Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Camarade hii mbona ni mambo madogo? Ukinunuwa kuku sokoni wanachinja na kumtengeneza kila kitu gharama yake ni buku tu.

Na ukinunuwa samaki buchani au sokoni pia wanakuandalia kila kitu, wewe nyumbani kuosha tu.

Unakwama wapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka nusu niangushe cm, mbna sasa hujanipamba vizuri naweee, hebu ongezea nyama nyama niuzike haraka bhana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani na wewe una ndoa !?
 
Huo huo unyago wa kutaka mwanamke kuvumilia usaliti na unyanyasaji kwenye ndoa? No thank you oeni hao hao wanawake wapumbavu!
Unyago urudi na wewe ndio lazima uwe first selection.

Umekuwa brainwashed na beijing agendas na hawa modern feminists.

Ndio wengi wenu kwenye mambo yake viuno gogo [emoji2]

Unyago urudiwe urudiwe
 
Hapana mchezo kabisa[emoji28] unawaambiaje mademu wanaokaza shingo kwa waume zao
Ujue malezi na mazingira tunatofautiana kabisaa!sisi wengine tumekuzwa kiafrika zaidi kua mke ni msaidizi wa mume aka Katibu na baba ni Chairperson,sasa msimamzi wa majukumu ni mama!baba anapaswa kuhakikisha mambo yameenda sawa in terms of kujenga,kulla,kuvaa,kunywa kusomesha n.k.Mama jukumu lake kumake sure nyumba inakaa vzr,wanasemaga heshima ya ni mke ila anaetambua majukumu yake,ambayo ni kuhakikisha nyumba inakua nzuri,watoto wanaenda shule kwa wakati ,panaliwa kwa wakati, kilichopo kinapikwa vzr,kufu na kuhakikisha Mme anapendeza!
Shida iliyopo tunafeli mwanaume anashindana na mwanamke,na mwanamke anashindana na mwanaume,hapo ndo tatizo lilipo!



Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka kwasauti kubwa chumbani kwangu,Ila kuna ukweli katika maneno yako haya ,tukubali tusikubali wakuu,kupanga nikuchagua,Kua namwanamke housemaid au Kua na mwanamke mpambanaji!nakote unaweza ukapata mahaba au usipate
 
Matukio tunapigwa ila kwani wanachelewa kujutia sasa?
Chezea kuogeshwa ww....maana huko huko juu kwa juu unamgenyesha hadi mnakulana kabla ya kumaliza kuoga
Ila nakadoria cjui ww kabila gani maana loh,si kwamahaba hayo,ashukuriwe mjomba aliyekupata wewe,unafanya naziada kwamwaname anaejitambua akikutana naww haweki ajizi,Ur very few of Ur kind kwakweli yaani daah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Utakuwa na bucha nzuri sana. Wanatutengenezea kiasi kwamba ukifika unaweka tu kwenye sufuria, weka maji, chumvi, chochea moto, halafu unakula? Hauhitaji hata kuosha, wala kutoa magamba 2-3 yaliyobaki kwenye samaki. Basi una bahati sana.

Mbona hata kupika watu wa bucha wanaweza? Ni buku 1 tu. Ukifika nyumbani wewe ni kula tu. Wewe unakwama wapi?
Camarade hii mbona ni mambo madogo? Ukinunuwa kuku sokoni wanachinja na kumtengeneza kila kitu gharama yake ni buku tu.

Na ukinunuwa samaki buchani au sokoni pia wanakuandalia kila kitu, wewe nyumbani kuosha tu.

Unakwama wapi?
 
Sasa si unaona wenzio wanataka mwanaume aanze kushughulika na household badala ya strategic activities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…