Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Mkuu unaonekana unaexperience nahizi mambo,umeongea kwahisia Sana mkuu
 
Ubongo wahuyo jamaa ushanitafsri mkewe kama adui,ndio maana ningumu kudinda nahilo kiko wazi ,ngumu mwanamke mwenye Tabia tajwa hapo juu,ukashiriki nae mapenzi kwahamu au juhudi au bashasha zote ,kwahyo mkuu nikweli kabisa
 
Sio kweli mkuu,cheo humfanya mwanamke Kua nnajeuri nakibri
 
Mwanamke asiyefurahia hayo hapaswi kuolewa kabisa! Sababu those are the salient features of a wife [emoji28]!

Mke gani htaki kupika, kufua wala kufanya lolote linalohusu ndoa? Ana uhalali gani wa kuwa mke wa mtu?
Nikweli mkuu
 
Unaelezea vizuri Sana,hope Ur were good at school,je naomba msaada kuhusu Kua na chemistry namwenzio nikuaje,nakwann inaonekana nimuhimu snaa kua nachemistry ktk long life relationship,msaada tafadhali
Kwanza from my own perspective kuhusu chemistry ni Ile Hali ya kuwa na ka upendo flani plus utu na huruma kwa watu sio kwangu Mimi tu na hata kwa wengine, pia good chemistry ni Ile Hali mtu anakusoma na kuelewa jinsi ulivo when ur high yeye atakuwa low and virce versa, pia kusameheana na kuwa best friends, someone who doesn't get tired of you no matter what circumstances ilivo, Yani mnaelewana mnasameheana, na kuchukuliana kuwa huyu mwenzangu yuko hivi ila as long as Kuna mambo mazuri anafanya let's me focus on that's positive side, na hii minor weakness niiache ka ilivo.
N. B upendo wa kweli huwa na huruma haungalii madhaifu ya mtu Iko kitabu Cha Wakorinto inaelezea hii kitu kuwa love conquers all and love is the greatest thing in this world, unfortunately nowdays mhhhh
 
Duh[emoji119][emoji119]aiseee
 
We endelea kumuita strong man wako[emoji2]

Wakati unamleta pigo za kibeijing

Somewhere atakuwa yuko treated like a king and anakuacha na agenda zako za kibeijing like kama ha-feel kitu.
Keep wishing and speculating, but grow some balls somewhere along the way.
 
Tena kwa miaka 12! Ndio napambana kwa ajili ya watoto lakini ananionyesha kwa watoto kuwa mi ni katili! Na watoto wananichukia.
Mmh hapa ndo pabaya! Ila wanawake hapa tu ndo huwa tunakosea kuwajaza ujinga watt
 
Sijaoa ila naishi na pepo juzi nmesafiri tu kauza Friji narudi nauliza naambiwa nmeongezea naagiza cm hiv ndugu zangu ni sawa ..nahitaji kuanzisha Uzi ili mnipe ushauri wakuu...sijui niendapo.
[emoji16][emoji16]haki umenichekesha leo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli nakuambia,Mimi ni old school mama mkwe,falsafa zangu nazijua mwenyewe, labda awe mgonjwa huyo mke!!!
Ntadeki Mimi,na kufanya hizo kazi nikimkuta anafanya mwanangu!


Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi ni noma sana.

Ndio kusema kiwa ndoa haziko stable hivi ? Kazi kwl kwl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…