JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Kabisa mkuu.Nimecheka kwasauti kubwa chumbani kwangu,Ila kuna ukweli katika maneno yako haya ,tukubali tusikubali wakuu,kupanga nikuchagua,Kua namwanamke housemaid au Kua na mwanamke mpambanaji!nakote unaweza ukapata mahaba au usipate
😅😅😅😅😅😅😅😅 Mmeninukuu vibayaWewe mbona kigeugeu sana kwetu unaongea hivi ila kwa wengine unaongea vile. Alichosema huyo dada ndicho tunachokisemaga sisi kila siku ila sisi ni hadi utuletee ligi ndiyo nafsi yako inasuuzika.
Wewe ndiyo huwa unatunukuu vibaya kaone kwanza [emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mmeninukuu vibaya
Afu kumbe kadogo?Wewe ndiyo huwa unatunukuu vibaya kaone kwanza [emoji1][emoji1]
Sidhani km wanamaanisha hvyo!ishu ni kua ili heshima itamalaki baba beba majukumu yako,Mimi nibebe yangu!Sasa si unaona wenzio wanataka mwanaume aanze kushughulika na household badala ya strategic activities
Haha ni kachalii tu hako ila maneno mengi utafikiri mtu mzima. Kazi kubishana tu na mama zake humu.Afu kumbe kadogo?
Ndo maana kanachekaga kila sredi.
Ni kucheka cheka tuuu.
Akianza kula na tundaa la Dada wa kazi pia usimuulize kitu oote asee.Dada wa kazi yupo anampikia
Akianza kula na tundaa la Dada wa kazi pia usimuulize kitu oote asee.
[emoji1787][emoji1787] ndugu yangu me mtanzania wa kawaida tu....Ila nakadoria cjui ww kabila gani maana loh,si kwamahaba hayo,ashukuriwe mjomba aliyekupata wewe,unafanya naziada kwamwaname anaejitambua akikutana naww haweki ajizi,Ur very few of Ur kind kwakweli yaani daah
Najikuta nasema unitafute mke maana huwezi nitafutia MTU gumegume,wanawake wengi wajamii zetu wanalo lakujifunza kwako,Mungu nimwema kwetu sote[emoji1787][emoji1787] ndugu yangu me mtanzania wa kawaida tu....
Uncle pia anapambana kwa ajili yangu hasa kwenye mitihani iliyonikabili. So hata mm nimebahatisha kuwa uncle kwa uncle wangu
Mke sio shamba kwamba utafutiwe ndugu yangu.... jaribu jaribu utabagatisha mwisho wa sikuNajikuta nasema unitafute mke maana huwezi nitafutia MTU gumegume,wanawake wengi wajamii zetu wanalo lakujifunza kwako,Mungu nimwema kwetu sote
Kwani Wanaume wameisha duniani yupo peke yake???
[emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
Hahahahah yani nyie warembo mmeamua kunizingua sio😅😅😅 mi ni kijana wa makamo hebu tulieni
Hahahahah waambieni hawa wanaohisi waume ni kama ma boyfriend wataumiaSidhani km wanamaanisha hvyo!ishu ni kua ili heshima itamalaki baba beba majukumu yako,Mimi nibebe yangu!
Mimi mpk boksa nafua we vaa rudi weka hapo!Mimi ntafafanya because am responsible for those duties!!asubuhi amka kila kitu utakuta tayari mmekuandalia na ukirudi kazini pia!then hizi story za mitandaoni zisikupe presha maisha ya kulala pamoja na uboyfrien ni tofauti!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Umenisagia kunguni umeskia utaamu mwenyewe[emoji3][emoji3] [emoji2][emoji2]
Hamna ndiyo ukweli wenyewe au nasema uongo ndugu zangu [emoji1][emoji1]Umenisagia kunguni umeskia utaamu mwenyewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani Wanaume wameisha duniani yupo peke yake???
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haha ni kachalii tu hako ila maneno mengi utafikiri mtu mzima. Kazi kubishana tu na mama zake humu.