Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Aisee kwa hali hii uliyopitaia!
Tulia tu sahvi hakuna namna,mtafute Mungu tu hata hivyo Mungu kakutetea km umepigwa hayo makombora na bado u hai,mshukuru Mungu!

Mchawi hana sabb ss nyanya zako ungepata si na yeye angepata hela? [emoji119]Yesu tusaidie,tupe macho ya kuona
 
Dada ako ana moyo[emoji119]
Huyo ni mwanaune asiyejua majukumu yake! Hakuna mtu hapo
Familia nzima inajua hakuna mtu hapo kabisa.................... sasa ufanye je? na ndio hivyo ameshakuwa shemela ila hapana kwa kweli mimi hata unipe na nyongeza ile sampuli ni big nooo
 
Asante, Nashukuru.
Ujiulze ni kwa nini mchawi anamloga mtoto wake Mwenyewe na ndie anayemletea mkate Wa siku!
Nina Mungu wangu ambaye anenipigania hadi hivi Leo. Amen.
 
Very funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financially
Muombe aache kazi, mfungulie biashara ambayo haito mkeep busy sana.
Uzuri wewe upo financially stable mtakua na amani na furaha.
 
Hii ni kweli, usikute hakuwai kukupenda sema kwasababu ulikua unamsomesha, unamuhangaikie apate maisha ndio maana alikubali kuwa na wewe. Sasahiv ana pesa yake, ana elimu yake ana variety of choices tofauti na mwanzo. Japo mtu anayesahau alipotoka ni rahisi kupotea huko anapo kwenda.
 
Aisee pole sana
 
Bila kusahau na kipigo kidogo
 
Kuna wakat mapito yetu yanatufanya tutunge sheria humo humo, kwa Lawyers wanajua vizur chanzo cha sheria ni nini... Ninachoona hapa hujaelewa au unahangaishwa na mapito yako.

Nani anatakiwa kutoa taarifa kati ya anayetoka na aliyeachwa nyuma? Maisha yana Principles zake, Kwanza mke hawezi kutoka bila kuaga au kuomba ruhusa.. Sizungumzii mtu mwenye uke aliyeamua kujirahisha na kwenda kuishi kwa mtu mwenye uume.

Mimi nimeoa mke na sio mtu mwenye uke tu, kwahiyo hayo unayotaka aulizwe haitatokea kwakuwa anajua utaratibu ukoje kama mke.
Na siku ukiona mtu katoka bila kuaga au kutoa taarifa anasubiri aulizwe basi ujue ameamua kuleta shari....Kila anayevunja utaratibu ujue amepuuza huo utaratibu, Sasa dawa yake ni kutumia sheria na sio nguvu na makelele.
 
Aiseee... Pole sana.
 

Basi Baba yameisha[emoji3][emoji3]
 
Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana anaweza kuishi na ww miaka hata 20 bila kukupenda ila ww hujui kama hakupendi yupo kimkakati hana wasiwasi kwasababu siku zote wanaamini mwanaume anatangulia kufa ila pole sana mkuu.
 
Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana anaweza kuishi na ww miaka hata 20 bila kukupenda ila ww hujui kama hakupendi yupo kimkakati hana wasiwasi kwasababu siku zote wanaamini mwanaume anatangulia kufa ila pole sana mkuu.
Khaaaa
 
Aisee. Pole sana rafiki.
 
boss emu idadavue kidgo hii vijana tupate somo kamili..
 
Mkiu,tunaomba thread ya maisha yako ya ndoa,tafadhali.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…