua busy kubembeleza watoto!!!
Binafsi hapana aisee
Approach yangu inaenda kwa upendoLkn approach yako ikishindikana, usiilazimishe utavunja ndoa. Trust me!
Kwamba hawezi kufanya?Hivi uko serious kwamba Karne hii upate mume ambaye atakuwa anapika na kuosha vyombo !?
Kwamba hawezi kufanya?
Hapa mada ni kusaidiana kazi wakati tunapotingwa😂😂.Nkamu [emoji3][emoji3][emoji3]
Huo muda anaosha vyombo wewe unakua unafanya nini?
Hapa mada ni kusaidiana kazi wakati tunapotingwa[emoji23][emoji23].
Labda naumwa mfano.