Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Wale tuliokosea kuoa tukutane hapa

Huyo mke ana akili Kama za mahouse girl ninaokutanaga nao mie, Sasa hivi tumeamua sisi wenyewe na watoto wetu tukamate majukumu ya housegirl na tukibanwa sana tutafute mtu anakuja kufanya usafi hiyo siku Mara moja moja Basi kesi inaisha.
Sijajua connection kubwa Kati ya housegirl na ujinga aisee, au sie tunagundu nao? Wengi wao hawajielewi na ukiwaelekeza wanaona wanaonewa na kuteswa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mahouse girl wengi akili ndogo mno na huwa hawafundishiki kabisa ukiwaambia jambo, kiukweli ni vile tu una mambo mengi ila Mimi siwezi ishi na dada wa kazi sema tu ubusy heri hyo sector ingesajiliwa tu utamfte mtu mzima wa go and return
 
Ni sahihi mkeo anayepata kila kitu kutoka kwako kukuhudumia hata kukuogesha ikiwezekana.
Ni sahihi na sina tatizo na hilo endapo mwanamke ataamua kufanya hivyo au ataamua kufanya zaidi ya hivyo pia haina shida.

Hoja yangu ni kuwa sio sahihi endapo akifanya hivyo ukaanza lawama na kuona hajafanya sawa.

Akifanya sawa na asipofanya hakuna haja ya kumlaumu kwa sababu hakuna sehemu yoyote imesemwa kwamba ni lazima kwwke kufanya hivyo bali ni matakwa ya waume tu ambayo kila mume ana matakwa yale,atatimiza mangapi mke huyo mkuu
 
Mahouse girl wengi akili ndogo mno na huwa hawafundishiki kabisa ukiwaambia jambo, kiukweli ni vile tu una mambo mengi ila Mimi siwezi ishi na dada wa kazi sema tu ubusy heri hyo sector ingesajiliwa tu utamfte mtu mzima wa go and return
Watu wengi wanaishi na housegirl kama hausegirl lakini wajaribu kuishi na housegirl kama ndugu yao,wamlee wamfundishe maisha,wamuoneshe upendo na wazidi kumfundisha dunia ilivyo bila kusahau KUMFUNDISHA TABIA NJEMA huyo hausigelo,hivi inaweza kusaidia kumuongezea uwezo wake binafsi hausigeli
 
Hapana mkuu huyo dada yupo sahihi kabisa,hili jambo haliwezekani kwa wanawake wengi.

Kwa wanaoweza acha wafanye,kwa ambao wanashindwa wasibezwe kwa sababu ni kweli na wao wanachoka.

Imagine mke mwalimu anarudi labda saa tisa kazini,akifika nyumbani kachoka hapo aanze kufua,kupika,kuosha vyombo huku wewe baba kama baba au mume umetulia kwenye sofa unachati jamii forum ukiwa na soksi miguuni zenye vitobo vimetafunwa na panya unasubiri kula.

Hii haikubaliki,nenda kamsaidie mkeo kazi kwa sababu wote mumetoka kazini.

Wanaume wengi wakitz bado tuna umwinyi sana na upuuzi flani ambao hauna maana yeyote,kwanza hizo kazi sio lazima kwa mwanamke kufanya kijamii tu ndio kwa kuwa wanawake wengi ni watu wa nyumbani ndio imeonekana ni kazi zao.
Thread closed
 
Watu wengi wanaishi na housegirl kama hausegirl lakini wajaribu kuishi na housegirl kama ndugu yao,wamlee wamfundishe maisha,wamuoneshe upendo na wazidi kumfundisha dunia ilivyo bila kusahau KUMFUNDISHA TABIA NJEMA huyo hausigelo,hivi inaweza kusaidia kumuongezea uwezo wake binafsi hausigeli
Ma house girl ni janga watu wadai ukiishi nao vizuri hawadumu na ni kweli sehemu anayoteswa hukaa mda mrefu
 
Huwenda tuna experience tofauti cariha.

Kwa sababu mimi kuna mazingira niliona jamaa anaishi na housegirl kama ndugu yake na upendo pia yule housegirl mpaka akajiendeleza kielimu pale kwao na akasomeshwa pale akaolewa pale wakawa kama ndugu flani

Ila hoja yako kweli ipo na ninaamini kuna reason behind ikiwemo kwamba wale wanaochukua maousegirl wadogo kiumri na kiakili na waliotoka vijijini kwenye dhiki saaaanaaaa hawa wengi wanayanyasika lakini wanakomaa na nyumba
 
Ma house girl ni janga watu wadai ukiishi nao vizuri hawadumu na ni kweli sehemu anayoteswa hukaa mda mrefu
Huwenda tuna experience tofauti cariha.

Kwa sababu mimi kuna mazingira niliona jamaa anaishi na housegirl kama ndugu yake na upendo pia yule housegirl mpaka akajiendeleza kielimu pale kwao na akasomeshwa pale akaolewa pale wakawa kama ndugu flani

Ila hoja yako kweli ipo na ninaamini kuna reason behind ikiwemo kwamba wale wanaochukua maousegirl wadogo kiumri na kiakili na waliotoka vijijini kwenye dhiki saaaanaaaa hawa wengi wanayanyasika lakini wanakomaa na nyumba
 
Ni sahihi na sina tatizo na hilo endapo mwanamke ataamua kufanya hivyo au ataamua kufanya zaidi ya hivyo pia haina shida.

