Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Kwani ww ni huyo Basha wako anaekutatua marinda hakuna mgogoro wowote ndani ya ndoa yenu?
Ndoa yetu ina mwaka sasa hatujawahi kuwa na migogoro, ila makosa madogo na kutofautiana kupo, sisi binadamu hatujakamilika na hakna ndoa isiyo na matatzo ila tunavumiliana.
 
Ndo useme sasa unapatikana wapi? Ili upate wajuba wa kuchepuka nao waendelee kupanua hayo marinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman wee mtu mie Mrs fulani halaliwa ndoa. Hebu niache.
Uzinzi kwangu hapana.
 
Kwahio unataka mumeo umlishege chips kila siku ambayo hutaki kupika[emoji28]!

Nakusihi jikite kwenye kuwa demu wa mtu achana na ndoa! Muwe mnakutana weekend na kulana uroda tu
Mambo sio mazuri home nkaona nipite huu uzi nibadili mawazo lakin baada ya kuona hii comment nimehesabu marangapi nimelishwa chips hii 2022.. now I'm real stressed out

Yabid nishtuke she's trying to assassinate me

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Bora hata uwaambie wajue,
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Ni kujisahaulisha tu
 
Halafu mimi siyo mnyakyusa.
Huwa mnawaonea wanyakyusa bure[emoji23].


Unadhani mimi mvivu basi,
Ila kuna muda mtu inabidi ajiongeze asaidie mwenzie..
Msiishi kwa kumkomoa mtu.
Ukinikomoa basi na wewe jiandae kisaikolojia siku umebanwa huna hili wala lile,nikikaa kimya usiite ubinafsi.

Beb kwan umesha olewa?
 
Sitakubali aishi kama mlemavu kama zigo.

Kama anaishi kilemavu nitamsaidia kumuelekeza namna nzuri ya kuishi.

Tupige vita ulemavu aisee,tena ulemavu wa kujifanyisha.
Lkn approach yako ikishindikana, usiilazimishe utavunja ndoa. Trust me!
 
Hapa mada ni kusaidiana kazi wakati tunapotingwa[emoji23][emoji23].
Labda naumwa mfano.

Sawa Nkamu....kama unatingwa Nkamu atafutwe tu mdada[emoji3]

Maana mimi ni yule mama wa Kinyakyusa nimekuja namkuta mwanangu anaosha vyombo halafu mke umekaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]patachimbika
 
Back
Top Bottom