Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Huo huo unyago wa kutaka mwanamke kuvumilia usaliti na unyanyasaji kwenye ndoa? No thank you oeni hao hao wanawake wapumbavu!Bila shaka unyago urudishe wanawake wa siku viburi na vichefuchefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo huo unyago wa kutaka mwanamke kuvumilia usaliti na unyanyasaji kwenye ndoa? No thank you oeni hao hao wanawake wapumbavu!Bila shaka unyago urudishe wanawake wa siku viburi na vichefuchefu
Balls for what!?.Hehehehehe!!!Keep wishing and speculating, but grow some balls somewhere along the way.
Camarade hii mbona ni mambo madogo? Ukinunuwa kuku sokoni wanachinja na kumtengeneza kila kitu gharama yake ni buku tu.NGOMEKONGWE2021 - Tupo wengi, kiongozi. Mie pia watoto 4 kama wewe. Miaka 12 ya ndoa. Mama wa nyumbani. Tatizo hawezi kujifunza kitu.
Kila siku ni shida tupu ndani ya nyumba. Mfano, hawezi kutoa magamba ya samaki yakaisha yote kabla ya kumpika samaki. Chakula anavyonunua kwenye supermarket, ndivyo anavyokipika!
Anaweza kupika nyama ya kuku na kinyeo chake ama bado kuna kiasi fulani cha vinyoya!! Hata nikimweleza vipi, akili yake haishiki!! Hataki niwafundishe watoto. Nikiwakosoa watoto kwa namna ya kuwafundisha, anakuja juu.
Watoto wananiona mimi shetani na yeye malaika. Amejenga chuki kati yangu na watoto ambao bado ni wadogo tu. Sijawahi kumpiga ama kuchepuka lakini nilikwisha mwambia kuwa tungekuwa tunaoa mara ya 2, nisingemuoa tena. Sina hamu tena hata ya kulala naye.
Kwani na wewe una ndoa !?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka nusu niangushe cm, mbna sasa hujanipamba vizuri naweee, hebu ongezea nyama nyama niuzike haraka bhana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wengi wana mbwela tu humu ndani kujifanga ma ironlady kumbe ni rustlady[emoji1787]Hivi uko serious kwamba Karne hii upate mume ambaye atakuwa anapika na kuosha vyombo !?
Hao wanyamanyafu kaa nao mbali muulize bujibuji[emoji2][emoji1787]Mnyamafu [emoji28] hahahahah haya makabila mengine yanaweza kuliwa kabisa yani[emoji28][emoji28][emoji28]
Pissed off by who?Balls for what!?.Hehehehehe!!!
Ballz zangu zimeanza mvi [emoji4]
Endelea kujjfariji sio mbaya when pissed off[emoji1787][emoji3577]
Unyago urudi na wewe ndio lazima uwe first selection.Huo huo unyago wa kutaka mwanamke kuvumilia usaliti na unyanyasaji kwenye ndoa? No thank you oeni hao hao wanawake wapumbavu!
Sawa [emoji1][emoji1]Unyago urudi na wewe ndio lazima uwe first selection.
Umekuwa brainwashed na beijing agendas na hawa modern feminists.
Ndio wengi wenu kwenye mambo yake viuno gogo [emoji2]
Unyago urudiwe urudiwe
Ujue malezi na mazingira tunatofautiana kabisaa!sisi wengine tumekuzwa kiafrika zaidi kua mke ni msaidizi wa mume aka Katibu na baba ni Chairperson,sasa msimamzi wa majukumu ni mama!baba anapaswa kuhakikisha mambo yameenda sawa in terms of kujenga,kulla,kuvaa,kunywa kusomesha n.k.Mama jukumu lake kumake sure nyumba inakaa vzr,wanasemaga heshima ya ni mke ila anaetambua majukumu yake,ambayo ni kuhakikisha nyumba inakua nzuri,watoto wanaenda shule kwa wakati ,panaliwa kwa wakati, kilichopo kinapikwa vzr,kufu na kuhakikisha Mme anapendeza!Hapana mchezo kabisa[emoji28] unawaambiaje mademu wanaokaza shingo kwa waume zao
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23]no thank youuu!!!mmependaa hapoooHuo huo unyago wa kutaka mwanamke kuvumilia usaliti na unyanyasaji kwenye ndoa? No thank you oeni hao hao wanawake wapumbavu!
