Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Ndivyo dunia ilivyo mama. Huwa nafikiri ni mgonjwa wa akili japo haonyeshi dalili nyingine za aina hiyo huko nje. Ni mimi ninayekaa naye tu ndiye ninaye mjua.
Sasa utashangaa watu wa nje anaongea nao peace kabisa na wanacheka, kimbembe akirudi kwako anakubadirishia sura anakuvalia sura ya kazi😄😄

Kila utakalosema lazima mbishane.😄😄
 
Hata mwanamke uwe na kipato kiasi gani housegirl hawezi kupika chakula chakula mme wangu labda kue na dharura au niwe mgonjwa

Housegirl hawezi kufua nguo ya mme wangu hata siku moja ni heri hata ninunue machine yakufulia kama nimetingwa sana lakini sio mikono yake iguse nguo za mme wangu hiyo ni big no to me

Housegirl hawezi kuingia hata chumba nacholala na mume wangu ...

Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe hata kama umesoma na una kipato kiasi gani.....mfanye mumeo ajue umuhimu wako katika maisha yake hata akisema akuache hatoacha kukumbuka mazuri yako maishani mwake...

Ndoa za leo zinafeli sababu ya sisi wanawake kujifanya tunataka usawa na wanaume ....je maandiko yanasemaje juu ya ndoa (iheshimiwe na watu wote) ....sasa itaheshimikaje kama wewe mwenyewe hutataka kuheshimu ndoa yako .....
 
[emoji3][emoji3] Nna mwezi mmoja toka nimefunga ndoa! Mnanitisha wakongwe! Tunavyopendana speed 120 kumbe kuna siku litashuka sitaki kuamini [emoji1787]
Kilichofichwa ndani ya hao wakina eva na hawa ndio maana Mungu alisema wapende lakini ishi nao kwa akili
 

Hauna mdogo wa kike nije niweke kambi hapo.. inaonekana umekuzwa vyema..[emoji4][emoji39]
 
I fall in love with your Comment... 😍
 
Duh hii ni zaidi ya hatari Mkuu. Pole sana kwa yalokukuta.
 
Hahahaaa ......mwanzoni huwa mnasema hivo....kaa miaka 10 alaf tuone kama utakua unafanya kimojawapo
 
Kuna watu ni visirani by nature Yani too much hungry kwa kila jambo Yani haeleweki eleweki
stop pretending to be innocent...
Hakuna mwanaume anayeweza kuwa anajielewa yeye akawa hajielewi,
ni very rare.
Wanawake wanaojiona wako smart ni wajinga sana lazima
ujue ukiwa nyumbani wewe ni mke haijarishi huko nje wewe ni nani.
Chanzo cha matatizo na misala mingi hapa duniani ni nyinyi wanawake,
basi ingekuwa mapenzi yangu hawa viumbe ningewafutilia mbali.
 
Being a woman isn't easy..ukikaa nyumbani utaitwa golikipa hata ukifanya majukumu yote utatafitiwa sababu

Ukienda kutafuta 'msaidiane' ukirudi bado utatafitiwa sababu na kuonekana less of a woman, ukisema umechoka unaambiwa kipato kinakupa jeuri
Tafuta kipato ila usisahua majukum kama mke, mwanaume atafute kipato pia asisahu majukumu kama mume. Tatizo wengi wanadhani kipato inaondoa gender role au wajibu kama mme au mke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…