Hoja yangu ni kuwa sio sahihi endapo akifanya hivyo ukaanza lawama na kuona hajafanya sawa.

Akifanya sawa na asipofanya hakuna haja ya kumlaumu kwa sababu hakuna sehemu yoyote imesemwa kwamba ni lazima kwwke kufanya hivyo bali ni matakwa ya waume tu ambayo kila mume ana matakwa yale,atatimiza mangapi mke huyo mkuu
Unajua boss kila mwanaume kuna jambo anataka kutoka kwa mwanamke na akilikosa haoni umuhimu wa huyo mwanamke kwenye maisha yake.

Mfano binafsi kutokuandaliwa mazingira ya kuoga, Kutohudumiwa na mwanamke chai asubuhi, na kutofuliwa sioni tatizo. Mm kwangu mke awe mama bora wa watoto wangu, baasi hayo mengine ni ziada.

Usipofua ntawasha mashine mwenyewe, usipoandaa chai nitainywa ofisini kwangu, kuoga nitawasha hita mwenyewe na hakutakuwa na tatizo ila usipokuwa na muda na watoto mm hatuwezi kupatana maana ndo umuhimu wa mke kwangu ulipo. Mm siwezi kufanya hiyo kazi ya malezi kwa ufasaha kama mwanamke aliyeamua kuwa karibu na watoto.

Sasa wapo watu wameoa ili mwanamke awahudumie. I dont judge them....... Watimize tu majukumu yao ili mwanamke aweze fanya wanalotaka.
 
Si ndio hapo aisee mumechoka wote ila yeye akifika umpelekee juice uanze kupika umtengee ale yeye kazi yake kujamba na usiku umpe k jamani huo si utumwa mamboleo
Sio mambo leo huu ni utumwa mambo jana,utumwa wa kizamani sana.

Wanaume waliolelewa kiungwana lazima nafsi ziwasute tu,ila wale wenzangu na mimi hapo ndo tutaona mke anatimiza majukumu yake.

Ila ikiwa muko willing kufanya bila kulazimishwa haina tatizo
 
Unajua boss kila mwanaume kuna jambo anataka kutoka kwa mwanamke na akilikosa haoni umuhimu wa huyo mwanamke kwenye maisha yake.

Mfano binafsi kutokuandaliwa mazingira ya kuoga, Kutohudumiwa na mwanamke chai asubuhi, na kutofuliwa sioni tatizo. Mm kwangu mke awe mama bora wa watoto wangu, baasi hayo mengine ni ziada.

Usipofua ntawasha mashine mwenyewe, usipoandaa chai nitainywa ofisini kwangu, kuoga nitawasha hita mwenyewe na hakutakuwa na tatizo ila usipokuwa na muda na watoto mm na mke hatuwezi kupatana maana ndo umuhimu wake ulipo. Mm siwezi kufanya hiyo kazi kwa ufasaha kama mwanamke aliyeamua kuwa karibu na watoto.

Sasa wapo watu wameoa ili mwanamke awahudumie. I dont judge them....... Watimize tu majukumu yao ili mwanamke aweze fanya wanalotaka.
Kabis mkuu pamoja
 
Sio mambo leo huu ni utumwa mambo jana,utumwa wa kizamani sana.

Wanaume waliolelewa kiungwana lazima nafsi ziwasute tu,ila wale wenzangu na mimi hapo ndo tutaona mke anatimiza majukumu yake.

Ila ikiwa muko willing kufanya bila kulazimishwa haina tatizo
Hafu hayo mambo I grow to see my parents hata watu wengine wanaume kujifanyia vitu vingi wenyewe tofauti na wanaume wa humu wanaopenda umwinyi, kwao upendo ni kumutumikisha mke ka punda wa dobi badala ya kumsaidia, ulezi wa watoto tu huwa ni kazi ngumu bado kuachiwa mambo mengine.
Dah wanaume kuweni na huruma na sisi huwa tunachoka tunahitaji kusaidiwa
 
Huwenda tuna experience tofauti cariha.

Kwa sababu mimi kuna mazingira niliona jamaa anaishi na housegirl kama ndugu yake na upendo pia yule housegirl mpaka akajiendeleza kielimu pale kwao na akasomeshwa pale akaolewa pale wakawa kama ndugu flani

Ila hoja yako kweli ipo na ninaamini kuna reason behind ikiwemo kwamba wale wanaochukua maousegirl wadogo kiumri na kiakili na waliotoka vijijini kwenye dhiki saaaanaaaa hawa wengi wanayanyasika lakini wanakomaa na nyumba
Ujue wa dada wa enzi nakua walikuwa wavumilivu tofauti na WA Sasa ni tofauti na wasumbufu akikaa mwezi anaanza usumbufu, na wengi wa Sasa watu huwa treat fair ila Matokeo yake huwa mabaya
 
Back
Top Bottom