Huyu mkewe analiwa I swear wanawake tunapenda mwanaume mwenye mwenye wivu,yaani mwenye sauti ndani ya nyumba!sio lofa km huyu nooo....thank you!!!!simtaki ht kwa bureeMwanaume wa hivi simtaki kwa kweli....yaani nirudi asubuhi ukae kimya? Mwanaume Bwege hapana kwa kweli.
Mtapigwa tu maana hakuna namna.
Nimecheka kwasauti kubwa chumbani kwangu,Ila kuna ukweli katika maneno yako haya ,tukubali tusikubali wakuu,kupanga nikuchagua,Kua namwanamke housemaid au Kua na mwanamke mpambanaji!nakote unaweza ukapata mahaba au usipateDegree ya sheria inamaana mwanamke kajiandaa kuwa mwanasheria, sasa kwann aache sheria akalee mwanaume?
Labda kama akikosa hiyo nafasi ya kupractise law, ila ni ngumu sana mtu aache carrier yake ili akuandalie maji ya kuoga.
Ukitaka uhakika wa kulelewa nenda kaoe mwanamke wa kawaida ambaye maisha kwake ni kuwa na mume na kulea watoto ila ukitaka mwanamke mpambanaji mwenye carrier yake basi achana na mambo ya kuandaliwa maji.
Ila nakadoria cjui ww kabila gani maana loh,si kwamahaba hayo,ashukuriwe mjomba aliyekupata wewe,unafanya naziada kwamwaname anaejitambua akikutana naww haweki ajizi,Ur very few of Ur kind kwakweli yaani daahMatukio tunapigwa ila kwani wanachelewa kujutia sasa?
Chezea kuogeshwa ww....maana huko huko juu kwa juu unamgenyesha hadi mnakulana kabla ya kumaliza kuoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Degree ya sheria inamaana mwanamke kajiandaa kuwa mwanasheria, sasa kwann aache sheria akalee mwanaume?
Labda kama akikosa hiyo nafasi ya kupractise law, ila ni ngumu sana mtu aache carrier yake ili akuandalie maji ya kuoga.
Ukitaka uhakika wa kulelewa nenda kaoe mwanamke wa kawaida ambaye maisha kwake ni kuwa na mume na kulea watoto ila ukitaka mwanamke mpambanaji mwenye carrier yake basi achana na mambo ya kuandaliwa maji.
Camarade hii mbona ni mambo madogo? Ukinunuwa kuku sokoni wanachinja na kumtengeneza kila kitu gharama yake ni buku tu.
Na ukinunuwa samaki buchani au sokoni pia wanakuandalia kila kitu, wewe nyumbani kuosha tu.
Unakwama wapi?
Sasa si unaona wenzio wanataka mwanaume aanze kushughulika na household badala ya strategic activitiesUjue malezi na mazingira tunatofautiana kabisaa!sisi wengine tumekuzwa kiafrika zaidi kua mke ni msaidizi wa mume aka Katibu na baba ni Chairperson,sasa msimamzi wa majukumu ni mama!baba anapaswa kuhakikisha mambo yameenda sawa in terms of kujenga,kulla,kuvaa,kunywa kusomesha n.k.Mama jukumu lake kumake sure nyumba inakaa vzr,wanasemaga heshima ya ni mke ila anaetambua majukumu yake,ambayo ni kuhakikisha nyumba inakua nzuri,watoto wanaenda shule kwa wakati ,panaliwa kwa wakati, kilichopo kinapikwa vzr,kufu na kuhakikisha Mme anapendeza!
Shida iliyopo tunafeli mwanaume anashindana na mwanamke,na mwanamke anashindana na mwanaume,hapo ndo tatizo lilipo!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Aah wabaki na ndoa zao tu kama hali yenyewe ndiyo hiyo [emoji1][emoji1][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23]no thank youuu!!!mmependaa hapooo
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Wewe mbona kigeugeu sana kwetu unaongea hivi ila kwa wengine unaongea vile. Alichosema huyo dada ndicho tunachokisemaga sisi kila siku ila sisi ni hadi utuletee ligi ndiyo nafsi yako inasuuzika.Sasa si unaona wenzio wanataka mwanaume aanze kushughulika na household badala ya strategic activities