Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Nimecheka kwasauti kubwa chumbani kwangu,Ila kuna ukweli katika maneno yako haya ,tukubali tusikubali wakuu,kupanga nikuchagua,Kua namwanamke housemaid au Kua na mwanamke mpambanaji!nakote unaweza ukapata mahaba au usipate
Kabisa mkuu.
 
Wewe mbona kigeugeu sana kwetu unaongea hivi ila kwa wengine unaongea vile. Alichosema huyo dada ndicho tunachokisemaga sisi kila siku ila sisi ni hadi utuletee ligi ndiyo nafsi yako inasuuzika.
😅😅😅😅😅😅😅😅 Mmeninukuu vibaya
 
Sasa si unaona wenzio wanataka mwanaume aanze kushughulika na household badala ya strategic activities
Sidhani km wanamaanisha hvyo!ishu ni kua ili heshima itamalaki baba beba majukumu yako,Mimi nibebe yangu!
Mimi mpk boksa nafua we vaa rudi weka hapo!Mimi ntafafanya because am responsible for those duties!!asubuhi amka kila kitu utakuta tayari mmekuandalia na ukirudi kazini pia!then hizi story za mitandaoni zisikupe presha maisha ya kulala pamoja na uboyfrien ni tofauti!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Ila nakadoria cjui ww kabila gani maana loh,si kwamahaba hayo,ashukuriwe mjomba aliyekupata wewe,unafanya naziada kwamwaname anaejitambua akikutana naww haweki ajizi,Ur very few of Ur kind kwakweli yaani daah
[emoji1787][emoji1787] ndugu yangu me mtanzania wa kawaida tu....
Uncle pia anapambana kwa ajili yangu hasa kwenye mitihani iliyonikabili. So hata mm nimebahatisha kuwa uncle kwa uncle wangu
 
[emoji1787][emoji1787] ndugu yangu me mtanzania wa kawaida tu....
Uncle pia anapambana kwa ajili yangu hasa kwenye mitihani iliyonikabili. So hata mm nimebahatisha kuwa uncle kwa uncle wangu
Najikuta nasema unitafute mke maana huwezi nitafutia MTU gumegume,wanawake wengi wajamii zetu wanalo lakujifunza kwako,Mungu nimwema kwetu sote
 
Najikuta nasema unitafute mke maana huwezi nitafutia MTU gumegume,wanawake wengi wajamii zetu wanalo lakujifunza kwako,Mungu nimwema kwetu sote
Mke sio shamba kwamba utafutiwe ndugu yangu.... jaribu jaribu utabagatisha mwisho wa siku
 
Sidhani km wanamaanisha hvyo!ishu ni kua ili heshima itamalaki baba beba majukumu yako,Mimi nibebe yangu!
Mimi mpk boksa nafua we vaa rudi weka hapo!Mimi ntafafanya because am responsible for those duties!!asubuhi amka kila kitu utakuta tayari mmekuandalia na ukirudi kazini pia!then hizi story za mitandaoni zisikupe presha maisha ya kulala pamoja na uboyfrien ni tofauti!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hahahahah waambieni hawa wanaohisi waume ni kama ma boyfriend wataumia
 
Back
Top Bottom