Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Aisee kwa hali hii uliyopitaia!Mimi nilimwoa mke mchawi Mwenye malengo ya kuwa na nyumba yake na baadae awe single mother . Niliishi nae kwa miaka 18 na kubarikiwa kuwa na watoto 2.
Alinipiga na kitu kizito cha kienyeji nikaugua ugonjwa wa ajabu na kuachishwa kazi, Nikaenda kulima akatuma kombola na heka 25 zote za nyanya bado week moja kuvunwa zikateketea kwa mafuriko. Nikapatwa BP kwa Ile hasara nikaishia hospital. Nilipo rudi nyumbani aliondoka na ku niacha , akachukua Hati ya Kiwanja changu na vyombo vyote vya ndani nikabaki nalala juu ya tiles kavu.
Baada ya miezi 2 kaja kushinikiza nyumba iuzwe na ikauzwa ili apate jasho lake.
Nina mwaka wa 7 Sina mke wala hamu ya kuoa Tena.
Tulia tu sahvi hakuna namna,mtafute Mungu tu hata hivyo Mungu kakutetea km umepigwa hayo makombora na bado u hai,mshukuru Mungu!
Mchawi hana sabb ss nyanya zako ungepata si na yeye angepata hela? [emoji119]Yesu tusaidie,tupe macho ya kuona